Ujumbe wake Idris Sultan leo...

Ujumbe wake Idris Sultan leo...

CTX

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
1,273
Reaction score
985
Nimeiona hii picha kwa rafiki yangu nikasema lazima nifikishe ujumbe.
.
Katika hatua tuliyofikia tumeamua maisha yetu yote tuyalenge kwenye kupata likes na views kwenye social media page zetu. Wanawake wengi na wanaume wameshusha thamani yao kwa kipimo cha likes za watu ambao hata hawawajui. Siwezi kuiweka hii kwa wale ambao mara moja moja wametangaza brand flani kama nguo za ndani na product hizo but generally tuulizane tu kwanini tunafanya tunachokifanya.
.
Kuna nani anayemtaka mtu ambaye kila kitu chake kishaonekana na kila mtu tena mtandaoni ? Kwanini tunalalamika kuwa tumepokea DM za watu washenzi wanatutongoza ?... Tutaishi katika hii dunia tukisema hatujapata watu sahihi wa kuwa nao ila sometimes tujiulize pia je Sisi ni sahihi ? Dunia inabadilika sasa wewe ni nani ubaki kama ulivyo ?... Nishawahi post kama Calvin Klein influencer humu na lengo ndio jambo la muhimu kuliko yote in what we do. Maybe after some time tutakaa tujiulize thamani zetu ni zipi na hasa hasa wanawake, kuna wengi tunaona career zao ndio hivi. Naomba niseme tutaangalia, tutatamani, tutalipia na tutasepa. Mama ulipokua kijana ulifanyaje kuwa maarufu ? Nikikaa uchi mwanangu. Atakayeoa basi all the best Jiheshimu

@Idrissultan, Instagram.
idrissultan___BnMLhchhBro___.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gigy Money and Compan mjitathmin kwa bandiko hilo pls
 
Nafikiri hii picha ina kauhusiano flani na makontena ya Bashite.
 
Hivi inawezekanaje mtu unaandika kiswahili na bado hueleweki ulichoandika..!??
 
Uchi wakae wengine,kuumia aumie yeye..!! mwambie aache unaa
Uchi wanakaa wao,si tunasafisha mijicho.
 
Back
Top Bottom