UK-Africa Investment Summit 2020: Where is top level Tanzania representative?

Sasa mbona hiyo lugha ya kitaa uijue wewe tu, yaani hata Watanzania wenzio hawaifahamu, lugha za mtaani zipo kote hata huku.
Wamekwambia hilo neno ni kama 'Dogo' hadi wabongo wote walifahamu.... Angalia mwenzako hapo juu kalitumia kiufasaha zaidi.
 
Mcheza kwao hutuzwa. Au siyo?

Mara ya mwisho mkutano wa Heads of States wa EAC ulitakiwa ufanyike November 2019. Kina PK na wenzie wakapiga chenga. Pale makao makuu ya Jumuiya napafananisha na kijiwe kwa hali iliyopo.

Haya ya kwetu wanayashindwa, sembuse hayo ya kipumbavu kupitiliza? Economic diplomacy kama neno lilivyo halimaanishi umalaya unaofanywa na wapuuzi walovalia ngozi za uongozi.
 
Polepole mkuu.

dodge
 
Unawavimbia mabeberu sio?

dodge
 
Hao wa nchi nyingine ambao hawajahudhuria sisi wanatuhusu nini?
Ni Marais 14 wa nchi za Africa ndo wamehudhulia wengine hawakuhudhulia,Kwahiyo sio Tanzania peke yake


Sent from my iPhone using JamiiForums

dodge
 
Naunagana na wewe.
 
January 20, 2020
London

Hotuba ya Waziri Mkuu wa Uingereza katika kikao cha UK- Africa Investment Summit 2020


Source: video courtesy of RT
Jamaa kama Profesa Kabudi uongeaji wake
 
Rwanda inaishinda URT maeneo yapi haswa au ndiyo kazi zenu za kutumika kama toilet paper
 
Sisi hatutajuta kwa kuwa tunajua serikali inafanya nini.UK wanatuhitaji kuliko tunavyowahitaji. Kaa kimya
 
Hats kama hatukwenda Jiwe atapata misaada juu kwa juu. Jiwe hana muda was kupoteza kwenye talk shops!
 
Berlin Conference 1884.Sasa naona wameamua kuja mmoja mmoja. France-Africa. Uk-Africa,Russia-Africa,China-Africa,Japan-Africa. Hapa naweka conclusion Africa is potentiel. Thomas Sankara,Patrice Lumumba i wish mngekuwa hai.
Kuna waliotoa comments hawajaona hili wanashadadia jiwe aende ovyo ovyo. Jana tu ilikuwepo Berlin conference kwa ajili ya kuigawanya Libya dhidi ya mabeberu. Halafu baadhi ya viongozi wana biashara zao binafsi badala ya biashara za nchi.
 
Dah! Huyu jamaa anajua kucheza na akili za wananchi. Ananikumbusha alivyoruka na dili la parachichi.
 
Rais Magufuli 2015~2020 Ni kunyoosha nchi tu marufuku ziara nchi za Ulaya. Marekani na Asia…!
 
Afadhali hakwenda mtu yeyote Yule , Kabudi alienda Kuhutubia UN hotuba nzima ilikuwa na mambo ya Tanzania vile Kama vile reli ya SGR na bwawa la umeme la Stiegler
 
Hamna kipya hapo kama huna cha ku export , bora ujikalie nyumbani tu.
 
Na yeye kaita Mabalozi wote uone kama... MABALOZI SUMMIT
Uliza ni nchi ngapi na Organization ngapi zimewakilishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…