Ninavyo jua mimi mtalii anaweza toka hata Togo ama Bahamas, ili mradi kilicho mleta ni utalii.hao watalii wanatoka wapi kama wazungu wenyewe wanatilia msahaka usalama wao wakiwa Tz?
Hawa Wamarekani mkiwa mnawaomba misaada muwe mnaongea lugha hii-hii mnayonena hapa.
magufuli alishakataa kujikomba komba kwa mabeberu.kwanini huwa mnalilia kupewa misaada na mashoga??
Hayo unayoyaongea mbona mimi sijayanena! Hao ni watu pia wenye mazuri na mapungufu yao.hawa wazungu mkiwa mnawaomba misaada huwa mnawaita ni wahisani wa maendeleo na mko tayari hata kumwaga razi ila wakitoa tahadhari kuhusu TZ mnawabadilikia na kuwaita mabeberu
haya subirini watalii wa togo.Ivi kumbe watalii wanatoka Marekani tu?! Ninavyo jua mimi mtalii anaweza toka hata Togo ama Bahamas, ili mradi kilicho mleta ni utalii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Booking hazijaa. Hizo ni siasa bro. Mpama sasa abga la tanzania asubuh hii zimepita ndege mbili kuwa kutola south africa na hazitui tanzania. Zinaenda ulaya.
Huyu aliyenena haya ni Tibor Nagy naibu wa mwanadiplomasia wa wizara ya nje Marekani anayeshughulikia mambo ya Afrika.
Hatimaye mabeberu yameona usanii wetu.
View attachment 1457328
huu ugoro hata house girl wenu hawezi kukuamini.magufuli alishakataa kujikomba komba kwa mabeberu.
sema some time wao wenyewe wanaleta pesa zao kwa kuwa wanajua umuhimu wa tanzania kwa east africa.tanzania ni msaada mkubwa kwa nchi nyingi za jirani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asilimia kubwa wanatokea wapi?Ivi kumbe watalii wanatoka Marekani tu?! Ninavyo jua mimi mtalii anaweza toka hata Togo ama Bahamas, ili mradi kilicho mleta ni utalii.
Sent using Jamii Forums mobile app
mi ninesema amerika ni kitovu sijasema ni ya kwanza.For the record tu. Mpaka sasa Australia. ndio.inaongoza kuwa na mashoga wengi duniani.
America wanashika nafasi ya 47.
Na hii ishu ilianzia germany. na mtu mmoja anautwa karl heinrich.
Ujumbr mwingine kutoks BASATAHuyu aliyenena haya ni Tibor Nagy naibu wa mwanadiplomasia wa wizara ya nje Marekani anayeshughulikia mambo ya Afrika.
Hatimaye mabeberu yameona usanii wetu.
View attachment 1457328
Bado pia umekosea. Chama kikuu makao yake yako london ..uingereza.mi ninesema amerika ni kitovu sijasema ni ya kwanza.
chama cha mashoga duniani makao makuu ni US.kisha wanasambaza duniani
Sent using Jamii Forums mobile app
Unazidi kujiaibisha ndugu jua kutofautisha maandiko ya watu sio unakusanya tu kila komenti.Kwanini mnamchukia mmarekani kwasababu amewaambia ukweli?
Leo ndio mnajua mmarekani sio baba yenu wakati juzi mmetoka huko kubembeleza awape msaada wa kupambana na Corona, acheni ujinga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chama cha wauwaji WASIOJULIKANA kitovu chake ni wapi,?mi ninesema amerika ni kitovu sijasema ni ya kwanza.
chama cha mashoga duniani makao makuu ni US.kisha wanasambaza duniani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ni lazima waishi TanzaniaWameshafanya risk assessment wameona hatari ya maisha yao wakiwa huku ni kubwa.
"anga la tanzania asubuhi hii zimepita ndege mbili tu kutoka south africa na hazitui tanzania.zinaenda ulaya"Booking hazijaa. Hizo ni siasa bro. Mpama sasa abga la tanzania asubuh hii zimepita ndege mbili kuwa kutola south africa na hazitui tanzania. Zinaenda ulaya.
Kama zingekuwa zimejaa mpaka sasa tungeshapokea ndege za kutosha.
Isitoshe kwao wamepigwa pini. Mashirika mengi yalikuwa yamelaza ndege chini.
washauri wa babaHuyu aliyenena haya ni Tibor Nagy naibu wa mwanadiplomasia wa wizara ya nje Marekani anayeshughulikia mambo ya Afrika.
Hatimaye mabeberu yameona usanii wetu.
View attachment 1457328