hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
😁😁 Even lissu alikuwa ni project ya Mzee wa msoga Kwaajili ya kumsumbua JPM asitawale Kwa amaniLeo hii ndio akili yako imetambua kuwa hawa ni project CCM? Huko nyuma ulikuwa kibaraka mkubwa wa Mbowe
Hawa wanasiasa wote ni changamoto hakuna wa kumuamini endapo ukiwa na Akili timamu