Ujumbe Wangu wa Jumapili Kwenu

Ujumbe Wangu wa Jumapili Kwenu

Mkuu nizoee tu, mie naona hakuna neno kali, ukali upo kwenye panga, viwembe na kisu labda kwa mbali na njaa, maana huwa kuna msemo nina njaa kali na jua kali[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapana siyo hivyo mkuu wengine ni Marika ya kina Anton petrol wa ngara humu na wengine ni Marika ya kina lemutuz na wengine ni Marika ya kina Dr shika

I have a dream.
 
Mzee wewe kwangu kijana!! Mie mzee zaidi.
Tehteehhh....[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ebu kamuulize yule mdada aliekuaga bibi yako kitambo kabla ya ndoa yake haija tangazwa fJ some years back...[emoji13] [emoji13]
Naomba niishie hapo tafadhali.... tehteehhh
 
Back
Top Bottom