Ujumbe wa wazi kwa Lemutuz ni hiari yako umeze au uteme

Ujumbe wa wazi kwa Lemutuz ni hiari yako umeze au uteme

Status
Not open for further replies.
mkuu namba B tumeiona hyo embu sasa tuwekee na mjengo
13432197_580341622148240_265708811739444088_n.jpg

- hapo ni jikoni ninapoishi sasa hivi...
1904266_384604668388604_4251816806645688702_n.jpg

- this is my home Kinyerezi na chini ni shamba langu Kinyerezi kama unataka nitakuwekea na Mbweni uone sisi hatuishi kwa kuigiza ok

10917067_384604625055275_5067532942062681103_n.jpg
 
Acha ujinga wewe! Usiseme usichokijua. Mimi namjua Mange na Ninamjua Lepumbus, hawa ni ndugu kabisa. Na Mange huwa anamshauri ndugu yake na ugomvi wao wa kindugu waliuleta mitandanoni .... huna ujualo kaa kimywaaa
Mbona unapanic au na wewe akili zako anazo Mange..?
Pamoja na hayo ungejibu nafas ya Mange kwa Le Mutuz au Le Mutuz alishawahi omba ushauri kwa mtu huyo..?
 
hyo nyumba toka 2012 ipo hapo hapo? le mutuz kumbe wewe ni msanii tu mjini.hyo nyumba madirisha ya alminium hata m 2 haziishi ila umeshindwa kumalizia hapo loh?

- ulisema sina nyumba sasa unageuka tena kwa nini haijaisha? hahahahahahahhaa unaona mnarukia rukia wanaume huku na kujisema jinsia zenu kuweni makini mtaumia hahahahahahah

le Mutuz
 
- ulisema sina nyumba sasa unageuka tena kwa nini haijaisha? hahahahahahahhaa unaona mnarukia rukia wanaume huku na kujisema jinsia zenu kuweni makini mtaumia hahahahahahah

le Mutuz
hyo nyumba ulipewa na wakwe zako kiwanja kwenye sendoff ya mkeo.mkeo kajenga kafikisha hapo malizia basi le mutuz wajukuu utaweka wapi?
 
hyo nyumba ulipewa na wakwe zako kiwanja kwenye sendoff ya mkeo.mkeo kajenga kafikisha hapo malizia basi le mutuz wajukuu utaweka wapi?

- hapana najenga mpya Mbweni hiyo nataka kuiuza kwa sababu ni nyumba yangu sio yako wala unaowasema sio yao mwenye hati ni mimi ni yangu hahahahahahahahaha

le Mutuz
 
- hapana najenga mpya Mbweni hiyo nataka kuiuza kwa sababu ni nyumba yangu sio yako wala unaowasema sio yao mwenye hati ni mimi ni yangu hahahahahahahahaha

le Mutuz
sawa kila la kheri umefikia wapi maana nipo kwenye construction industry nikupe ushauri ?
 
hyo nyumba toka 2012 ipo hapo hapo? le mutuz kumbe wewe ni msanii tu mjini.hyo nyumba madirisha ya alminium hata m 2 haziishi ila umeshindwa kumalizia hapo loh?
ha ha haa mkuu le mutuz unakimbiza ila bati zina kutu mkuu ungepiga hata msauzi tu sidhani kama ungeshindwa kama unakodi boti mkuu iweje nyumba bati ziwe na kutu?

na VP hayo madirisha mkuu aluminium moja si laki mbili ? maana kukodi boti sio mchezo mkuu le mutuz, ungekodi bajaji then hela ya kukodi boti ukaweke madirisha au uliogopa mabebez wangekukimbia??
 
- hapana ni nyuma ya vigae sio ya mabati, halafu siitaki tena ndio maana nataka kuiuza maana siwezi kwenda kuishi huko, nataka one day nihamie Mbweni so wala sio ishu sana, na mnunuzi nimeshapata so usijali sana

le Mutuz
 
Inasemekana huyu mtu kasomea saikolojia ya bianadamu ila kwa sie tulio na uelewa wa binadamu na elimu dunia tunaona yeye ndiye mwenye matatizo ya kisaokolojia. Kwa nini serikali isimkamate wampeleke kwa nduguze Dom, anaitia haibu sana familia yake.
 
- THANKS nichek at atsap 0717618997 anytime napenda ushauri sana U know, hahaha umeona wanapiga piga kelele nikiwa sipo nikija wanakimbia na hoja mfu hahahahahaha

le Mutuz
poa dear nakutakia kila la kheri ila nawe punguza mashauzi na wabebz wako jamani.ukiitaji kitu njoo pm nitakushauri mafundi wa bongo wezi sana nitakusaidia sana kuminimize cost .
 
bila aibu utamkuta anashindana na mange

Mtu mwenye matatizo ya kisaikolojia ni mgumu kujitambua kwani ule ni ugonjwa.....utashinadana naye mpaka utashindwa mwenyewe. A simple common sense does not apply to them, dawa yake ni kumakamta tu na kumepeleka Dom kwenye ile hospitali ya vichaa akapimwe na kupata ushauri nasaa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom