Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

Hivi nikuulize swali moja Mwanakijiji, Mke wa Mkapa kuwa na majumba yote pale mjini unataka kusema hakuna harufu ya mabaya hapo?
Au huko Zanzibar jinsi Karume anavyovuta mali za taifa kwa familia yake. je, ni lugha gani itumike hapa ili wananchi wafahamu kuwa vitendo hivyo ni vibaya!
 
Mkandara... ...... U N D U G U N I Z A T I O N ........ Mkitaka tulizungumzie hili I'm all up for it.. UKABILA ni no no no!!
 
Alaaa kwa hiyo TRA kuna Undugunization! lugha sahihi au sio? lakini unakubali kuwa huko TRA lipo tatizo na hizo hesabu za usomi ni kilemba tu ulifunika ili mwarabu apite!
 
Mwanakijiji

Hivyo utakuwa unafanya hasira na hapa hatuendi hivyo

kwanza nadhani ni vizuri ukakubali kuna tatizo na chanzo chake kinajulikana

hakuna anayetaka WITCH HUNT kwani mimi naamini kuwa MWENYE UWEZO APEWE regardless ni dini au kabila gani

tatizo linakuja pale inapooonekana kuwa wenye uwezo ni makabila matatu inamaana hao wengine MATAAHIRA?..tazama staff wa JK wengi wao au at least anaotembea nao ni kabila moja,wafanya kazi kule USALAMA WA TAIFA especially level za juu ni kabila moja,Idadi ya wafanyakazi wanaotoka FOREIGN kwenda kufanya kazi kwenye balozi za nje pale Dar ni Kabila moja... sidhani kama hii ni picha nzuri

hakuna cha kufukuza kazi bali nadhani inabidi uwepo utaratibu ambao uko more open and stringent katika kutoa kazi kwa ma civils servants


naamini mimi kwa upande wangu ni vizuri tukafanyia marekebisho katiba yetu ili mwananchi awe anajua kama kanyimwa kazi basi awe na uwezo wa kujua ni based on what na hii inawezekana through FREEDOM OF INFORMATION
 
Dr.WHO,
Haya uliyoongeza ya Ikulu, foreign n.k yana ukweli? Utanisamehe ndio ktk kutafuta kujua ukweli nianze kabisa kujibatiza jina.
 
hakuna shaka

tena utashangaa katika balozi za nchi za skandinavia na ulaya ya mashariki wamejanaza toka kabila moja lakini ukienda ubalozi wa Cuba au Kenya utakuta kule kuko tofauti
 
Tupo kwenye karne ya Computers wakati majina ya wafanyakazi katika kila sekta yatakapochapishwa na kujua jinsi ofisi zilivyojazana kwa ukabila utashangaa, na hizi Foreign Offices ndio dumping ground ya ndugu na jamaa.

Freedom of information ndio pekee inayoweza kuonyesha uhalali huu wa ukabila. Watu wanapeana madaraka kienyeji.

Kama Mswahili alivyosema TRA inamdai Mengi 5 billion, Je kuna haki na ukweli katika hili? Kama ni kweli Je ni kwa nini ana deni kubwa namna hii? Atalilipa lini? Je huu umekuwa kama mkopo au vipi? Analipia interest? Je matajiri gani wengine wakubwa wanaodaiwa na TRA? Ni vigezo gani TRA inatumia katika kuwaachia matajiri kutokulipa kodi hadi kubaki na deni?

Je Bunge linafahamu kuhusu huu utaratibu wa kuwaachia matajiri kulimbikiza madeni makubwa kiasi hiki?
 
kuna mtu aliuliza idadi ya sekondari mkoa wa kilimanjaro, check out this website http://www.tanedu.org/search_School.asp Kwa search ya haraka haraka Kilimanjaro kuna secondary 454 na Tanzania nzima 3093

Kutoka chanzo kingine sikumbuki source ambazo ni data za data za nyuma kidogo zinaonyesha kuwa Kilimanjaro ina sekondari 200 wakati national average ni sekondari 83 kwa kila mkoa.

I hope more data can be found from http://www.moe.go.tz/statistics.html
 
Mtz.
shule nyingi ni bweni wanasoma watu mbalimbali.

Mwanakijiji.

hivi wewe unafanya TRA? wenye TRA yao wamekiri kuwa ni ngome ya wachagga wewe unabisha mbona sikuelewi?

kuhusu waislam kuzaaa sana hilo nilijua wewe kama mwandishi ungeliona, hivi mtu mwenye wake wanne atakuwa sawa na mtu mwenye mke mmoja kwa watoto?
pia mapdri hawaoi wakatoliki hiyo hujui? kingine maeneo ya pwani mabinti wanaolewa wadogo sana na hata kuwa wakristu wengi wanakaa sana shuleni hadi anaoa tayari umri umekwenda.

chukulia mama Mkapa ana watoto wangapi? na Salma Kikwete ana wangapi?
mama mkapa ana wawili tu. nakusaidia.

hoja ya ukabila hata nyerere aliiona na kuunda tume ya kuichunguza NIC kwa vile wanyakyusa walikuwa wengi. hakukanisha na kusema hawa wameanza kusoma siku nyingi, sasa wewe unamfuata nani wakati NYERERE ambaye ndio kigezo chako aliliona.

mwisho piga cm TRA na fanya mahijiano nao kama ni kweli responsible journalist kufuatilia habari na utuwekee kwenye website yako.

kwa takwimu zako inaonekana wazaramu wamesoma sana kwani kuna shule zifuatazo Azania, Mzizima, shabab robert, Al-muntazir, Tambaza, makongo, Loyola,jangwani. zanaki. forodhani, kibasila,al-haramain,green acres, st. marys. st.mathews. masjid Qubah. kinondoni sekondary, ridhwaaa, ubungo. iteba sekondary,midland high school. kimara sekondary, twaybat, tandika sekondary, st.anthony, neluka sekondary, kwani hizo zote ziko dar.
na hata elimu ya juu wazaramo watakuwa wamesoma sana kwani wana UDSM,IFM, Dsa, CBE, chuo cha ualimu changombe n.k kwani vyote viko mkoani kwao.

mwisho.
kubali tu umeteleza si kila mada lazima uijue au uchangie kubali umeteleza.
 
