Ujumbe wangu kwa Dkt. Magufuli na chama changu cha CCM

Je siku wakifa hao wazee uliowataja ina maana chama hakitaendelea kuwepo?

Je unaijua mikakati ya CCM kwenye kampeni hizi mpaka mwisho?

Kama mnataka kuiadabisha ccm si muiache ifanye madudu na nyinyi mnufaike?
Tutakuwa nao wengine wengi wenye akili, iwapo huu uozo uliopo leo ukiondolewa, na CCM ikaimarisha system zake za kuwapata watu wa maana kwenye uongozi. Kuwapa fursa watu kama Gwajima na MwanaFA ni kukihujumu chama.

Muheza ni nyumbani, na mwanaFA hashindi hata kwa uwizi, Mgombea wa CDM, huenda akapata kura nyingi sana za wana CCM
 
Kumaliza yote haya tunaomba NEC waitishe mdahalo wa pamoja wa wagombea wote wa kiti cha uraisi ili tuone umwamba wa kila mmoja.
 
haaahaaaaa haaaahaaaa haaaaahaaaaaaaaaaa
 
Mtaani pa bariidi, watu wananoa I'd zao tu wamchague JPM we we unatishwa na Picha mitandaoni ambazo kwanza mpigapicha anatafuta angle ili afoji konga hadi anapatwa kizunguzungu.

Hali iko vizuri kabisa hizo ni phobia na fake hofu tu.
Wife walioshauri kwa manufaa yao wanahitajika wawaeze kulipa ,hasara tutakayo ingia kurusha chopa, nawewe Kama ulikuwepo jiandae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…