heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
Nimegundua hapa kuwa wanaume wanaongoza kumuonea wivu diomond kuliko wanawake! Kizuri ni kwamba huyu bwana mdogo mashabiki wake wengi ni watoto wa kike na wanamume wasio na wivu ama chuki za kimaendeleo! Na wanao mchukia wengi ni wakiume! I don know why!
Pengine ni sababu vijana wengi hawana kazi za kufanya kwa hiyo wakiona mtu ana tengeneza pesa wana mchukia! Na wapa pole wanao mchukia maana wana poteza muda maana haisaidii chochote! Vijana tafuteni kazi za kufanya diomond si chanzo cha matatizo
yenu!
Me napenda sana vijana wanao tengeneza pesa kuliko vijana wanaoshinda kutukana wenzao wanaofanya vizuri kimaendeleo.
Poleni sana mnao wachukia wanao jaribu kutengeneza pesa japo hamuendi kwenye show zao!
HAKUNA UBISHI DIAMOND ANAFANYA MUZIK MZURI NA SHOW NZURI ZINAZOENDA NA WAKAT KULIKO MWANAMUZIK YEYOTE NA KWA VILE WANAUME WENYE CHUKI NA WIVU NI WENGI WACHA ME NIENDELEE KUTANGAZA JEMA LOLOTE LITAKALO TOKEA KUMMHUSU PLATNUMZ
ATAKAPOPATIKANA MWANAMZIK MWINGINE ATAKAEFANYA VIZUI,NAYE NTAMSAPOTI
NI HAYO TU