Ujumbe wa Tibor Nagy kuja Tanzania kwa namna Serikali inavyolichukulia janga la COVID -19

Ujumbe wa Tibor Nagy kuja Tanzania kwa namna Serikali inavyolichukulia janga la COVID -19

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
11,795
Reaction score
36,704
Huyu aliyenena haya ni Tibor Nagy naibu wa mwanadiplomasia wa wizara ya nje Marekani anayeshughulikia mambo ya Afrika.

Hatimaye mabeberu yameona usanii wetu.

IMG_20200523_105507.jpg
 
😂😅
Kuna Binadamu huwa mnatapatapa..
Mlianza kwenye tanzia Sasa mmekuja na huku na kote mtachapwa mboko!!..

Si lazima tuishi kwa maneno ya wamarekani ndugu.
 
😀 hii ina dhihirisha kuwa mabeberu watawaambia watu wao wanaotaka kuja kutalii kuwa TZ sio salama
 
Marekani ni baba yako mpaka umuogope?
Acha ujinga dogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
hao watalii wanatoka wapi kama wazungu wenyewe wanatilia msahaka usalama wao wakiwa Tz?
Hao wamarekani sio miungu!
Kuna watu wakisikia neno Marekani basi akili zinapagawa kabisa. Hata huko America wanatunia Oxygen ya bure kama ilivyo kwa wananchi wa Horiri na Buza kwa Mpalanje.
Hawa Wamarekani mkiwa mnawaomba misaada muwe mnaongea lugha hii-hii mnayonena hapa.
 
[emoji23][emoji28]
Kuna Binadamu huwa mnatapatapa..
Mlianza kwenye tanzia Sasa mmekuja na huku na kote mtachapwa mboko!!..

Si lazima tuishi kwa maneno ya wamarekani ndugu.
Hao wamarekani sio miungu!
Kuna watu wakisikia neno Marekani basi akili zinapagawa kabisa. Hata huko America wanatunia Oxygen ya bure kama ilivyo kwa wananchi wa Horiri na Buza kwa Mpalanje.
Marekani ni baba yako mpaka umuogope?
Acha ujinga dogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini mnamchukia mmarekani kwasababu amewaambia ukweli?

Leo ndio mnajua mmarekani sio baba yenu wakati juzi mmetoka huko kubembeleza awape msaada wa kupambana na Corona, acheni ujinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ufipa wakisikia Marekani hadi mapengo ya gego yanaonekana 🤣 🤣🤣🤣🤣
 
Unataka
😂😅
Kuna Binadamu huwa mnatapatapa..
Mlianza kwenye tanzia Sasa mmekuja na huku na kote mtachapwa mboko!!..

Si lazima tuishi kwa maneno ya wamarekani ndugu.
Hahahaha tuishi kwa maneno ya Jpm?
 
Back
Top Bottom