Ujumbe wa Tibor Nagy kuja Tanzania kwa namna Serikali inavyolichukulia janga la COVID -19

Ujumbe wa Tibor Nagy kuja Tanzania kwa namna Serikali inavyolichukulia janga la COVID -19

Ivi kumbe watalii wanatoka Marekani tu?!
hao watalii wanatoka wapi kama wazungu wenyewe wanatilia msahaka usalama wao wakiwa Tz?

Hawa Wamarekani mkiwa mnawaomba misaada muwe mnaongea lugha hii-hii mnayonena hapa.
Ninavyo jua mimi mtalii anaweza toka hata Togo ama Bahamas, ili mradi kilicho mleta ni utalii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hawa wazungu mkiwa mnawaomba misaada huwa mnawaita ni wahisani wa maendeleo na mko tayari hata kumwaga razi ila wakitoa tahadhari kuhusu TZ mnawabadilikia na kuwaita mabeberu
Hayo unayoyaongea mbona mimi sijayanena! Hao ni watu pia wenye mazuri na mapungufu yao.
 
booking za ndege watalii wa kuja bongo zimejaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Booking hazijaa. Hizo ni siasa bro. Mpama sasa abga la tanzania asubuh hii zimepita ndege mbili kuwa kutola south africa na hazitui tanzania. Zinaenda ulaya.
Kama zingekuwa zimejaa mpaka sasa tungeshapokea ndege za kutosha.
Isitoshe kwao wamepigwa pini. Mashirika mengi yalikuwa yamelaza ndege chini.
 
kwenye corona kila nchi ipambane na hali yake huyo anashangaa watalii wa Marekani kibao wamechoka lockdown wanataka kuja Tanzania wapunge upepo

Nchi zote zilizo ji lock down zimepeleka signal kwa watalii kuwa tatizo la corona ni kubwa sana kwao. Ndio maana watalii wengi wakiwemo wamarekani wanataka kuja Tanzania. ndio ukisoma hiyo meseji ya huyo mwanadiplomasia ni kama hawaelewi watalii wa kimarekani kutaka kuja Tanzania!! Yuko desperate

Nchi zote zilizoweka lockdown utalii kutengemea nchi hizo utachukua muda sana uwe wa ndani au nje sababu zimejenga perception kuwa kila eneo haliko salama

Lockdown sio sifa ni wewe kujitangaza nje kama nchi kuwa corona kwako ni tatizo kubwa mno!!! hii ina athari kubwa mno kwenye sekta ya utalii hata watoke lockdown watalii watakuwa na woga

Hongera Raisi Magufuli kutoweka lockdown
 
For the record tu. Mpaka sasa Australia. ndio.inaongoza kuwa na mashoga wengi duniani.
America wanashika nafasi ya 47.
Na hii ishu ilianzia germany. na mtu mmoja anautwa karl heinrich.
mi ninesema amerika ni kitovu sijasema ni ya kwanza.
chama cha mashoga duniani makao makuu ni US.kisha wanasambaza duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu aliyenena haya ni Tibor Nagy naibu wa mwanadiplomasia wa wizara ya nje Marekani anayeshughulikia mambo ya Afrika.

Hatimaye mabeberu yameona usanii wetu.
View attachment 1457328
Ujumbr mwingine kutoks BASATA
Screenshot_20200523-111256_Chrome.jpg
 
sio usanii, tumeishinda vita, mshukuruni Rais wenu, hata akili ya kawaida hujiulizi kwanini WHO na mabeberu mengine hawajakusanya nguvu kama sasa wanavyodai kutafuta chanjo ya ukimwi..??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini mnamchukia mmarekani kwasababu amewaambia ukweli?

Leo ndio mnajua mmarekani sio baba yenu wakati juzi mmetoka huko kubembeleza awape msaada wa kupambana na Corona, acheni ujinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unazidi kujiaibisha ndugu jua kutofautisha maandiko ya watu sio unakusanya tu kila komenti.
 
Booking hazijaa. Hizo ni siasa bro. Mpama sasa abga la tanzania asubuh hii zimepita ndege mbili kuwa kutola south africa na hazitui tanzania. Zinaenda ulaya.
Kama zingekuwa zimejaa mpaka sasa tungeshapokea ndege za kutosha.
Isitoshe kwao wamepigwa pini. Mashirika mengi yalikuwa yamelaza ndege chini.
"anga la tanzania asubuhi hii zimepita ndege mbili tu kutoka south africa na hazitui tanzania.zinaenda ulaya"
hayo maneno hapo juu umeandika wewe.

alafu wewe uyo uyo umesema hata izo nchi zimepigwa pini wakati.kipi ni kipi.?

ukiambiwa booking zimejaa ni pale ilo shirika la ndege litakapo anza kufanya ruti zake za kubeba abiria basi tyr kuna watu washafanya booking.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom