Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tutazingatia sana dada yetu tunakupenda sana tunakuombea uzishinde changamoto za jukwaa la siasa maana kule ni sheedaAsante sana mdogo wangu Shunie.
Nipo...si unajua nimekua kifikra, hivo nashinda jukwaa la siasa, japo kuna changamoto nyingi....ila nakabiliana nazo.
Nitashukuru kama mtazingatia wadogo zangu.
Amina na asante, nanyi pia Mungu awasimamie katika msimamo wenu.
Msitetereke muonapo vikwazo, bali kabilianeni navyo.
Tuko pamoja.
Yaani katoka bimdogo kaja bimkubwa sasahahahhh wanapokezana
Asante wadogo zangu, nami nawapenda sana, sana.tutazingatia sana dada yetu tunakupenda sana tunakuombea uzishinde changamoto za jukwaa la siasa maana kule ni sheeda
Ndioo nmekujaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] unatuzoom to from the other side.
Umekuja after mke mwenzio kuondoka.
Akujibu mara ngapi sasa[emoji3][emoji3]ndo nasubiri majibu ya sakayo au ndo umemjibia mama mchungaji!
Wivu kidonda na umeshiriki subiri kukpnda sasa.Mambo ya whatsap mnaleta hapa? Shenz
beb njoo sasa ivi[emoji15] [emoji15]
my upo??Wivu kidonda na umeshiriki subiri kukpnda sasa.
Punguza roho mbaya
Nipooomy upo??
Nakuona tu mi nakuzoom to Hapa katika lensi mbinuko wangu,unavyo mpetpet inna haraka rafiki yangu unamla kisogo tu.beb njoo sasa ivi
Usimwambie bwana.Nakuona tu mi nakuzoom to Hapa katika lensi mbinuko wangu,unavyo mpetpet inna haraka rafiki yangu unamla kisogo tu.
Na akija namuambia..
Halafu mporipori wangu namuaminia hatari hatari
Unajua wimbo wa man fongo shemejiiNipooo