Wewe ndio hujui, hakuna Muhindi kwenye jeshi la Tanzania, uzalendo unapimwa hapo, India wanalo jeshi.
Ni ubaguzi tu wa watu wa Tanzania ila jeshi letu lingekuwa na watanzania wenye asili ya wabaluchi, wasomali, wahindi, washihiri, waarabu , waomani, machotara walikuwepo wakati wa Kanali Mahfoudh na wengine historia inaonesha ya TPDF katika intaneti.
Mbali ya jeshini watanzania wenye asili ya wabaluchi, wasomali, wahindi, washihiri, waarabu , waomani, machotara walikuwepo wangetumika vizuri ktk biashara, diplomasia, intelejensia, viwanda, kilimo n.k Tanzania, Kenya, Uganda zingekuwa mbali kiuchumi na kijamii kama South Africa, United Kindom, Canada, USA.
Dola zote kubwa kama Ottomans (waturuki), Warumi, USA, UK wanatumia na kutoa nafasi kwa watu wazalendo wa asili zingine ktk kuimarisha dola (state) zao lakini sisi waswahili hatujui jinsi ya kuendesha nchi ikawa dola kuu inayojumuisha jamii zetu.
Uzalendo uchwara una ubaguzi na ndiyo maana nchi zetu haziwezi kutambua na kulinda michango ya jamii zingine ndani ya nchi zisitimke kwenda nje kiasi hata ubaguzi kwa diaspora ya kitanzania ni mkubwa hadi uraia wao hata wele walio weusi tititi bado nao tunaona ni tishio kuwawekea mazingira ya usawa.
Nchi zingine kama Israeli n.k pia zinaendelea kwa kuweka mazingira ya watu wote waisraeli wa rangi zote kujisikia ni waisrseli. Hivyo ndivyo nchi hukua kiuchumi kuwa dola kubwa .
HISTORIA YA KURA TATU: DUA YA MNYANJANI TANGA HADI HOTUBA YA JULIUS NYERERE PARISH HALL (UKUMBI WA KANISA KATOLIKI) TABORA 1958 Laiti kama si Sheikh Abdallah Rashid Sembe wa Tanga kukubali kuzungumza na mimi historia ya Kura Tatu isingejulikana kwa ukamilidu wake. Waliokuwa wanaojua mkutano wa...