Ujumbe wa wazi kwa Lemutuz ni hiari yako umeze au uteme

Ujumbe wa wazi kwa Lemutuz ni hiari yako umeze au uteme

Status
Not open for further replies.
Wewe utakuwa unamfahamu na kuamua kuja kumwandika vibaya humu kwa sababu ya chuki zako binafsi na umejaa wivu juu yake kwa kitamani kuwa yeye alivyo na maisha yake.

Eeeeeeeeeeeh unabwabwajaaaaaaaaaaaaaaaaa

Wivu.com
Umekula maharage ya wapi wewe mtoto wa kike? mimi nitamani maisha ya kuuza sura kwalipi kwa mfano? Sina umri mkubwa lakini ninaheshima kubwa sana kwa jamii.

Nione wivu kwalipi ( kwa umri kama wake kufanya hivi ni sawa?

le%2Bmutuzii899.jpg


images


ILALA+LEO+BEACH+019.JPG
 
Umekula maharage ya wapi wewe mtoto wa kike? mimi nitamani maisha ya kuuza sura kwalipi kwa mfano? Sina umri mkubwa lakini ninaheshima kubwa sana kwa jamii.

Nione wivu kwalipi ( kwa umri kama wake kufanya hivi ni sawa?

le%2Bmutuzii899.jpg


images


ILALA+LEO+BEACH+019.JPG

Bado unazidi kumuonea wivu, ona mpaka kusaka picha na kurusha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Eeeeeeh

Kituko

Maumivu yakizidi kutamani kuwa yeye, jipige vibao vya usoni ha ha ha haaaa
 
Ni jambo LA ajabu sana kuongelea maisha ya MTU mwingine.

Mtu huamua anavyoishi. Life style ya MTU inakuhusu nini jamani???


Only in Africa.
 
Sasa nishamjua bibi anayeliwa na babu le mut

6444.jpg

Na soma maneno hayo...sikutaka yawe clear bali yanasomeka eeeeeh


Acha wivu, na unaonyesha unafahamiama nae.

Amefika alipo mwenyewe, wewe sasa huyoooooo. Jkutaka kumchafua... eeeeeh

CIAO
 
Lipo tatizo la kisaikolojia ambapo mtu hugoma kuukubali umri alionao na kulazimisha kubehave tofauti na umri wake, so asaidiwe si kubezwa maana wapo wengi mtaani hatuwaoni sababu hawana pesa tu. Unakuta jidingi umri wa mkongojo kabisa unamuamkia shkamoo mzee anarespond "poa mambo vipi?".
Heheheeeeeeeee,acha nicheke miye.
Afu wengine nao ukiwapa shikamoo utasikia "unataka kuninyima nini?"tena kwa sauti ya mahaba,
 
Kwenye hizo bata una mchangia sent ngap..?
Hiyo Hotel unamlipia wewe..?
Jenga wewe na lea wewe hao wajukuu hiv unapata wapi muda wa kuanza kufuatilia maisha ya mwanaume mwenzako na kujifanya una uchungu nae sana..?
 
Mange Kimambi amesema amechoka, amemtukana huyu amechoka, huyu sikio la kufa hasikii cha mwazini wala kengele. Anahitaji matibabu
Huyu Mange ana nafasi gani kwenye maisha ya Le Mutuz..?
Watanzania wengi naona mnaamini vitu vya Mange kuliko hata akili yako.
 
Leo niko bored napita. Tu. Moja Umri ni but a number. Mbili. Insta msidhani ya watoto. Ni ushamba wako wa kujua matumizi ya Insta ndo unakufanya ulete pumba zako zilizojaa ujuvi. Wivu hapa. By the way Ungekuwa mwanamume wa nguvu ungeenda huko hotelini kukaa naye na kuongea ili naye akupime kwa level ya ujinga wako. Hapa ni kutudhalilisha wanaume kwamba tuna kigoli mwanamume hajui anachoongea.tatu. Twende na logic zako Mange anaweza kuwa labda na 40. saaa kwa vipimo vyako je unadhani mwanamke mwenye watoto hadhi yake ni kukaa Insta. Kusubiri wambeya wa Tz wamtumie majungu ndo aposti. Au ulizani anaota. Pili katika tatu. Kiumri 40 yrs kwa mwanamke ni 70 ya mwanamume. Tatu katika tatu. Ushabiki wako ni wa kipumbavu maana umeongea ila umesahau kujitofautisha na mbwa au mnyama asiyekuwa na akili na utashi. Nne. Ulishwahi kwenda kwa baba yake akakueleza anamwaibisha. Moja katika nne. Je unajua huyo mtu anapokaa. Account yake. Kama anajenga hajengi. By the way we umejenga wapi JF au INSta. Je kati ya Yeye anayeweka maisha yake wazi na wewe unayejificha kwetu unadhani nani tutamwona wa maana. We unaweza kuwa hata yule anayetafutwa kwa kuchoma wale Watu kule Arusha. Duuu nimechoka. Ngoja nifunge kwa kusema. Kijana. Mtoto. Mzee amka. Tengeneza maisha yako. Acha kuingilia maisha ya Watu. Acha umbeya. Barua ya wazi andikia wazazi wako au we mwenyewe jieleze umepotea wapi. Kawaida mpumbavu Haoni zaidi ya juu ya pua yake.

- hahahahahahah hii kali sana Mpumbavu huwa haoni zaidi ya umbali wa pua yake! duh hahahahahahahhaa NAFWAZZZZ hahahaha nilikuwa nataka kumjibu huyu mburulazzz lakini naomba niruhusu haya majibu yamsaidie hahahahahahahahhaa I love it U know

le Mutuz
 
Kwako Lemutuz
Unajiita sijui mzee wa mbebez, sijui le mbebez haya majina kiukweli hayaendani na wewe. Umri ulokua nao sio umri wa kuchanua na kula bata na vitoto vidogo ni umri wa kukaa nyumbani na kulea wajukuu

Kwa umri wako woteee kweli hivi unaishi maisha ya kulala hotelini?
Ni aibu gani hii jamani? Kwanini usiuze gari ujenge hata kajumba kaa room moja?
Huoni umri umekata ringi? Ni ushauri tu huo ndugu yangu lemutuz. Hizo sio zama zako za kukaa instagram kushindana na watoto kama kina mange la! huko ni kujitafutia matatizo bure

Hizi ni zama zako za kukaa na family yako kulea wajukuu.na watoto,,,,,over, hakuna kingine. Hivi lemutuz huna marafiki?Kama unao kwanini hawakushauri vizuri?
Kwanini unaiaibisha family yenu?

Hizo pesa za bata zikisha na kununua petrol ya gari utakua mgeni wa nani?
Kwanini hvi lakini? Jifunze kubadilika mange c type yako vitoto vya insta sio saizi yako ulipaswa ukae chini ulee familia na wajukuu maisha unayoishi sio level yako unayoyafanya sasa hivi ulipaswa kufanya ujanani sio sasa hivi

NI USHAURI TU
OVER,,,,,,,,,,,,,,

- hahahahahhaa Picha inaonyesha mtoto wa kiume ila maneno ya jikoni sijui jinsia yako mkuu ila maneno yake yanakushitaki kwamba kuna tatizo kwenye jinsia yako maana mtoto wa kiume kuandika maneno yote haya tena kwa kutumia majina ya bandia kuhusu wanaume usiowajua hahahaha sina uhakika tu na jinsia yako,

- Kijana mdogo mimi sio level yako nina maisha wewe huna, tafuta maisha mimi ninayo
18700119_759355587580175_3357714736167147205_n.jpg


- Hiyo peke yake ni ofisi yangu hapa Posta Mpya, sasa weka yako kwanza tuendelee nikusaidie kukuelimisha kwamba mimi na wewe sio level moja ndio maana wewe untumia majina ya bandia mimi natumia jina langu kamili, ni kwa sababu wewe hujitambui mimi najitambua hahahahahahaha una matatizo ya maisha mimi sio chanzo chake hahahahaha

le Muituz
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom