Ukabila hauna ubaya wowote

Ukabila hauna ubaya wowote

Yan we nimwehu unazan watu wanabaguana kwaukabila tu, yan mkipewa nyie wasukuma nchi msizani ndio mtapendana huko kwenye kabila lenu lazima mje mbaguane kwenye dini kuna wakristo nawaislam humo ndan kuna wasabato, roma, walokole... Bado mna koo zenu kuna wanyantuzu cjui nan yan hamtabaki salama huko nigeria pamoja naubaguzi wakabila ila ubaguz wadini ndio unawaua zaid
 
Ndicho nilichosema-watapeana vyeo kikabila na kupendeleana huku makabila mengine yakididimia. Mapaka labda nao wapate nafasi. So kusema kuwa makabila yote yatakuja pamoja na kujenga taifa la usawa kwa wote ni ngumu sana na kuota ndoto. Nchi yenye makabila mengi ni ngumu kiongozi kufikiri kwa maslahi ya nchi. Atawaza tu kuiba na kufaidisha watu wake. Lakini nchi inayoundwa na kabila moja ni rahisi kwa viongozi kufikiria maslahi ya nchi.
we mpumbavu kafiche hiyo aibu yako. Huoni hata haya? Kichwani ni mtupu halafu unaendelea kuandika upupu. Km hujui maana ya dhana husika lazima uandike upuuzi km huu? we una udumavu wa akili siyo bure
 
Atakayesimamia hiyo Meritocracy unayohubiri ni nani? Utasema Wakurya wanafaa jeshini lakini waliingizwa huko kikabila!! Ukabila hauna ubaya wowote. Kuwaleta watu wa makabila tofauti ili waunde nchi ndipo ubaya ulipo.
Atakayesimamia, tutampa mwenye asili ya kutambua udugu baina ya watu wote.

Tena anayechukia, wizi, unyonyaji na uzulumati baina ya pande mbili.

Hatutampa mtu ambaye kiasili anaamini kuwa kundi lao lina upekee, hivyo ana haki ya kujipendelea yeye na wa kwao. Hata ikihusisha kuwaibia na kudhulumu wengine

Kuhusu jeshini: Kiasili tunafahamu mkurya yuko tayari kuua mtu atakayecheza na jamii yake, familia yake etc. Huoni atatumia vizuri 'kipaji' alichonacho jeshini kutuulia watakaotaka kucheza na nchi yetu?

Kuwajaza watu hao jeshini is a smart move.
 
Yan we nimwehu unazan watu wanabaguana kwaukabila tu, yan mkipewa nyie wasukuma nchi msizani ndio mtapendana huko kwenye kabila lenu lazima mje mbaguane kwenye dini kuna wakristo nawaislam humo ndan kuna wasabato, roma, walokole... Bado mna koo zenu kuna wanyantuzu cjui nan yan hamtabaki salama huko nigeria pamoja naubaguzi wakabila ila ubaguz wadini ndio unawaua zaid
Mbona sasa tunabaguana kitaifa? Sasa inakuwaje mtu aseme utaifa mzuri na ukabila mbaya?
 
we mpumbavu kafiche hiyo aibu yako. Huoni hata haya? Kichwani ni mtupu halafu unaendelea kuandika upupu. Km hujui maana ya dhana husika lazima uandike upuuzi km huu? we una udumavu wa akili siyo bure
Ni asili ya binadamu kupenda watu wa jamii yake. Iwe ya familia moja, ukoo, kabila au taifa moja. Kwa nini Ukabila Uonekane mbaya? Kila kabila lingekuwa na nchi rasmi mambo mengi yangeenda vizuri.
 
Mbona sasa tunabaguana kitaifa? Sasa inakuwaje mtu aseme utaifa mzuri na ukabila mbaya?
Ndo inatakiwa watu mtambuane kwa utaifa yan ukisema wew mtanzania bhas inatosha mnapendana, mfano marekan kila mtu anachimbuko lake ila marekan ndio kitu chakwanza yan ukishakua raia wamarekan kitu chakwanza nikuilinda nakuipenda marekan
 
Ni asili ya binadamu kupenda watu wa jamii yake. Iwe ya familia moja, ukoo, kabila au taifa moja. Kwa nini Ukabila Uonekane mbaya? Kila kabila lingekuwa na nchi rasmi mambo mengi yangeenda vizuri.
Humo kwenye kabila mnazan ndio mtakua watu waina moja kuna kauli inasema ndugu wamuislam nimuislam mwenzie sasa jiulize kwenye hilo kabila lenu mnadini ngap huo nimfano tu yan mkiwa kabila moja bado mtabaguana tu naujue ndani yakabila kuna koo nahiz koo hua hazipendani kabisa
 
Ndo inatakiwa watu mtambuane kwa utaifa yan ukisema wew mtanzania bhas inatosha mnapendana, mfano marekan kila mtu anachimbuko lake ila marekan ndio kitu chakwanza yan ukishakua raia wamarekan kitu chakwanza nikuilinda nakuipenda marekan
Wamarekani hawapendani hata kidogo. Hizo habari umeona kwenye movies. Hata watu wa rangi tofauti hawakuruhusiwa kuoana hadi mwaka 1967. Yaani, unataka Mmasai wa Kenya ampende Mkikuyu kuliko Mmasai mwenzake wa Tanzania? Msingi bora wa "Taifa" ni ukabila. Haya mataifa ya makabila mengi ni uhuni na ndiyo maana mengi masikini na yanashida kila siku.
 
Humo kwenye kabila mnazan ndio mtakua watu waina moja kuna kauli inasema ndugu wamuislam nimuislam mwenzie sasa jiulize kwenye hilo kabila lenu mnadini ngap huo nimfano tu yan mkiwa kabila moja bado mtabaguana tu naujue ndani yakabila kuna koo nahiz koo hua hazipendani kabisa
Hilo ni kweli. Ila afadhali ndani ya kabila watu wanavitu vingi in common. Lugha, mila, desturi nk. Watu hawa hujiona mtu mmoja. Taifa ni kitu fake labda taifa hilo liundwe na watu wa kabila moja.
 
Kote huko tunaonyweshwa jinsi watu wa kabila moja wanavyopendana. Huko Nigeria kila anayeshika nchi hana hata uchungu nayo. Ni kuiba tu maana si mali ya wote. Lakini Inakuwa ngumu MuIgbo kufisadi wa Igbo wenzake kwenye nchi ya Kiigbo.
Ukabila humomonyoa umoja wa kitaifa 'Refer Tribalism and Politics in Nigeria.. journal article by Walter Schwarz'
 
Umoja wa kitaifa kwa nchi kama Nigeria hauna faida yoyote. Ni watu tu wanataka kunyonya wengi. Wangeunda nchi za kikabila zingekuwa mbali sana.
 
Kila Kabila Nigeria liwe na Nchi yake si ndio? Vivyo hivyo kila Kabila ndani ya Tanzania yetu pendwa iunde Nchi yake si ndio? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ndivyo ilivyokuwa kabla ya ukoloni.
 
Atakayesimamia, tutampa mwenye asili ya kutambua udugu baina ya watu wote.

Tena anayechukia, wizi, unyonyaji na uzulumati baina ya pande mbili.

Hatutampa mtu ambaye kiasili anaamini kuwa kundi lao lina upekee, hivyo ana haki ya kujipendelea yeye na wa kwao. Hata ikihusisha kuwaibia na kudhulumu wengine

Kuhusu jeshini: Kiasili tunafahamu mkurya yuko tayari kuua mtu atakayecheza na jamii yake, familia yake etc. Huoni atatumia vizuri 'kipaji' alichonacho jeshini kutuulia watakaotaka kucheza na nchi yetu?

