Ujumbe wa Sakayo

Ujumbe wa Sakayo

Status
Not open for further replies.
Nimeamua kujifunza kukubali kukataliwa. Kukataliwa kubaya lakini ntafanyaje sasa??

Huu moyo ngoja niuachie kazi ya kusukuma damu
Babuuu ntalia ujue, we ni wa kutaka nizibwe kikojoleo kweeeli... Babu tumetoka mbali
 
.
Hongereni sana kwa kuonesha hisia zenu za upendo uliopo ndani yenu.
Nawaombea muwe marafiki wema daima dawamu.
Ila nawaomba muwe makini na marafiki wasiopenda kuona urafiki wenu ukikua.
Ni hayo tu, nisalimieni Daby
Dada yenu,
Madame B.
B, Asprin kakunigawia. Sijui wewe amekupa taarifa? Maana kanishtukiza leo jioni.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom