Ujumbe wa wazi kwa Lemutuz ni hiari yako umeze au uteme

Status
Not open for further replies.
Daah yule mzee Siku ya kwanza namuona kama miezi miwili hivi nilishangaa sana...! Ni mbabu atiii ...! Ila anaposti akiwa na vitoto vidogo aisee jamaa atapata akili mbali Sana'a.
 
Kazaliwa 1965
Ila kama kazaliwa 1999
[emoji23]
Le Mutuz
U know
Hahahaha
 
Mwenzio insta na Yale maisha ndiyo ajira yake sasa unataka afanye nin tena
 
Hah hah hah he's so humbled you know hah hah huu ni wakati wake jamani, nadhani bado jamaa ana falsafa ya maisha ya kimagharibi aliyoyaishi miaka nenda rudi!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa lemutuz
 
Afu hapo uliposema asishindane na watoto wa instagram kama mange ngoja nikusahishe mtoa mada...Mange yule ni 40 sio mtoto tena yule ..Ni mzee mwenzake😀😀 ambaye maisha yamemchapa kiasi kwamba kaona aanzishe app achangiwe michango na wabongo....Na nnasema wabongi tunapenda udaku wa bure tu hatupendi kuchanganywa na oesa kabisa...Ona wema akivyosema atakuwa anapost kila kitu kwenye app yake ya kulipia...Mbona alirudi mwenyewe kuendelea kupost insta baada ya kuona zari kashampita followers
 
Life is to Short kula bata mbaba mpaka kuku waone wivu ,
We live and die for a second.

....
 
Yote uliyoandika ni wivu tu na pia yanasababishwa na bifu kama la kibinafsi juu yake.

Yaani kabisa umekaa wewe sijui mtu mzima ukaandika. Ungekuwa na ubavu ungeandika na majina yako kabisa ila kwa ID ya humu ni umejaa wivuuuuuuuuuuuuuu...unatamani uwe yeye.


Anawanyoosha haswaaaaaa na maisha yake ya iuwa na furaha na akili kubwaz... ha ha ha haaaaa

Upupwu grade A****

Haya tafuta njia ya kulipa voch uliyokopa kwenye mtandao wako sasa hivi...big alosto.
 
Shida sio le mutuz Bali wale wana mfollow kwenye AC yake ya isnt Naona wao ni tatizo kubwa kuliko huyo le mutuzz kubwa jinga
 
Nilichogundua kwa Le MbabaZZZ, ni kwamba amezeeka mwili toka akijawa Super Young, u know!
 


Kijana tafuta pesa uendeshe family yako.
Unayemsema ni mtoto wa makamu wa kwanza wa Rais mstaafu na waziri mkuu
mstaafu....Pia Baba yake alikuwa mbunge wa Mtera kwa miongo kadhaa.
Mama yake mdogo ni waziri mstaafu, mkuu wa mkoa wa zamani, Pia ni mbunge mpaka sasa.
Yeye Le Mutuz anakula pension kama mwanafamilia....
Unampangia sijui akauze gari...aaargh.

Hata kama ana umri gani maisha ni yake since hana complain.

Tuchape kazi tuache ya watu.
 
Chizi uyu huwa ananiboa sana akiwa hotelini mezani atapiga ata biskuti ndio msosi ili umuone tu yupo hotelini....Mange ananikoshaga sana anavyomchanaga
 
Maisha ni maamauzi ya mtu. Live your life to the fullest maana kesbo yako huijui ndio maana hata bw.Ivandon (R.I.P) Presudaa wa RichGang alikua ni mtu wa bata la kuventee
 
Maisha ni maamauzi ya mtu. Live your life to the fullest maana kesbo yako huijui ndio maana hata bw.Ivandon (R.I.P) Presudaa wa RichGang alikua ni mtu wa bata la kuventee
Aisee kama ku enjoy evan ka enjoy sana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…