Baba yake alizaliwa nchini Kenya kabla ya ukoloni mwaka wa 1949, huku mama yake akizaliwa nchini Tanzania
View attachment 3033922
Sunak akipongezwa na wazazi wake mama kushoto mzaliwa wa Tanzania na baba katikati mzaliwa wa Kenya... baada ya kuteuliwa na chama chake kuwa waziri mkuu (picha maktaba) View attachment 3033925
Mamia ya diaspora ya watu kutoka Afrika ya Mashariki walijitokeza kumpongeza waziri mkuu Sunak .pamoja na wazazi wake (Picha Maktaba)
Kwa taarifa tu kama hamjui huyu baniani wazazi wake wana asili ya Tanzania (mama) na Baba asili ya Uganda.
Yaani wazazi wake wote ni wahindi lakini wakihamia Uingreza tokea East Africa
Wewe nani kakuambia sisi tunawategemea uingereza sisi tunamtegemea Allah alisha wambia kwenye bahari kuna hayo, miaka 1400 ilio pita afu hawa ndio juzi wamekuja na hio research miaka 100 ya nyuma.
Quran 22.40
Or [they are] like darknesses within an unfathomable sea which is covered by waves, upon which are waves, over which are clouds - darknesses, some of them upon others. When one puts out his hand [therein], he can hardly see it. And he to whom Allāh has not granted light - for him there is no light.
Afu tumtegeme muingereza sisi Waislam, ni Waisraeli ndio wana wategemea hao sio Waislam.

Ni ubaguzi tu wa watu wa Tanzania ila jeshi letu lingekuwa na watanzania wenye asili ya wabaluchi, wasomali, wahindi, washihiri, waarabu , waomani, machotara walikuwepo wakati wa Kanali Mahfoudh na wengine historia inaonesha ya TPDF katika intaneti.
Mbali ya jeshini watanzania wenye asili ya wabaluchi, wasomali, wahindi, washihiri, waarabu , waomani, machotara walikuwepo wangetumika vizuri ktk biashara, diplomasia, intelejensia, viwanda, kilimo n.k Tanzania, Kenya, Uganda zingekuwa mbali kiuchumi na kijamii kama South Africa, United Kindom, Canada, USA.
Dola zote kubwa kama Ottomans (waturuki), Warumi, USA, UK wanatumia na kutoa nafasi kwa watu wazalendo wa asili zingine ktk kuimarisha dola (state) zao lakini sisi waswahili hatujui jinsi ya kuendesha nchi ikawa dola kuu inayojumuisha jamii zetu.
Uzalendo uchwara una ubaguzi na ndiyo maana nchi zetu haziwezi kutambua na kulinda michango ya jamii zingine ndani ya nchi zisitimke kwenda nje kiasi hata ubaguzi kwa diaspora ya kitanzania ni mkubwa hadi uraia wao hata wele walio weusi tititi bado nao tunaona ni tishio kuwawekea mazingira ya usawa.
Nchi zingine kama Israeli n.k pia zinaendelea kwa kuweka mazingira ya watu wote waisraeli wa rangi zote kujisikia ni waisrseli. Hivyo ndivyo nchi hukua kiuchumi kuwa dola kubwa .
HISTORIA YA KURA TATU: DUA YA MNYANJANI TANGA HADI HOTUBA YA JULIUS NYERERE PARISH HALL (UKUMBI WA KANISA KATOLIKI) TABORA 1958 Laiti kama si Sheikh Abdallah Rashid Sembe wa Tanga kukubali kuzungumza na mimi historia ya Kura Tatu isingejulikana kwa ukamilidu wake. Waliokuwa wanaojua mkutano wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.