Walezi wetu kiroho wametueleza nn leo makanisani?
Huku Kagera mafundisho yamejikita kwenye Mambo makuu manne;
1. Tuombe toba kwa Taifa letu
2. Tusameane
3. Tujifunze kuwasikiliza walio na mawazo tofauti na sisi
4. Tumuenzi kristo kwa kupendana
..huko ulipo Mambo ya rohoni yaliendeshwa vipi.......