Ujumbe wa Sakayo

Ujumbe wa Sakayo

Status
Not open for further replies.
Asante sana mdogo wangu Shunie.
Nipo...si unajua nimekua kifikra, hivo nashinda jukwaa la siasa, japo kuna changamoto nyingi....ila nakabiliana nazo.
Nitashukuru kama mtazingatia wadogo zangu.

Amina na asante, nanyi pia Mungu awasimamie katika msimamo wenu.
Msitetereke muonapo vikwazo, bali kabilianeni navyo.
Tuko pamoja.
tutazingatia sana dada yetu tunakupenda sana tunakuombea uzishinde changamoto za jukwaa la siasa maana kule ni sheeda
 
tutazingatia sana dada yetu tunakupenda sana tunakuombea uzishinde changamoto za jukwaa la siasa maana kule ni sheeda
Asante wadogo zangu, nami nawapenda sana, sana.
Usijali....tunakabiliana nazo japo inatuwia vigumu mda mwingine.
Haya...niwatakie siku njema na dada yenu nawapenda sana mjue.
 
Nakuona tu mi nakuzoom to Hapa katika lensi mbinuko wangu,unavyo mpetpet inna haraka rafiki yangu unamla kisogo tu.
Na akija namuambia..
Halafu mporipori wangu namuaminia hatari hatari
Usimwambie bwana.
Ila yani yule ni muelewaaa kupitiliza hata huyu inna ni muelewa.
Yani wote hawa ni ma genius.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom