Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Sugu akizungumza kwenye hafla ya kuuaga mwili wa Mzee Mwinyi kwenye Uwanja wa Uhuru (shamba la Bibi) , kabla ya kupelekwa kwao Zanzibar kwa mazishi , amemmwagia sifa Mwinyi kwamba ndiye aliyesaidia kukomesha vijana kutoswa baharini kwa kuzamia meli walipotaka kwenda Ulaya.
Kwamba Baada ya Mwinyi kuchukua madaraka akarahisisha njia za waliotaka kwenda Ulaya , badala ya kuzamia walianza kuomba Viza , utaratibu ambao awali ulikuwa kama siri ya viongozi na watoto wao .
Kwamba Baada ya Mwinyi kuchukua madaraka akarahisisha njia za waliotaka kwenda Ulaya , badala ya kuzamia walianza kuomba Viza , utaratibu ambao awali ulikuwa kama siri ya viongozi na watoto wao .