Nakubali hujaanguka.
na hii kauli yako ya kusema wachagga wamesoma siku nyingi naikubali sana nadhani hata FREDDY MARO mpiga picha wa mkapa na sasa Rais Kikwete alipata kazi hiyo kwa kuwa kabila lake lina historia nzuri kwenye elimu. na kina Issa Michuzi HAWANA historia ya kupata elimu mapema. ni qualifaication tu ndio ilimpa kazi fred maro na si uchagga na ushemeji kwa mkapa.
 
kuna mtu aliuliza idadi ya sekondari mkoa wa kilimanjaro, check out this website http://www.tanedu.org/search_School.asp Kwa search ya haraka haraka Kilimanjaro kuna secondary 454 na Tanzania nzima 3093
Kutoka chanzo kingine sikumbuki source ambazo ni data za data za nyuma kidogo zinaonyesha kuwa Kilimanjaro ina sekondari 200 wakati national average ni sekondari 83 kwa kila mkoa.

I hope more data can be found from http://www.moe.go.tz/statistics.html


Kwa mujibu wa shule zote zilizofanya exams za taifa kwa kidato cha 4, list inaonyesha shule zote za Sekondari Tanzania mpaka kidato cha 4 ni 7254.
 
Wanabodi

Inanibidi nikubali kuwa huu mjadala una hoja nyingi sana za msingi...lakini kwa kweli unakwenda kasi mno. Yaani nimechangia mada only 7 hours ago kulikuwa na pages 16 sasa hivi kuna pages 24 and counting. Nainua mikono kwani muda unanibana kuzijibu kiukamilifu hivyo nitakuwa slow kidogo.

Ila nasoma na kujifunza mengi sana humu. Naogopa hata kusema nitajibu kesho maana sijui kesho kutakuwa na pages ngapi kwenye hii mada...!!
 
mWANAKIJIJI,

Safi sana, debate nzuri, Mswahili, unaongea vizuri, ume improve saana hongera.

FD
 
DrWHO hebu tumegee, ni kabila gani hilo UWT na pale FOREIGN ambalo lime-dominate?

Kama nilivyosema awali, TATIZO LIPO na hapana shurti dawa itafutwe, .... mswahili has made his point on this.............keep it up man
 
Jasusi.

nazungumzia watoto aliozaa na Mkapa huyu mmoja alizaa na mr.fupi(mramba)
itakavyokuwa waislam wana watoto wengi kwa maelezo ya mwanakijiji nitasema sababu za kihistoria. kwa kumuongezea mwanakijiji binti wa kiislam anakuwa kwenye dhamana ya familia hata akifa baba yake basi kaka yake anachukua nafasi ya kumtizama, kwa hiyo mtu huyu kuolewa kwake si issue hana mambo mengi yanayomzuia.

nenda ZNZ tizama mabinti wanazaa umri gani? halafu uliza professor Sarungi ana watoto wangapi? mlinganishe na mzee shomvi anayeuza nazi kwani anamiliki kiunga cha nazi- mkuranga na nyumba tatu za urithi temeke na ameanza maisha akiwa na miaka 17. tayari ana mke. jee kipindi hicho sarungi alikuwa tayari kaoa? simple hesabu.

Fikiraduni.

sio nime improve ila ukiwa unamuelekeza mtu anajibu utumbo nami hutumia lugha anayoitaka, na akija na busara atapata busara,nimetoa data kamili fulani yuko sehemu fulani bado mtu anajibu pumba. na hili ni tatizo hata kinchi huwezi kuwa na watu wa kabila moja sehemu moja au nyeti wafuatilie Hausa Nigeria, na kabila lenyewe halina muamana sana kwanini tuje kujuta wakati kitu kinaweza kuzungumzwa na wenye masikio wasikie.

leo usalama wa taifa wamiliki watu wa kabila fulani huoni kama ni tatizo? wakisema wanataka kuongoza nchi nani atawazuia? kwa hiyo suala la ukabila hata usalama wa taifa inabidi waliingilie kwani ni hatari kwa nchi madaraka au nguvu fulani kuiweka sehemu moja.

tuchukulie akina phillimon mikael na chama chao chadema wapate madaraka na waseme hatutoki tena sababu wao ni wengi kila sehemu nyeti basi hakuna wa kuwatoa.
ukabila ni sumu na hatari kwa nchi yetu hauna tafsiri nyingine mfano kujuana ni sumu ni kansa hata kama hatupendi ukweli huu.
 
Sasa ufisadi huu wa ukabila tutauondoa vipi? vigezo gani vitumike ili kuona kwamba suala kama hili halijitokezi tena hapo baadaye? COME ON GUYS LETS PUT THIS OUT ONCE AND FOR ALL.
 
Mswahili

Wewe ndugu yangu ni mkali hadi la mama Mkapa kuwa na mtoto na Mramba unalijua, sasa naona kweli hii ni picha kubwa. Mwaga data.
 
Back
Top Bottom