Ujumbe wa wazi kwa Lemutuz ni hiari yako umeze au uteme

Status
Not open for further replies.
Mwacheni jamani ni stail ya maisha yake

May Allah bless Me and You
 

Kwanza siwajui wewe wala Le mutuz. Ila ukiona mtu anafuatilia maisha ya mtu ujue huyo kafilisika na hana maisha yake. Uzee ni namba na jinsi unavyoamua basi wewe unakua Babu hata ukiwa under 18 kama wewe mwanaisha. Sorry Mwandishi. Kila siku unapiga kelele Demokrasia. Uhuru wa mtu. Tena hata kutukana sasa ni Demokrasia. Lakini wewe sijui umemuona Le mutuz na mpenzi wako so inakuuma. Sijui we jike Le mubebez alikupa kibitz. Sasa tueleze we Muda wa kujua le mutuz ana au hana nyumba ulipata wapi. Alikulala bila hela. Hivi Watz tukoje. Lemutuz popote haijawahi kujificha ID yake. We hatujui hata kama ulichawi kumiliki tochi. Pengine hata bundle umekopa lakini Uko Hpa kuzungumzia maisha ya mtu mwingine. Iwe lemu or lamu. HUNA HAKI KWA KUWA YEYE HUJAMPA KURA ILI AKUONGOZE NA WEWE HUMJAJI. Ila sifa ya vijana waliobalee ni ubishi wa maneno. No facts kwa kuwa upeoo wenu ndo ulipooshia. USHAMBA Wako ndo unadhani Inst au Jf imewekwa kwa ajili ya watoto na vijana. Ni kwa kuwa unadhani huku ni mahali pa kutongozeana na kulalana tu. No ni mTANDAO WA KIJAMII. IT CONNECTS,it brings close friends and business. Market. Sio umbeya na ujana. Kesho uje utuambie maisha yako. Mana maisha ya mtz mwingine hata mkeo huwezi kumjua sembuse wewe
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…