Kuwajaza watu hao jeshini is a smart move.
Nani atatambua kuwa huyu ana asili ya kutambua udugu baina ya watu wote.

Wakurya walishindwa hata kupigana na mkoloni kupigania kabila lao leo ndiyo wafae kupigania nchi!!!
 
Hata leo ukiianzisha taifa la Wagogo. Ndani ya miaka kumi litaiacha mbali sana Tz.
You cant see the frame when you are in the picture.

Inawezekana wewe ni mmoja wa walio na 'spirit' ya ukabila huo mbaya ndio maana hauoni uhalisia mwingine labda.

Nani atatambua kuwa huyu ana asili ya kutambua udugu baina ya watu wote.

Wakurya walishindwa hata kupigana na mkoloni kupigania kabila lao leo ndiyo wafae kupigania nchi!!!
Mh, ujibiwe mara ngapi. Tabia za makabila zinajionesha. Na sio wote ila watu wengi tu utakuta tamaduni zao zimewaathiri mpaka kuwa na tabia zinazoendana.

Nimekwambia tu kipimo ni hata ukitazama namna wanavyomchukulia Mungu na mahusiano baina yao na Mungu yanaweza kukupa picha kama wanautambua udugu ama hawautambui.
Mmoja akiona ni ULIMWENGU.
Mwingine akaona ni MLIMA FULANI uliopo kwenye jamii yao tu.
Wataathiriwa tofauti katika kuung'amua ukweli kwamba sisi ni ndugu.

Kwa mazungumzo yetu labda kwa kuwa ww ni mchaga na mimi ni msukuma ndio maana hatuelewani eeeh!? Tumeathiriwa tayari. Na inahitaji nguvu kubwa kujitambua.

nimesearch kijuujuu kiasili cha makabila mawili niliyoamua kuyalinganisha katika ukarimu na universal brotherhood sense (udugu usio na mipaka)
Screenshot_20230522-232731_Chrome.jpg

Screenshot_20230522-232805_Chrome.jpg

So mimi kiasili kuunganisha makabila yote au watu wote ni kitu nnachoamini ni natural kabisa na ndivyo ilivyo. Halafu wewe kiasili utaamini hilo ni jambo ambalo halipo kabisa na kwa upande wako ndivyo ilivyo.

Nani yupo sahihi, nani hayupo sahihi. Hapo tuweke mjadala mezani. Hoja zihusike. Can any of us shake his/her cultural conditioning!???
 
Nadhani unaupungufu wa elimu eneo hilo. Hakuna mtu amesema kupenda watu mnaotoka eneo moja ni tatizo au jambo baya.

But ukisikia neno "Ukabila" maana yake linatumika kumaanisha tabia ya kujenga mifumo kwa kulenga kutumia rasilimali ambazo zilitakiwa kutumika kwaajiri ya wote then kunufaisha kundi fulani lengwa yaani kabila fulani.

Kama ni kazi basi watapata kwanza hao wahusika wa kabila fulani tena kwa upendeleo maana hata wasio na sifa watalazimisha kushika nyadhifa ili waweze kutetea interests za kabila lao vizuri.

Shida watoto wa siku hizi mnakuwa bila elimu ya Uraia na mnapewa elimu za hovyo na ndugu zenu. Miaka sisi tunakuwa tulikuwa tunasoma sana vitabu vya waandishi wenye uzalendo kwahiyo waliandika mambo mtambuka.

Kwa mfano utaka kujua hasara ya Ukabila moja ninayoweza kukupa. Wewe hapa unatuandikia huu ujumbe wako wa hovyo kupitia lugha gani?! Si umetumia kiswahili? Kwann haukutumia lugha ya asili ya ukoo wa baba yako ?!

Nani angekuelewa hapa zaidi ya kuona umeandika makorokocho. Ila akili yako imekuambia tumia kiswahili ili ueleweke si ndivyo?!

