Ray waniache
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 737
- 507
- Thread starter
- #21
kbs mkuu anazeeka hana hata chooNdo maana ananyoa nywele zote na mandevu ili msione mamvi kibao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kbs mkuu anazeeka hana hata chooNdo maana ananyoa nywele zote na mandevu ili msione mamvi kibao.
Sio rahisi kwa nafasi ya baba yake tangu enzi za mwalimu its obvious huyu bwana hajakulia maisha ya tabaka la kawaida so hakuna ambacho aliruka.au kuna stage ambayo hakuipitia vizuri ndo maana anawehuka
huwa anadai hao wanawake warembo ndo huwa wanamuomba apige nao picha lakini ukweli usio na shaka ni yeye anapoona mrembo anakwenda kuomba kupiga nae picha kisha kuzirusha kwenye mitandao,kuna wanawake wengi wameachika kwasababu waume zao wanapoona picha za wake zao na huyu babu, wengi wenye akili huwa wanamtimuaga mbaya.cjaona.jipya zaidi ya ulimbukeni wa kizee happ
tatizo hajajitambua sasa yukojeau kuna stage ambayo hakuipitia vizuri ndo maana anawehuka
inamaana anatembea na poti la kunyea kwa gari yake?kbs mkuu anazeeka hana hata choo
Kwako
Lemutuz
Unajiita sijui mzee wa mbebez, sijui le mbebez haya majina kiukweli hayaendani na wewe
Umri ulokua nao sio umri wa kuchanua na kula bata na vitoto vidogo ni umri wa kukaa nyumbani na kulea wajukuu
Kwa umri wako woteee kweli hivi unaishi maisha ya kulala hotelini?
Ni aibu gani hii jamani?
Kwanini usiuze gari ujenge hata kajumba kaa room moja?
Huoni umri umekata ringi?
Ni ushauri tu huo ndugu yangu lemutuz
Hizo sio zama zako za kukaa instagram kushindana na watoto kama kina mange la! huko ni kujitafutia matatizo bure
Hizi ni zama zako za kukaa na family yako kulea wajukuu.na watoto,,,,,over, hakuna kingine
Hivi lemutuz huna marafiki?Kama unayo kwanini hawakushauri vizuri?
Kwanini unaiaibisha family yenu?
Hizo pesa za bata zikisha na kununua petrol ya gari utakua mgeni wa nani?
Kwanini hvi lakini?
Jifunze kubadilika mange c type yako vitoto vya insta sio saizi yako ulipaswa ukae chini ulee familia na wajukuu maisha unayoishi sio level yako unayoyafanya sahv ulipaswa kufanya ujanani sio sasahivi
NI USHAURI TU
OVER,,,,,,,,,,,,,,
hahahaha halafu jamaa anaona sifaaa kumbe ni ujinga tuhuwa anadai hao wanawake warembo ndo huwa wanamuomba apige nao picha lakini ukweli usio na shaka ni yeye anapoona mrembo anakwenda kuomba kupiga nae picha kisha kuzirusha kwenye mitandao,kuna wanawake wengi wameachika kwasababu waume zao wanapoona picha za wake zao na huyu babu, wengi wenye akili huwa wanamtimuaga mbaya.
bila aibu utamkuta anashindana na mange
Leo niko bored napita. Tu. Moja Umri ni but a number. Mbili. Insta msidhani ya watoto. Ni ushamba wako wa kujua matumizi ya Insta ndo unakufanya ulete pumba zako zilizojaa ujuvi. Wivu hapa. By the way Ungekuwa mwanamume wa nguvu ungeenda huko hotelini kukaa naye na kuongea ili naye akupime kwa level ya ujinga wako. Hapa ni kutudhalilisha wanaume kwamba tuna kigoli mwanamume hajui anachoongea.tatu. Twende na logic zako Mange anaweza kuwa labda na 40. saaa kwa vipimo vyako je unadhani mwanamke mwenye watoto hadhi yake ni kukaa Insta. Kusubiri wambeya wa Tz wamtumie majungu ndo aposti. Au ulizani anaota. Pili katika tatu. Kiumri 40 yrs kwa mwanamke ni 70 ya mwanamume. Tatu katika tatu. Ushabiki wako ni wa kipumbavu maana umeongea ila umesahau kujitofautisha na mbwa au mnyama asiyekuwa na akili na utashi. Nne. Ulishwahi kwenda kwa baba yake akakueleza anamwaibisha. Moja katika nne. Je unajua huyo mtu anapokaa. Account yake. Kama anajenga hajengi. By the way we umejenga wapi JF au INSta. Je kati ya Yeye anayeweka maisha yake wazi na wewe unayejificha kwetu unadhani nani tutamwona wa maana. We unaweza kuwa hata yule anayetafutwa kwa kuchoma wale Watu kule Arusha. Duuu nimechoka. Ngoja nifunge kwa kusema. Kijana. Mtoto. Mzee amka. Tengeneza maisha yako. Acha kuingilia maisha ya Watu. Acha umbeya. Barua ya wazi andikia wazazi wako au we mwenyewe jieleze umepotea wapi. Kawaida mpumbavu Haoni zaidi ya juu ya pua yake.
Hili povu sio bure!Leo niko bored napita. Tu. Moja Umri ni but a number. Mbili. Insta msidhani ya watoto. Ni ushamba wako wa kujua matumizi ya Insta ndo unakufanya ulete pumba zako zilizojaa ujuvi. Wivu hapa. By the way Ungekuwa mwanamume wa nguvu ungeenda huko hotelini kukaa naye na kuongea ili naye akupime kwa level ya ujinga wako. Hapa ni kutudhalilisha wanaume kwamba tuna kigoli mwanamume hajui anachoongea.tatu. Twende na logic zako Mange anaweza kuwa labda na 40. saaa kwa vipimo vyako je unadhani mwanamke mwenye watoto hadhi yake ni kukaa Insta. Kusubiri wambeya wa Tz wamtumie majungu ndo aposti. Au ulizani anaota. Pili katika tatu. Kiumri 40 yrs kwa mwanamke ni 70 ya mwanamume. Tatu katika tatu. Ushabiki wako ni wa kipumbavu maana umeongea ila umesahau kujitofautisha na mbwa au mnyama asiyekuwa na akili na utashi. Nne. Ulishwahi kwenda kwa baba yake akakueleza anamwaibisha. Moja katika nne. Je unajua huyo mtu anapokaa. Account yake. Kama anajenga hajengi. By the way we umejenga wapi JF au INSta. Je kati ya Yeye anayeweka maisha yake wazi na wewe unayejificha kwetu unadhani nani tutamwona wa maana. We unaweza kuwa hata yule anayetafutwa kwa kuchoma wale Watu kule Arusha. Duuu nimechoka. Ngoja nifunge kwa kusema. Kijana. Mtoto. Mzee amka. Tengeneza maisha yako. Acha kuingilia maisha ya Watu. Acha umbeya. Barua ya wazi andikia wazazi wako au we mwenyewe jieleze umepotea wapi. Kawaida mpumbavu Haoni zaidi ya juu ya pua yake.
Unafahamu mimi huwa siangalii jukwaa?heeeee kumbe hadi huku upo
Hivi alishaacha kazi ya kuendesha lorry marekani?
Bro, unamlisha?Kwako Lemutuz
Unajiita sijui mzee wa mbebez, sijui le mbebez haya majina kiukweli hayaendani na wewe. Umri ulokua nao sio umri wa kuchanua na kula bata na vitoto vidogo ni umri wa kukaa nyumbani na kulea wajukuu
Kwa umri wako woteee kweli hivi unaishi maisha ya kulala hotelini?
Ni aibu gani hii jamani? Kwanini usiuze gari ujenge hata kajumba kaa room moja?
Huoni umri umekata ringi? Ni ushauri tu huo ndugu yangu lemutuz. Hizo sio zama zako za kukaa instagram kushindana na watoto kama kina mange la! huko ni kujitafutia matatizo bure
Hizi ni zama zako za kukaa na family yako kulea wajukuu.na watoto,,,,,over, hakuna kingine. Hivi lemutuz huna marafiki?Kama unao kwanini hawakushauri vizuri?
Kwanini unaiaibisha family yenu?
Hizo pesa za bata zikisha na kununua petrol ya gari utakua mgeni wa nani?
Kwanini hvi lakini? Jifunze kubadilika mange c type yako vitoto vya insta sio saizi yako ulipaswa ukae chini ulee familia na wajukuu maisha unayoishi sio level yako unayoyafanya sasa hivi ulipaswa kufanya ujanani sio sasa hivi
NI USHAURI TU
OVER,,,,,,,,,,,,,,
Washauri wake wanatofautiana ujinga na yeyeKwako Lemutuz