Mi labda ntaruhusu watu waajiriwe vitengo kwa wingi sifa zao mfano.
1. Kuilinda nchi jeshini, tuweke wakurya sana, nadhani hapa tumeweza
2. Kuisifia nchi tunatafuta wapenda sifa wahaya labda wanyaki kwa wingi
3. Uzalishaji wa mazao, tunapeleka ruzuku kwa wasukuma kwa wingi.
4. Wahudumu kwenye ndege tunaweka mabinti wa ki- mbulu wengi.
5. Kubishana kwenye negotiation mikataba ya kimataifa tunaweka waha wengi.
.....Etc etc nk.
Kimsingi, maslahi katika kila kazi yakiwa ni ya ki utu bila kumuonea mtu. Yakawa ya kumpa faida kila mmoja sambamba na mchango na mahitaji yake. Hautasikia aliyepewa kitengo cha kilimo akimlalamikia mwanasiasa.
Ili kuneutralize, kutakuwa na ipo tayari ruhusa ya watu kwenda vitengo vingine watakavyopenda ikiwa wataona watafit.
Mfano mtu kutoka kabila fulani la watu laini (softhearted), akajiona anao uwezo wa kumkatakata mapanga na marisasi adui bila huruma basi anaruhusiwa kuwa jeshini. Ila sio aingie halafu uwezo hana eti kisa tu kubalansi makabila yote yawemo. Huo utakuwa ujinga.
Kila mmoja atumie talanta zake kwa faida na uimara wa taifa moja