Euaggelion03
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 722
- 789
Mhhh! au nae anahitaji aundiwe tume.Bora umshauri maaana huyu mzee ni janga lingine la taifa
Umekula maharage ya wapi wewe mtoto wa kike? mimi nitamani maisha ya kuuza sura kwalipi kwa mfano? Sina umri mkubwa lakini ninaheshima kubwa sana kwa jamii.Wewe utakuwa unamfahamu na kuamua kuja kumwandika vibaya humu kwa sababu ya chuki zako binafsi na umejaa wivu juu yake kwa kitamani kuwa yeye alivyo na maisha yake.
Eeeeeeeeeeeh unabwabwajaaaaaaaaaaaaaaaaa
Wivu.com
anatamani sana ujanaHuyu jamaa kungekuwa kuna namna ya kurudisha umri nyuma kama tape jamaa angenunua...
Umekula maharage ya wapi wewe mtoto wa kike? mimi nitamani maisha ya kuuza sura kwalipi kwa mfano? Sina umri mkubwa lakini ninaheshima kubwa sana kwa jamii.
Nione wivu kwalipi ( kwa umri kama wake kufanya hivi ni sawa?
Sasa nishamjua bibi anayeliwa na babu le mut
Heheheeeeeeeee,acha nicheke miye.Lipo tatizo la kisaikolojia ambapo mtu hugoma kuukubali umri alionao na kulazimisha kubehave tofauti na umri wake, so asaidiwe si kubezwa maana wapo wengi mtaani hatuwaoni sababu hawana pesa tu. Unakuta jidingi umri wa mkongojo kabisa unamuamkia shkamoo mzee anarespond "poa mambo vipi?".
Cheni ya mwaka 1986 hadi Leo anaivaa[emoji1]
Huyu Mange ana nafasi gani kwenye maisha ya Le Mutuz..?Mange Kimambi amesema amechoka, amemtukana huyu amechoka, huyu sikio la kufa hasikii cha mwazini wala kengele. Anahitaji matibabu
mkufu ule ni wa toka ukoloniKumbe mkufu wake ni wa zamani sana.
Yap,nafikiri anafanya fixation kama sikoseiau kuna stage ambayo hakuipitia vizuri ndo maana anawehuka
Leo niko bored napita. Tu. Moja Umri ni but a number. Mbili. Insta msidhani ya watoto. Ni ushamba wako wa kujua matumizi ya Insta ndo unakufanya ulete pumba zako zilizojaa ujuvi. Wivu hapa. By the way Ungekuwa mwanamume wa nguvu ungeenda huko hotelini kukaa naye na kuongea ili naye akupime kwa level ya ujinga wako. Hapa ni kutudhalilisha wanaume kwamba tuna kigoli mwanamume hajui anachoongea.tatu. Twende na logic zako Mange anaweza kuwa labda na 40. saaa kwa vipimo vyako je unadhani mwanamke mwenye watoto hadhi yake ni kukaa Insta. Kusubiri wambeya wa Tz wamtumie majungu ndo aposti. Au ulizani anaota. Pili katika tatu. Kiumri 40 yrs kwa mwanamke ni 70 ya mwanamume. Tatu katika tatu. Ushabiki wako ni wa kipumbavu maana umeongea ila umesahau kujitofautisha na mbwa au mnyama asiyekuwa na akili na utashi. Nne. Ulishwahi kwenda kwa baba yake akakueleza anamwaibisha. Moja katika nne. Je unajua huyo mtu anapokaa. Account yake. Kama anajenga hajengi. By the way we umejenga wapi JF au INSta. Je kati ya Yeye anayeweka maisha yake wazi na wewe unayejificha kwetu unadhani nani tutamwona wa maana. We unaweza kuwa hata yule anayetafutwa kwa kuchoma wale Watu kule Arusha. Duuu nimechoka. Ngoja nifunge kwa kusema. Kijana. Mtoto. Mzee amka. Tengeneza maisha yako. Acha kuingilia maisha ya Watu. Acha umbeya. Barua ya wazi andikia wazazi wako au we mwenyewe jieleze umepotea wapi. Kawaida mpumbavu Haoni zaidi ya juu ya pua yake.
Kwako Lemutuz
Unajiita sijui mzee wa mbebez, sijui le mbebez haya majina kiukweli hayaendani na wewe. Umri ulokua nao sio umri wa kuchanua na kula bata na vitoto vidogo ni umri wa kukaa nyumbani na kulea wajukuu
Kwa umri wako woteee kweli hivi unaishi maisha ya kulala hotelini?
Ni aibu gani hii jamani? Kwanini usiuze gari ujenge hata kajumba kaa room moja?
Huoni umri umekata ringi? Ni ushauri tu huo ndugu yangu lemutuz. Hizo sio zama zako za kukaa instagram kushindana na watoto kama kina mange la! huko ni kujitafutia matatizo bure
Hizi ni zama zako za kukaa na family yako kulea wajukuu.na watoto,,,,,over, hakuna kingine. Hivi lemutuz huna marafiki?Kama unao kwanini hawakushauri vizuri?
Kwanini unaiaibisha family yenu?
Hizo pesa za bata zikisha na kununua petrol ya gari utakua mgeni wa nani?
Kwanini hvi lakini? Jifunze kubadilika mange c type yako vitoto vya insta sio saizi yako ulipaswa ukae chini ulee familia na wajukuu maisha unayoishi sio level yako unayoyafanya sasa hivi ulipaswa kufanya ujanani sio sasa hivi
NI USHAURI TU
OVER,,,,,,,,,,,,,,