Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Namsikiliza mbonaMzee analia bwana msikilize
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namsikiliza mbonaMzee analia bwana msikilize
Sababu unajua ni mie sioo, naitoaMeipenda avatar basi usiitoe kabisa [emoji8]
Hahaha yeahUmemshindwaje na wakati umekubali kushare au ndio yale naomba unisaidie kushare
Hivi nani alikwambia kuwa nimeoa?Jaman pole utaisha tu
HahahaMbona pesa yake ya baltika unamnyima ...
Babuuu ntalia ujue, we ni wa kutaka nizibwe kikojoleo kweeeli... Babu tumetoka mbaliNimeamua kujifunza kukubali kukataliwa. Kukataliwa kubaya lakini ntafanyaje sasa??
Huu moyo ngoja niuachie kazi ya kusukuma damu
ShemMmeamuaa
B, Asprin kakunigawia. Sijui wewe amekupa taarifa? Maana kanishtukiza leo jioni..
Hongereni sana kwa kuonesha hisia zenu za upendo uliopo ndani yenu.
Nawaombea muwe marafiki wema daima dawamu.
Ila nawaomba muwe makini na marafiki wasiopenda kuona urafiki wenu ukikua.
Ni hayo tu, nisalimieni Daby
Dada yenu,
Madame B.
Kivuruge bhanaHahahah mwehu wewe
MmmmhHatutakiiiii nafasi alichezea mwenyewe