KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
You can say that, again and again..., huo ndio ukweli.Tusha fail kwenye diplomasia ya kimataifa. We are a laughing stock!
Oooh, Mungu atuhurumie kwa mawazo ya aina hii!Saa zingine mi vizuri kuwa na kiburi cha uzima, if we can do things on our own, kuna ulazima gani wa kwenda kutembeza bakuri kwa mabeberu?
Sisi tuendelee na juhudi zetu za kujifamyia mambo yetu na kujiletea maendeleo kwa kutumia nguvu zetu, wakituona 'we are not giving a f*ck' watakuja wao wenyewe kujikomba kwetu.
Ukabila uko utosini kwako. Kwa nini usiseme Kiswahili ambayo ni lugha ya taifa. Kauli yako ni chonganyichi.Lugha gani itatumika ? kama ni kisukuma sawa.
Kagame alikuwa anachukia sana jinsi Kikwete alivyokuwa anapewa attention na wazungu zaidi yake ilikuwa inamuuma sana,sasa hivi ndo anatamba kujipendekeza kwa wazungu EAC nzima nadhani Africa nzima😂😂😂Kagame hiki kimbelembele chake ni too much sasa kwenye meeting zote za kimataifa lazima awepo mbele.
Hii kidplomasia ina msaada gani?
.
Na kwa kuchangia mada ya uzi sisi ni donor country hatuna haja ya kujikombakomba
na ninavyojua uingeleza ndo anaongozakwa uwekezaji TanzaniaWho doesn't to do trade with UK Or USA In this world , you are having a laugh
Hahaha umenifurahisha mkuu sisi ni donor😀Kagame hiki kimbelembele chake ni too much sasa kwenye meeting zote za kimataifa lazima awepo mbele.
Hii kidplomasia ina msaada gani?
.
Na kwa kuchangia mada ya uzi sisi ni donor country hatuna haja ya kujikombakomba
Sawa kaka lakini umeona ulivyotoa yale maoni yako... Kidharau fulani hivi... Ni maoni mazuri lakini namna ya kuwasilisha nayo ina mata... You are professional...tunahitaji kuona utofauti wako na siye... Ni hayo tu ila kukuelewa nimekuelewa.
Akihudhuria hata balozi na kutangaza nini tunacho inasaidia hapa wewe mwenyewe umeona audience yake au target market in UK , hivyo kwenye forums kama hizo Balozi au Mwakilishi wa nchi yetu, huongelea hizo fursa zilizopo, tuna tantrade, kuna wa Tz wengine kama wafanya biashara na wakulima huhudhuria na kutanganaza fursa zilizopo,Nchi 21 za Afrika zimehudhuria
Wawakilishi zaid ya 1500
Miradi ya jumla ya Pauni Bil 6.5 imetangazwa.
Je hatutaki fursa hii na sisi wanachama wa jumuia ya madola? Baada ya Brexit mwezi huu kuna fursa kubwa za biashara na waingereza. Au ni bora inatosha kufanya biashara na wachina tu? Deal kama hizi rais wa nchi anatakiwa awepo kwenye meza ili na Tanzania ipate mgao wa keki yake.
21 African nations
1500+ attendees
£6.5bn of commercial deals announced
View attachment 1328928
Nasikia Uhuru Kenyatta kazindua kitu London Stock Exchange
Mwenye taarifa zaidi tafadhali
Tatizo umekuja lesi sana
Aisee fasta sana....kuna mtu kakutagUhuru opens trading at London Stock Exchange, launches Kenya’s first green bond
With a dynamic and diverse business sector, the President pointed out that Kenya’s business environment is ranked among the top three in Africa.www.standardmedia.co.ke
Bro economics does not work like that! We need markets for our products and an investment to bring in this country. The president has been seeking and encourage investors to come in Tanzania! And when the occasion arise is NOT attending and taking that advantage instead is hidding away we are missing opportunities. At a such summit the head of state should have attended NOT a low rank representatives! Hiyo ni kuonyesha dharau tunaonekana hatuko seriously. Hicho kiburi chetu unachosema mkuu hakitusaidii kitu zaidi ya kutulostisha hii nchi ni maskini bro. Inahitaji ushirikiano wa kibiashara na uchumi na nchi za nje. Hizo Tanzanite na mazao au asili mali zetu zingine tutamuuzia nani kama unawanunia watu??? Haya ndiyo yale mambo ya korosho Mh. Rais alikataa ofa za wafanyabiashara eti akasema tunaweza hata kununua wenyewe sababu tuko mamilioni. Sasa mbona wewe hukununua korosho japo kilo moja?? Matokeo yake walioumia ni wakulima.Saa zingine mi vizuri kuwa na kiburi cha uzima, if we can do things on our own, kuna ulazima gani wa kwenda kutembeza bakuri kwa mabeberu?
Sisi tuendelee na juhudi zetu za kujifamyia mambo yetu na kujiletea maendeleo kwa kutumia nguvu zetu, wakituona 'we are not giving a f*ck' watakuja wao wenyewe kujikomba kwetu.
Aisee fasta sana....kuna mtu kakutag
Sidhani kama Dedan Kimathi angeshadadia hawa vinyangarika. Hapo eti ndio wakenya wanachekelea hadi gego la mwisho. Ngojeni hiyo BBI yenu muanze kuchinjana mundu khu mundu. Hakuna cha pingli-nywii wala nywee.Uhuru opens trading at London Stock Exchange, launches Kenya’s first green bond
With a dynamic and diverse business sector, the President pointed out that Kenya’s business environment is ranked among the top three in Africa.www.standardmedia.co.ke
Cool story bro, thanks. You are too kind.Sidhani kama Dedan Kimathi angeshadadia hawa vinyangarika. Hapo eti ndio wakenya wanachekelea hadi gego la mwisho. Ngojeni hiyo BBI yenu muanze kuchinjana mundu khu mundu. Hakuna cha pingli-nywii wala nywee.