Ujumbe Wangu wa Jumapili Kwenu

Tehteehhh....[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ebu kamuulize yule mdada aliekuaga bibi yako kitambo kabla ya ndoa yake haija tangazwa fJ some years back...[emoji13] [emoji13]
Naomba niishie hapo tafadhali.... tehteehhh
Naona tunabishana sasa.. We kamuulize yule baba yako mkubwa, mimi ndio nilikuwa namshika mkono namvusha barabara[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Naona tunabishana sasa.. We kamuulize yule baba yako mkubwa, mimi ndio nilikuwa namshika mkono namvusha barabara[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tehteehhh....[emoji12] [emoji12]
Ebu ngoja nikuachie heshimia yako kwanza hadi K-Vaaa.. ikikata nitakujia tena
 
Hekma hizo
 
Hivi adui wa mama yako aweza kuendelea kumfanya rafiki?

Acha kuongea kwa kufunga mawazo yako kabatini,speak globally not locally.
 
Jamani L mmenichanganya mngelimazia lote Lii aww my handshome boy nakakuza kale mpaka kakue wakunyumba nikuwe mamkwe wako tutapiganaje sasa yule mtoto utaletewa wakwe mpaka ujutreee
Wakwe ndo wazuri sasa wakunyumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…