Mtz.
shule nyingi ni bweni wanasoma watu mbalimbali.
Mwanakijiji.
hivi wewe unafanya TRA? wenye TRA yao wamekiri kuwa ni ngome ya wachagga wewe unabisha mbona sikuelewi?
kuhusu waislam kuzaaa sana hilo nilijua wewe kama mwandishi ungeliona, hivi mtu mwenye wake wanne atakuwa sawa na mtu mwenye mke mmoja kwa watoto?
pia mapdri hawaoi wakatoliki hiyo hujui? kingine maeneo ya pwani mabinti wanaolewa wadogo sana na hata kuwa wakristu wengi wanakaa sana shuleni hadi anaoa tayari umri umekwenda.
chukulia mama Mkapa ana watoto wangapi? na Salma Kikwete ana wangapi?
mama mkapa ana wawili tu. nakusaidia.
hoja ya ukabila hata nyerere aliiona na kuunda tume ya kuichunguza NIC kwa vile wanyakyusa walikuwa wengi. hakukanisha na kusema hawa wameanza kusoma siku nyingi, sasa wewe unamfuata nani wakati NYERERE ambaye ndio kigezo chako aliliona.
mwisho piga cm TRA na fanya mahijiano nao kama ni kweli responsible journalist kufuatilia habari na utuwekee kwenye website yako.
kwa takwimu zako inaonekana wazaramu wamesoma sana kwani kuna shule zifuatazo Azania, Mzizima, shabab robert, Al-muntazir, Tambaza, makongo, Loyola,jangwani. zanaki. forodhani, kibasila,al-haramain,green acres, st. marys. st.mathews. masjid Qubah. kinondoni sekondary, ridhwaaa, ubungo. iteba sekondary,midland high school. kimara sekondary, twaybat, tandika sekondary, st.anthony, neluka sekondary, kwani hizo zote ziko dar.
na hata elimu ya juu wazaramo watakuwa wamesoma sana kwani wana UDSM,IFM, Dsa, CBE, chuo cha ualimu changombe n.k kwani vyote viko mkoani kwao.
mwisho.
kubali tu umeteleza si kila mada lazima uijue au uchangie kubali umeteleza.