Ujumbe wa wazi kwa Lemutuz ni hiari yako umeze au uteme

Ujumbe wa wazi kwa Lemutuz ni hiari yako umeze au uteme

Status
Not open for further replies.
huyu jamaa si ni mgogo ,lakini? ??


Ndiyo ana asili ya kulala popote (mgogo) kwani iko ndani ya damu yake. Usikute kisha jihalilishia kulala vituo vya Mwendo Kasi hapa mjini na kuita Bongo tambarare. Le Mutuz bwana, pale Kinondoni makaburini kajipangia sehemu ya kulala mchana akitoka Break Point....si chumba cha kulala, yaani ana kiwanja pale makaburini anapumzikia mchana huku akichat na mademu wasiojitambua. Mi nafikiri familia yake walishamchoka na ndiyo maana hawajisumbui naye.
 
- hapana ni nyuma ya vigae sio ya mabati, halafu siitaki tena ndio maana nataka kuiuza maana siwezi kwenda kuishi huko, nataka one day nihamie Mbweni so wala sio ishu sana, na mnunuzi nimeshapata so usijali sana

le Mutuz
Bora makonda aanze kuwafunga wanaolala hotelin na guest kama umeuza na hlo banda lako bac umekua yahaya rasimi
 
Inasemekana huyu mtu kasomea saikolojia ya bianadamu ila kwa sie tulio na uelewa wa binadamu na elimu dunia tunaona yeye ndiye mwenye matatizo ya kisaokolojia. Kwa nini serikali isimkamate wampeleke kwa nduguze Dom, anaitia haibu sana familia yake.


15193424_658444951004573_3223480481268003159_n.jpg



- ni kweli mkuu nawatia aibu sana familia yangu kwa kuandika kitabu kama hiki na Makamu wa Rais kukubali kukutana na mimi ili nimkabidhi hiki kitabu kweli ninawatia aibu sana hahahahahahaha

le Mutuz
 
14440638_651101321738936_3439220373456124508_n.jpg


- Hoja yako ya msingi ni mimi unaniona live nakula batazzz, mama yangu alikuwa na maisha yake na mimi nina yangu kinachokuuma ni maisha yangu hayo nazidi kukupa picha za maiosha yangu, mama yangu hahusiki ni marehemu muwache cheza na mimi, ukitaka ajira karibu sana ila mimi huniwezi sio size yako hahahahahaha ona batazzz hizo kwenye picha tena mubasharazzz

le Mutuz
Le mbebez[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
- hahahahahaha Miss Kitongoji love U mingizz umeona hawaniwezi hawa mburulazzzzz hahahahahah ngoja nitoke ofisini now niwahi Batamnnnn

le Mutuz
Yani nimekupenda bure le mbebez naona wote wamesepa enjoy mwaya life is too short [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kwako Lemutuz
Unajiita sijui mzee wa mbebez, sijui le mbebez haya majina kiukweli hayaendani na wewe. Umri ulokua nao sio umri wa kuchanua na kula bata na vitoto vidogo ni umri wa kukaa nyumbani na kulea wajukuu

Kwa umri wako woteee kweli hivi unaishi maisha ya kulala hotelini?
Ni aibu gani hii jamani? Kwanini usiuze gari ujenge hata kajumba kaa room moja?
Huoni umri umekata ringi? Ni ushauri tu huo ndugu yangu lemutuz. Hizo sio zama zako za kukaa instagram kushindana na watoto kama kina mange la! huko ni kujitafutia matatizo bure

Hizi ni zama zako za kukaa na family yako kulea wajukuu.na watoto,,,,,over, hakuna kingine. Hivi lemutuz huna marafiki?Kama unao kwanini hawakushauri vizuri?
Kwanini unaiaibisha family yenu?

Hizo pesa za bata zikisha na kununua petrol ya gari utakua mgeni wa nani?
Kwanini hvi lakini? Jifunze kubadilika mange c type yako vitoto vya insta sio saizi yako ulipaswa ukae chini ulee familia na wajukuu maisha unayoishi sio level yako unayoyafanya sasa hivi ulipaswa kufanya ujanani sio sasa hivi

NI USHAURI TU
OVER,,,,,,,,,,,,,,
Kwa hali ilivyo sasa unapata wapi muda wa kufuatilia maisha ya mtu?, komaa utengeneze hela zako na wewe ukale bata/kuishi hotelini, huku kufuatilia maisha ya mtu sio kabisa, nani wewe anafuatilia maisha yako buana?
 
huu uzi umenifanya nijisikie aibu.

How old is this old man ??

Hakuna wa kumuokoa na hizi aibu !!!

Ni mkweli lakini ana upungufu wa akili nadhani......
 
Kuna ambayo naiona,sio Ka kibamia kako. Angalia kwenye zile chats zako utaona,ulisema una 4.5 au umesahau nikuletee zile convo zilizoletwa??
Kila nakushauri,acha ushoga kaka,sio tabia nzuri.
Naona mnaligi ila huyo bwana anastress unaanzaje mtongoza mwanaume mwenzako halafu unalilia. Tukamreport aende jela miaka 30
 
- hahahaha ndugu yangu yangu usijali hakuna kitu kizuri in life kama kucheza na akili za wajinga kama huyu mleta mada cause alidhani atanichafua kumbe wameshindwa wengine wengi kabla yake hapa na kwenye real life, hahahahahaha huoni kwamba amenipa nafasi ya kuonyesha maisha yangu yalivyo genuine na uhakika that is all I could ask kutoka kwa any fool, hahahahahaha so worry not boss.

le Mutuz
Lemutuz kweli wewe kiboko toka nijiunge jf,kila mwaka unatungiwa Uzi lakini hauna papara.Unasubiri page ya 10 kuja kuwapa kubwa zao.
 
- hapana najenga mpya Mbweni hiyo nataka kuiuza kwa sababu ni nyumba yangu sio yako wala unaowasema sio yao mwenye hati ni mimi ni yangu hahahahahahahahaha

le Mutuz
Kuna kipindi ulisema kuwa ile nyumba yenye mgogoro unaiuza na ushapata mteja, leo unasema kuwa unataka kuiuza tena, inamaana yule mteja wa kipindi kile aliingiachaka?
 
Kuna kipindi ulisema kuwa ile nyumba yenye mgogoro unaiuza na ushapata mteja, leo unasema kuwa unataka kuiuza tena, inamaana yule mteja wa kipindi kile aliingiachaka?

Ivi huyu jamaa ana miaka mingapi??

Sometimes huwa namuonaga kama zimepungua kidogo kichwani au kuna kafuse kameungua
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom