Ujumbe wa wazi kwa Lemutuz ni hiari yako umeze au uteme

Status
Not open for further replies.
cjaona.jipya zaidi ya ulimbukeni wa kizee happ
huwa anadai hao wanawake warembo ndo huwa wanamuomba apige nao picha lakini ukweli usio na shaka ni yeye anapoona mrembo anakwenda kuomba kupiga nae picha kisha kuzirusha kwenye mitandao,kuna wanawake wengi wameachika kwasababu waume zao wanapoona picha za wake zao na huyu babu, wengi wenye akili huwa wanamtimuaga mbaya.
 

Leo niko bored napita. Tu. Moja Umri ni but a number. Mbili. Insta msidhani ya watoto. Ni ushamba wako wa kujua matumizi ya Insta ndo unakufanya ulete pumba zako zilizojaa ujuvi. Wivu hapa. By the way Ungekuwa mwanamume wa nguvu ungeenda huko hotelini kukaa naye na kuongea ili naye akupime kwa level ya ujinga wako. Hapa ni kutudhalilisha wanaume kwamba tuna kigoli mwanamume hajui anachoongea.tatu. Twende na logic zako Mange anaweza kuwa labda na 40. saaa kwa vipimo vyako je unadhani mwanamke mwenye watoto hadhi yake ni kukaa Insta. Kusubiri wambeya wa Tz wamtumie majungu ndo aposti. Au ulizani anaota. Pili katika tatu. Kiumri 40 yrs kwa mwanamke ni 70 ya mwanamume. Tatu katika tatu. Ushabiki wako ni wa kipumbavu maana umeongea ila umesahau kujitofautisha na mbwa au mnyama asiyekuwa na akili na utashi. Nne. Ulishwahi kwenda kwa baba yake akakueleza anamwaibisha. Moja katika nne. Je unajua huyo mtu anapokaa. Account yake. Kama anajenga hajengi. By the way we umejenga wapi JF au INSta. Je kati ya Yeye anayeweka maisha yake wazi na wewe unayejificha kwetu unadhani nani tutamwona wa maana. We unaweza kuwa hata yule anayetafutwa kwa kuchoma wale Watu kule Arusha. Duuu nimechoka. Ngoja nifunge kwa kusema. Kijana. Mtoto. Mzee amka. Tengeneza maisha yako. Acha kuingilia maisha ya Watu. Acha umbeya. Barua ya wazi andikia wazazi wako au we mwenyewe jieleze umepotea wapi. Kawaida mpumbavu Haoni zaidi ya juu ya pua yake.
 
hahahaha halafu jamaa anaona sifaaa kumbe ni ujinga tu
 
Maisha ni yale unayoishi leo. Nimeona watoto wakirithi mali za wazee waliojitesa saana wakazitapanya kwa siku chache tu. Acheni aishi atakavyo, anajua alichowapa watoto wake. Nnani kamfundisha kiboko kuzaa?? Naona ka wivu flan hivi.
 
jiandae kupata majibu yake tehe tehe tehe
am so humbled u know mababezzzzzz....nafwazzzzzzzzzz
 

We ni me au ke ??

Maana umeandika mashudu hapa
 
Hili povu sio bure!
Au wewe ndio lembembez mwenyewe
 
heeeee kumbe hadi huku upo
Unafahamu mimi huwa siangalii jukwaa?

Naangalia thread iliyo juu tu na kama inanifurahisha kuchangia.

Kwani umenionaje? Mhafidhina fulani jioni kisomo?

Habari za Le Baharia sitazishobokea?
Huyo namjua tangu Mt. Vernon na kabla.
Anaishi anavyotaka kwa kiasi chake. Watanzania wengi wanaishi kwa kupangiwa na jamii. Hawawezi kumuelewa Le Baharia.
 
Bro, unamlisha?
 
Washauri wake wanatofautiana ujinga na yeye
Bashite
Steve nyerere na. Wengine tyipu hiyo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…