Sasa hiyo ndio hasara ya Ukabila, utalazimika kuwa na mawasiliano na watu wa kabila lako tu. Wengine utagombana nao sababu hamuwezi kuwasiliana.

Kinyume chake , umoja wa kitaifa unakupa option ya udugu wa jumuiya na kuishi kwa upendo na watu wa jamii zingine mkipendana na kushirikiana.

Umeongea kichoyo sana , kibinafsi sana, na unaonekana umelelewa makuzi ya watu wanafiki na wachoyo sana. Hizi lawama nitawapa wazazi wako na walezi wako kwa kukuachia hii laana ya ukabila badala ya kukujenga kijana uwe mzalendo na mpenda uzalendo kwa taifa lako.

Hapo siajabu upo Dar , hivi wazaramo wakisema urudi kwenu sitimbi kwasababu hapa sio asili ya kabila lako utawaelewa?!

Umeona hasara ya kutumia fikra potofu kujenga hoja za kipuuzi ili uwe mpumbavu katika jamii yenye watu wenye werevu kukuzidi?!

Nenda katubu hii dhambi na muombe sana MUNGU akuondolee hii laana ya kukosa hekima.
Mkuu chukua[emoji109][emoji109] izo umenena vyema saana
 
You cant see the frame when you are in the picture.

Inawezekana wewe ni mmoja wa walio na 'spirit' ya ukabila huo mbaya ndio maana hauoni uhalisia mwingine labda.

Mh, ujibiwe mara ngapi. Tabia za makabila zinajionesha. Na sio wote ila watu wengi tu utakuta tamaduni zao zimewaathiri mpaka kuwa na tabia zinazoendana.

Nimekwambia tu kipimo ni hata ukitazama namna wanavyomchukulia Mungu na mahusiano baina yao na Mungu yanaweza kukupa picha kama wanautambua udugu ama hawautambui.
Mmoja akiona ni ULIMWENGU.
Mwingine akaona ni MLIMA FULANI uliopo kwenye jamii yao tu.
Wataathiriwa tofauti katika kuung'amua ukweli kwamba sisi ni ndugu.

Kwa mazungumzo yetu labda kwa kuwa ww ni mchaga na mimi ni msukuma ndio maana hatuelewani eeeh!? Tumeathiriwa tayari. Na inahitaji nguvu kubwa kujitambua.

nimesearch kijuujuu kiasili cha makabila mawili niliyoamua kuyalinganisha katika ukarimu na universal brotherhood sense (udugu usio na mipaka)
View attachment 2631824
View attachment 2631827

So mimi kiasili kuunganisha makabila yote au watu wote ni kitu nnachoamini ni natural kabisa na ndivyo ilivyo. Halafu wewe kiasili utaamini hilo ni jambo ambalo halipo kabisa na kwa upande wako ndivyo ilivyo.

Nani yupo sahihi, nani hayupo sahihi. Hapo tuweke mjadala mezani. Hoja zihusike. Can any of us shake his/her cultural conditioning!???
Watu wa makabila tofauti hawakupaswa kuishi chini ya taifa moja. Na kwa Africa hilo suala halina hata miaka 200. Kwa Maelfu ya miakw kila kabila lilikuwa ni nchi kamili. Wasukuma wanaweza kuwa na utamaduni wa ukarimu kulingana na mazingira yao na hali zao. Ukiuleta utamaduni huo kwa nchi nzima unafeli.
 
Unafahamu siri ya maendeleo ya nchi kubwa.?

Siri kubwa ni kuzikusanya tofauti zao na kuziunganisha kuunda taifa moja imara.

Marekani, kama ilivyo Russia ni muunganiko wa jamii nyingi zenye asili tofautitofauti kuunda taifa moja.

Ubaya sio utofauti wetu, hiyo ni faida. Kibaya ni tunaposhindwa kuzioanisha hizo tofauti zetu kwa faida ya wote.
 
Back
Top Bottom