You cant see the frame when you are in the picture.
Inawezekana wewe ni mmoja wa walio na 'spirit' ya ukabila huo mbaya ndio maana hauoni uhalisia mwingine labda.
Mh, ujibiwe mara ngapi. Tabia za makabila zinajionesha. Na sio wote ila watu wengi tu utakuta tamaduni zao zimewaathiri mpaka kuwa na tabia zinazoendana.
Nimekwambia tu kipimo ni hata ukitazama namna wanavyomchukulia Mungu na mahusiano baina yao na Mungu yanaweza kukupa picha kama wanautambua udugu ama hawautambui.
Mmoja akiona ni ULIMWENGU.
Mwingine akaona ni MLIMA FULANI uliopo kwenye jamii yao tu.
Wataathiriwa tofauti katika kuung'amua ukweli kwamba sisi ni ndugu.
Kwa mazungumzo yetu labda kwa kuwa ww ni mchaga na mimi ni msukuma ndio maana hatuelewani eeeh!? Tumeathiriwa tayari. Na inahitaji nguvu kubwa kujitambua.
nimesearch kijuujuu kiasili cha makabila mawili niliyoamua kuyalinganisha katika ukarimu na universal brotherhood sense (udugu usio na mipaka)
View attachment 2631824
View attachment 2631827
So mimi kiasili kuunganisha makabila yote au watu wote ni kitu nnachoamini ni natural kabisa na ndivyo ilivyo. Halafu wewe kiasili utaamini hilo ni jambo ambalo halipo kabisa na kwa upande wako ndivyo ilivyo.
Nani yupo sahihi, nani hayupo sahihi. Hapo tuweke mjadala mezani. Hoja zihusike. Can any of us shake his/her cultural conditioning!???