- Thread starter
- #21
AsanteNgedere aweza geuka tumbili wakati wowote kufuatilia historia hakusaidii
AsanteNgedere aweza geuka tumbili wakati wowote kufuatilia historia hakusaidii
Tutakuwa nao wengine wengi wenye akili, iwapo huu uozo uliopo leo ukiondolewa, na CCM ikaimarisha system zake za kuwapata watu wa maana kwenye uongozi. Kuwapa fursa watu kama Gwajima na MwanaFA ni kukihujumu chama.Je siku wakifa hao wazee uliowataja ina maana chama hakitaendelea kuwepo?
Je unaijua mikakati ya CCM kwenye kampeni hizi mpaka mwisho?
Kama mnataka kuiadabisha ccm si muiache ifanye madudu na nyinyi mnufaike?
Hii inaitwa kanyaga kotekote ,kweli chadema ni hatari ,
Haya bwana, mwamuzi ni mwananchi mpiga Kura tusubiri watasemaje.Tuko kwenye mbio za campaign
Tuanzishe hiyo kampeni, sote tupige kelele elfu 20000 ya wanyonge waiteme.Hii inaitwa kanyaga kotekote ,kweli chadema ni hatari ,
Mwaka huu " The Hague" itawahusu.CCM inategemea tume ya uchaguzi na polisi
haaahaaaaa haaaahaaaa haaaaahaaaaaaaaaaaTutajidanganya kama tutaendelea kuwa na SUPER CONFIDENCE isiyo kuwa na base ngumu, Upinzani umeshaUNGANA bara, iko hoja ya CCM kuungana. Raisi anahitajika kufanya kikao cha dharura na cha siri, unganisha vigogo wote, ita timu yote ya Waliostaafu. Hii itazidi kujenga imani ya wapiga kura wetu.
We need the UNITY now.
Wife walioshauri kwa manufaa yao wanahitajika wawaeze kulipa ,hasara tutakayo ingia kurusha chopa, nawewe Kama ulikuwepo jiandae.Mtaani pa bariidi, watu wananoa I'd zao tu wamchague JPM we we unatishwa na Picha mitandaoni ambazo kwanza mpigapicha anatafuta angle ili afoji konga hadi anapatwa kizunguzungu.
Hali iko vizuri kabisa hizo ni phobia na fake hofu tu.