Ujumbe wa wazi kwa Lemutuz ni hiari yako umeze au uteme

Ujumbe wa wazi kwa Lemutuz ni hiari yako umeze au uteme

Status
Not open for further replies.
18700119_759355587580175_3357714736167147205_n.jpg




Le Mutuz Nation at Hyatt Regency Dar es Salaam, The Kilimanjaro.
· Instagram ·
"HAPA NI KAZI TU ......Don't be afraid of losing people....Be afraid of losing yourself by trying to please everyone around you.....live at my Office Downtown ...MWANAUME NI KAZI KWANZA!" - le Mutuz Nation
18671226_759355527580181_557736568837327933_n.jpg


18700289_759355474246853_7656392898352390409_n.jpg


18622167_759355444246856_5666217113408065974_n.jpg


18664493_759355394246861_744357596106265104_n.jpg





Kwako Lemutuz
Unajiita sijui mzee wa mbebez, sijui le mbebez haya majina kiukweli hayaendani na wewe. Umri ulokua nao sio umri wa kuchanua na kula bata na vitoto vidogo ni umri wa kukaa nyumbani na kulea wajukuu

Kwa umri wako woteee kweli hivi unaishi maisha ya kulala hotelini?
Ni aibu gani hii jamani? Kwanini usiuze gari ujenge hata kajumba kaa room moja?
Huoni umri umekata ringi? Ni ushauri tu huo ndugu yangu lemutuz. Hizo sio zama zako za kukaa instagram kushindana na watoto kama kina mange la! huko ni kujitafutia matatizo bure

Hizi ni zama zako za kukaa na family yako kulea wajukuu.na watoto,,,,,over, hakuna kingine. Hivi lemutuz huna marafiki?Kama unao kwanini hawakushauri vizuri?
Kwanini unaiaibisha family yenu?

Hizo pesa za bata zikisha na kununua petrol ya gari utakua mgeni wa nani?
Kwanini hvi lakini? Jifunze kubadilika mange c type yako vitoto vya insta sio saizi yako ulipaswa ukae chini ulee familia na wajukuu maisha unayoishi sio level yako unayoyafanya sasa hivi ulipaswa kufanya ujanani sio sasa hivi

NI USHAURI TU
OVER,,,,,,,,,,,,,,
 
Unafahamu mimi huwa siangalii jukwaa?

Naangalia thread iliyo juu tu na kama inanifurahisha kuchangia.

Kwani umenionaje? Mhafidhina fulani jioni kisomo?

Habari za Le Baharia sitazishobokea?
Huyo namjua tangu Mt. Vernon na kabla.
Anaishi anavyotaka kwa kiasi chake. Watanzania wengi wanaishi kwa kupangiwa na jamii. Hawawezi kumuelewa Le Baharia.

- hahahahahah thank U boss naona umemsaidia sana le mburulazzzz hahahahahahah anasema Mwanamke mwenye miaka 47 na watoto 3 baba tofauti ni msichana mdogo hahahahahahahahhaha

le Mutuz
 
Daah yule mzee Siku ya kwanza namuona kama miezi miwili hivi nilishangaa sana...! Ni mbabu atiii ...! Ila anaposti akiwa na vitoto vidogo aisee jamaa atapata akili mbali Sana'a.
Wadau-wa-kipindi-cha-Harusi-Jacky-Mzindakaya-William-Malecela-na-friend-wakipozi.jpg


- yaani Batannn U know baada ya kazi, kama hupendi kufwa tu ila maisha yangu hayawezi kusimama kwa sababu wewe huna maisha sasa unataka na mimi maisha yangu yasimame kama yako hahahahahaha inaitwa KURA MAISHA U KNOW hahahaha na le wabebezz Super Mitindizz

le Mutuz
 
Yote uliyoandika ni wivu tu na pia yanasababishwa na bifu kama la kibinafsi juu yake.

Yaani kabisa umekaa wewe sijui mtu mzima ukaandika. Ungekuwa na ubavu ungeandika na majina yako kabisa ila kwa ID ya humu ni umejaa wivuuuuuuuuuuuuuu...unatamani uwe yeye.


Anawanyoosha haswaaaaaa na maisha yake ya iuwa na furaha na akili kubwaz... ha ha ha haaaaa

Upupwu grade A****

Haya tafuta njia ya kulipa voch uliyokopa kwenye mtandao wako sasa hivi...big alosto.

- hahahahahahaha saafi sana nakupenda babe naomba nikuoe please hahahahahaha

le Mutuz
 
Hizi Hapa umewekewa. Njoo ukane..kumbe we bwabwa!!!???mchicha mwiba[emoji15] Ray waniache asante kwa kumulika hili kuku mtamu.

Halafu kumbe ana kibamia...4.5 [emoji46]
Hahahahahahaaaaa! Mwambie aongeze na nyingine ameziachaa 😀 😀 😀 😀 😀 Sawa wewe Maserati
Halafu tena sio kibamia cha 4.5 mi ninacho cha 1.5 mkuu 😛 😛
 
Tangu watanzania wajue Instagram ni shida tu mpaka naona vibabu havitaki kushindwa.
18664363_759696464212754_9164919482728715338_n.jpg


- INFACT ndio kwanza nimemaliza Breakfast hapa at Southern Sun Hotel, ndio nimeona hii baada yakufika Ofisini kwangu si unajua ni like dakika 3 from here na ni 5 minutes from here to my home, hahahahaha so maisha yanaendelea hayasimami never hizi kelele ni za mlango na watu wasiokuwa na maisha maana mtoto wa kiume mwenye maisha huwezi kuwa na muda na maisha ya wanaume wengine unless una matatizo fulani ya kuwashwa au jinsia hahahahahahhahahahahaa

le Mutuz
 
Mkuu samahani.
Hata yy hapendi kutuelewa sisi tusiomhusu tena wengi wetu tuna pseudo names humu. Kumuelewa mtu aliyeishi maisha fulani ktk utamaduni mwingine ni ngumu. Kama lengo ni kutaka kumshauri huyo jamaa ni approachable sana mnaweza use PM au hata kukutana mkashauriana vizuri tuu with peace and love. Lakini sio kumuanika mara hivi mara vile. Anaweza kuwa na makosa kama binadamu so mnaweza argue abt lakini kwa ustaarab tu bila kumvunjia utu wake.

NB
Kama unashangaa maisha yake huku mitaani kuna life styles za ajabu huyo jamaa. Sema tu ni kwa vile ni mtu social media sana na nasaba yake ndio maana anakuwa talked sana.
ni kichaa peke yake ndo anaweza kumuonea le mutuz wivu
kwa lipi?
1.picha za kuomba wapige?
2.kampani za mademu kama kina kaoge?
3.Ukubwa jinga wake?
4.Kutokua na hata choo alichojenga
5.Au tutamuonea wivu Kw sbb ana Laana Ya mamake mzazi?
 
Fanyeni fasta hiyo na nani??? Mi nlkuwepo huko pm ulivyokuwa unamtongoza mwenzako!!!!??? Na kashakuweka huko
Hahahahaha wewe Maserati Unajipotezea muda mimi sina la kunena ila plan yetu ni kumtia mbaroni huyu choko wako na tumeshajua location yake ila na wewe utatakiwa utusaidie manake wewe ni mtetea waharifu kwa katiba ya Tanzania mapenzi ya jinsia moja ni kosa so kaa tayari muda wowote tutakukamata tu wewe Maserati na Ray waniache.
 
Le mutuz akili yake ina approach kwenye 0.1

Kubwa jinga hili

18622328_759355634246837_3148421042312220714_n.jpg


- HUYU ni my babe le fiancee so relax hahahahahaa maisha yangu sawa ila angalia yako kama yapo sawa hahahahaha maana wanasema mpumbavu huwa haoni zaidi umbali wa pua yake tu hahahahahahahahahhaa eti na wewe una mbebezz rangi ya mtume super mtindiz kama huyu? hahahaha usiombee kijana kupata mbebezz kama huyu unakuwa unaeleea mbinguni mbinguni kwa furaha hadi rohoni hahahahahaha U know

le Mutuz
 
Hivi Le mutuz ni mzee kwani?

- hahahahahahah mzee ni nini kwani? na kijana ni nini? hahaha I am just living my life, ninafanya kazi ninamiliki kampuni ninawapa ajira vijana 5 waliomaliza Vyuo Vikuu vya Tanzania, ninaishi nyumbani kwangu mjini Posta, nimejenga nyumba Kinyerezi na ninajenga nyingine Mbweni, na sasa ninajenga Studio yangu ya kurekodia vipindi vya TV hapa mjini,

- Sasa kwa yote hayo kama sina akili naomba kufa hahahahahaha I hope wewe na wengine wengi humu mnao uwezo wa kuishi kama wangu kama hamna mtakuwa mnajisuta sana nafsi zenu na mioyo yenu, maana nataka kuamini kwamba na nyinyin mna maisha kama yangu ni mazuri sana na ninayapenda sana!

le Mutuz
 
Kwako Lemutuz
Unajiita sijui mzee wa mbebez, sijui le mbebez haya majina kiukweli hayaendani na wewe. Umri ulokua nao sio umri wa kuchanua na kula bata na vitoto vidogo ni umri wa kukaa nyumbani na kulea wajukuu

Kwa umri wako woteee kweli hivi unaishi maisha ya kulala hotelini?
Ni aibu gani hii jamani? Kwanini usiuze gari ujenge hata kajumba kaa room moja?
Huoni umri umekata ringi? Ni ushauri tu huo ndugu yangu lemutuz. Hizo sio zama zako za kukaa instagram kushindana na watoto kama kina mange la! huko ni kujitafutia matatizo bure

Hizi ni zama zako za kukaa na family yako kulea wajukuu.na watoto,,,,,over, hakuna kingine. Hivi lemutuz huna marafiki?Kama unao kwanini hawakushauri vizuri?
Kwanini unaiaibisha family yenu?

Hizo pesa za bata zikisha na kununua petrol ya gari utakua mgeni wa nani?
Kwanini hvi lakini? Jifunze kubadilika mange c type yako vitoto vya insta sio saizi yako ulipaswa ukae chini ulee familia na wajukuu maisha unayoishi sio level yako unayoyafanya sasa hivi ulipaswa kufanya ujanani sio sasa hivi

NI USHAURI TU
OVER,,,,,,,,,,,,,,

- Kijana mdogo ninakushuru sana kwa kuniongezea umaarufu na hasa kwenye kazi yangu ya Social MEdia, maana page 10 viewers 10,000 hwua ndio target yangu by the way nimeaanza kujenga Studio ya kurekodia vipindi vya TV hapa mjini pamoja na kuingia kwenye Online TV na Streaming live so kama unahitaji kibarua nitafute maana ni bora tukupe ajira uandike kwa kulipwa kuliko kuandika bure ok hahahahahahahhaa

le Mutuz
 
Le mutuz akili yake ina approach kwenye 0.1

Kubwa jinga hili
Huyu Le Mutuz amewafanya nini haswa?! Labda kuna jambo sielewi hapa, Huyu mtu anatafuta pesa yake mwenyewe na amechagua kuishi maisha yake apendavyo.

Mambo ya kujenga, kuoa, kulea wajukuu n.k ni maamuzi ya mtu binafsi. Msikariri maisha!

Watanzania tufike mahali tujitafakari, umbea na uchokonozi wa maisha ya wengine hauongezi thamani yoyote kwenye maisha. Kila mtu anastahili kuishi apendavyo mradi tu asivunje sheria.
 
hahaaa mapovu yote hayo le mutuz una nini ambacho mm sikupewa gari? ninayo, kipi kingine hivi ww huoni ushakua babu sahivi hii ni tyme yako ya kulea wajukuu sio muda wa kulala hotelini unazeeka huna hata jiwe la msingi hahaha

- hahahahaha weka picha mkuu mimi nimeweka picha na wew weka nikuletee zingine jinsi ninavyoishi hahahaha wewe una matatizo ya jinsia au unataka nikuoe maana haiwezekani maisha yangu yakakusimbua na sijawahi kukuomba senti tano, sasa nakuoaje na wewe ni mtoto wa kiume unayejibadilisha jina humu mitandaoni hahahahahaha pole sana mkuu mimi sio size yako,

- Ninazo ajira kama unataka karibu sana nikupe ajira kwenye kampuni yangu

le Mutuz
 
12170e2c8630b7f2a8cbce89178f89ee.jpg
9e18199192f24ce9255d60c47523e123.jpg

hahaha eti king of social network hahaha le jingaz badala ya kwenda kumsaidia mama yako mpk akafia. kwny dhiki we unakula bata za kipuuz
le jingaaaz leo nipo na ww mpk kuchee

- Hiuzo ni picha zangu na mama yangu, na nilizweka mwenyewe kwa sababu ni zangu sasa tatizo lipo wapi? hahahahahhaa wewe jinsia inakusumbua mimi sio size yako hahahahahahahhaa

le Mutuz
 
bora umekuja nilikusibiri sana le mutuz

- Sure nimekuja nipo hapa huwa sikimbii wajinga, wasio na maisha kama wewe mimi I make money here wewe unaandika bure na bando juu sasa unaweza kunifikia akili mimi wewe, hahahahahahha weka picha ya ofisi yako maana nimekuwekea kule uone ninavyoishi, sibahatishi mjinga wewe hahahahahaha

le Mutuz
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom