Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

Huko nyuma nilishawahi kusema Ukabila, Udini, kujuana au undugunization kama inavyotamkwa hapa na Rushwa ndiyo vinavyotawala katika kupata ajira nchini mwetu.Na kama ulipata ajira bila ya vigezo hivyo basi elewa Fani yako ni adimu Lakini bado hutapangwa unapositahili bali utapelekwa vichochoroni wahakikishe wanakuangamiza kitaaluma kwa kufanya kazi zisizohusiana na taaluma yako kiundani.
 
Mwanagenzi.

si yusuf Manji ila ni Y.Mushi ni mfanyabiashara maarufu mwenye asili ya kilimanjaro jina lake la mwanzo nalihifadhi.

Joka kuu.

Sijasema wote wako watu makini mbona sijamkashfu dr.Chami?

pia sijang'ang'ania TRA tu tutakwenda kote ila hapo umetokea ubishi tunashindwa kwenda mbele nataka niweke sawa halafu nisonge mbele lakini ndio wanakuja watu na hoja. inabidi uwajibu hadi waelewe somo.
 
Na nilisema hivi vitu vipo ila havijafikia katika hali ya kuleta mtafaruku miongoni mwetu.Ni bora tukaliona hili na kulitambua kwa kulikemea na kufanya mabadiliko kabla halijaleta madhara makubwa.
 
Tabasamu.
usiinite muongo fuatilia kwanza kabla ya kukurupuka na kujibu kishabiki. nimweka post yangu dakika tano zilizopita jee umecheki na wenye shule kuthibitisha uongo wangu? au wewe ni muhusika katika hizo shule nilizotaja? naomba uliza kwanza halafu ndio uje kuniita muongo. tena ungesema neno labda hii si kawaida lakini kuniita muongo huku huja counter check na upande wa pili sio fair.
Mkandara.
mwache tu atukane MR.Phillimon hao wamesoma sana kwa sababu za kihistoria. waungwana hatugombani na mtu hapa ni darasani tunatoa elimu tu, sasa naona haja ya mimi kuingia kwenye mada ya radar na ndege ya rais, kwani kunyamaza tunaonekana wajinga.

Sina jinsi nyingine zaidi ya kukuita muongo na na wala sihitaji kucheck na wamiliki wa shule hizi kujua kuwa ulichoandika hapo ni uzushi. Ati ni policy za shule. Kupinga uzushi wako huo hakuhitaji niwe mmoja wapo wa wahusika wa hizo shule ninachofanya nikuisaidia jamii zidi ya uzushi usiokuwa na sababu. Talk of Seminari zinabagua kwa kutochukua madhehebu mengine zaidi ya Wakatoliki watu watakuelewa lakini siyo St Anthony.
Haya hapa ni matokeo ya kidato cha nnne 2004 maana ndiyo yanayopatikana kwenye mtandao wa NECTA, ya mwaka huu sikuyatumia kwa sababu wametumia abbreviations. Japo majina si kigezo kizuri lakini kwa namna fulani inatusaidia kuchukulia dini ya mwenye jina. With that tunaacha sampling error +/- 3 %. Hebu tuonyeshe ni wapi hapo hiyo sera ya kuchukua wanafunzi wa kiislamu watano?
http://www.tanzania.go.tz/matokeo2004/Olev2004/S0534.htm
Kabla hujataka watu wawe fair hebu na wewe kuwa fair kwenye hoja zako.
 
MSWAHILI.
Tena unajua hiki kituo chaushuru kimewaharimu sana waTZ naimewabidi watumie mapesa mengi sana.
Kwani inabidi upeleke mizigo yako kwa bandari ya Mombasa halafu ndio mizigo iletwe moshi ambapo itabidi ulipie tena usafirishaji mpaka tanga tena kisha ndio wailete tanga.
Hii yote kwasababu Mramba alitaka wafaidike ndugu zake,nakusahau ukweli kuwa Tanga kunabandari naitaachwa bandari hii bila yakufanyiwa kazi.
 
Tabasamu.
hatuzungumzii 2004 nii ni 2007 sera zinabadilika kila leo.2004 rais alikuwa mkapa leo mkapa? 2004 ilikuwa forodhani sekondari school anasoma mtu mwenye dini yeyote na hata aiye na dini fuatilia mwaka huu forodhani anasoma mtu mwingine asiye mkristu? hiyo ni forodhani si marian girls wala ST.Anthony hatuandiki humu bila kufanya research.
jina si kigezo je tariq aziz ni muislam? na salim yusuf wa TRA ni muislam? jina si hoja ndugu yangu.
 
Chief.

Suala la mikataba mibovu sources zake ni ukabila pia. kwani suala la radar na ndege hujui wajanja wa kilimanjaro kupitia kwa dada yao mama mkapa walimuingiza kichwakichwa Mzee wa Masasi? mfuatilie mfanyabaishara mwenye initial Y.M huyu ndiye mshika ten percent ya Benny na mama Mkapa.

Mengi anadaiwa billion 5 kama kodi na vitu vingi anapitisha bure kama benzi aliyotumia kwa gea ya kuwa ni ya walemavu lakini TRA wanajua anaitumia yeye JEE Nani wakumkamata phillimon mikael au Mbowe ?
ndio maana tunasema ukabila ni kansa mbaya sana.


Issue ya Rada na Ndege ya Rais: Hebu nikuulize mswahili hao wamefanya hivyo kwa sababu ni mila ya kabila lao au wamefanya hivyo kwa sababu ni waovu wa tabia na viongozi wenye tamaa za mali. Hebu niambie hepo kama kabila linahusika vipi..??


Joka kuu.

MR-Fupi katika bajeti ya mwaka jana alitenga bilion 17 kwa rombo jimboni kwake na dar-lindi bilioni 1 usimsingizie magufuli. huo ndio uchagga tunaoupigia kelele.


Hili nalo, kwa nini usiangalie hili kama ni Ubunge wake wa eneo hilo ndio ulimfanya ajipendelee na sio kwa SABABU ni Mchagga wa Rombo. Kwa nini unaoga kabila kabla ya mengine kwenye haya maamuzi..??
 
Jokakuu,
Somehow you're right! lakini hii tone itaweza vipi kubadilika?...
Kisha sidhani kama ni kosa tukiongelea Ubaguzi nchini kuanza na Kaburu wakati kuna wahindi. I mean it doesn't matter..
Na kinachokwamisha hapa ni kule watu kutokubali kwamba kuna matatizo TRA kwa visingizio vya Ukabila ama Undugunization. Lolote liwe kuna problem TRA na ipo kila haja ya kulishughulikia. Watakaokumbwa na zahma wanaweza dai pia kwa nini ni kabila lao tu limeshughulikiwa ikiwa hatutaweza ku address the real problem. Tusione aibu kwa sababu sio Wachagga wote wabaguzi wala Wachagga wote wanafanya kazi TRA. Panapo fuka moja kuna moto, sii lazima moto huo upo msitu mzima ila tukiachia mzee wangu majuto ni mjukuu!
The same goes to makaburu, wahindi, gender n.k.
 
Tabasamu.
hatuzungumzii 2004 nii ni 2007 sera zinabadilika kila leo.2004 rais alikuwa mkapa leo mkapa? 2004 ilikuwa forodhani sekondari school anasoma mtu mwenye dini yeyote na hata aiye na dini fuatilia mwaka huu forodhani anasoma mtu mwingine asiye mkristu? hiyo ni forodhani si marian girls wala ST.Anthony hatuandiki humu bila kufanya research.
jina si kigezo je tariq aziz ni muislam? na salim yusuf wa TRA ni muislam? jina si hoja ndugu yangu.
Na ndiyo maana nikakuwekea sampling error, Kwa kujua kuwa kuna uwezekano jina lisiwe determinant. Any way I am out of this lakini nakuambia usidai haki ya research kwa vitu ambavyo mtu yeyeote anaweza kuona kuwa ni uzushi usokifani. Walau ungetuwekea joining instruction ya St Anthony tuone hicho kipengele chakuwa lazima uwe Mkristo ndiyo upokelewa tungeona una hoja. Wapi blah blah tu halafu unataka Credit at umefanya research
 
Tabasamu.
hao wanafunzi wa st.ANthony ni 246 waliofanya mtihani na wenye majina ya kiislam 26 tu ingawa kuwa na jina bado si kuwa muislam hata uwiano haupo kwenye wanafunzi 246 wenye majina ya kiislam ni 26 tu kweli bado unapinga?.

fuatilia sasa wakati sera zimebadilishwa.
lete na ya marian girls ya mwaka jana au kidato cha pili kwani utaratibu wa kubadilisha majina umeanza mwaka huu. fuatilia st.ANthony 2005 labda kuna tofauti na upate sababu ya kuniita muongo.
 
Tabasam.
kwani TRA KUNA FOMU INASEMA UKIWA MCHAGA una nafasi zaidi? Niite muongo. kizabizabina na mzushi mwenzio kaanita kichwa bata wala sijakasilika wewe tukana na mwenzako akija anitukane hapa naweka ukweli tu. nia ni kunitoa kwenye mada nimeshtuka sipotezi muelekeo.
 
mswahili,
nikuomba uwe mwangalifu na kauli na madai yako. siyo HAKI kuchanganya wachaga wote ktk hilo "kundi" la mama mkapa. wako waliopata kukuelimisha kwamba wachagga katika undani wao ni watu tofauti sana. hata katika lugha[warombo,wamachame,marangu,kibosho] hawaelewani 100%, wengine hawaoleani kabisa.


Hichi ndicho nilichosema huko nyuma kuwa tutapowashutumu wachagga kwa ukabila tunasahau kuwa wao kwa wao wapo tofauti sana. Anyway...nitaishia hapa maana nisingependa kuonekana nawachimba wachagga bure.
 
Time out!!! Timeout!!!

kwanza nakuombeni chukueni pumzi kidogo naona sasa tunakosa mwelekeo.
Yebo Yebo, Hivi South Africa alipokuwa wakilia kuwa wazungu wabaguzi huwa ina maanisha kuwa wazungu wote ni wabaguzi? Hata ukitazama within South Afrika yenyewe kulikuwepo na wazungu (makaburu) ambao hawakuwa wabaguzi lakini walielewa message na kusisitiza sio wazungu wote wabaguzi.
Sote hapa tunafahamu kinachoendelea, na kibaya zaidi ni kwamba hii issue imekuwa nje kabisa ya mada. Tumefikia kusema tuhakikishe wachagga hawapewi nafasi za kazi!.. jamani hata huko South haukuwa hivyo ila mabadiliko ya sheria zilizowekwa ni kuhakikisha hakuna mwanya wa kuendesha Ubaguzi na sio kuwatenga wazungu.
Guys jaribuni sana kujitoa nyie ktk hii isuue na muwatazame wale waliopo ndani ya TRA na huko kwingineko, unless jamaa zangu ndio hao mswahili anawazungumzia kuwepo huko TRA.

Hivyo basi tuachane na mada hii kwa muda , vuteni pumzi kisha tokeni ndani ya hilo sanduku, both of you guys, Mswahili na wengineo pia.
 
Mimi sisukumwi na hoja za kihisia (emotional arguments). Hebu nioneshe udhaifu wa hoja za Mswahili.

a. Amejitahidi kwa kila namna kuonesha kuwa "wingi" wa Wachagga TRA ni matokeo ya Ukabila na si kwa sababu nyingine yoyote. Nimeuliza na hajanijibu. Kuna makabila mangapi yanafanya kazi TRA na mgawanyo wake ukoje? Je kuna Wapare wangapi, Wangoni wangapi, Wasukuma, n.k Wangapi? Je kuna kitengo chochote TRA ambacho hakiongozwi na mchagga? Je kuna kituo chochote cha mpaka, au ofisi ya mkoa, wilaya isiyoongozwa na mchagga? Ratio ya vituo/ofisi zisizoongozwa na Wachagga na zile zinazoongozwa na wachagga ukoje? Naambiwa mimi ndio nifanya utafiti!!

b. Unapojenga hoja juu ya ukweli wa kundi fulani ni lazima uoneshe ukweli huo kwa kulinganisha na kundi jingine. Unapofanya utafiti kuthibitisha madai fulani (in this case Ukabila) unahitaji kuwa na control group. Amechagua TRA kuonesha kuna ukabila, that is fine, sasa anipe control group yake kwenye ofisi nyingi ni vipi?

c. Lengo la Mswahili na watu wanaokubaliana naye siyo kuonesha ukabila au kutafuta suluhisho la "ukabila" wauonao bali kupandikiza mbegu za chuki dhidi ya "genge la kilimanjaro", huku akidai " iweje mrangi awe meya wa DAR?" wakati "wenye mji wao wapo"! Kwa maelezo ya Mswahili, watu wote wenye asili ya bara hamtakiwi Dar au kushika nafasi yoyote, siyo Umeya peke yake, bali TRA, mashuleni n.k!! Rudini kwenu pwani ni kwa ajili ya watu wa pwani!!! Lengo lake ni kuwa mimi nikifungua ofisi yangu Dar na nikatangaza nafasi za kazi na watu wakituma maombi basi nikiona majina ya wachagga.. nifikiri mara mbili!!!

Angalia maneno ya WorM hapa:

Duh!

mswahili this term umekuja kwa kasi nyingine kabisaaa!

Nilianza naona kama utaboronga lakini uandikayo kwa kiwango flani yana ukweli mkubwa tu. Mswahili hawa wa Kilimanjaro walikufanyia nini mzee? Yani unawakandia hadi naanza kuwaogopa. Ebana unawafahamu kwa kina haswa!

Mh!!!

Tukianza kuwashuku Wachagga, na kuanza kuwanyima nafasi ati kwa vile ni Wachagga, tutakuwa tumetimiza lengo la Mswahili.

d. Nilipoonesha idadi ya makabila yote Tanzania nilitaka watu waelewe ratio ya wachagga in general population na kwenye ajira mbalimbali kazini. Nikatoa mfano kuwa Waasia walioko Marekani ni asilimia 4 tu ya Idadi wa watu wote (general population) lakini ni asilimia 14 katika nafasi za elimu na wanaongoza kwa kuwa na digrii ya kwanza asilimia 44! how is that possible? Je, Wachagga ni asilimia ngapi ya population yetu? Hebu tuachane na TRA for a second, je Wachagga wanapatikana kwa kiasi gani kwenye ofisi nyingine? Nitajaribu kusaidia hapa:

CHUO KIKUU CHA DAR-ES-SAALAM

Angalieni makabila yao (msiangalie elimu zao please)

Mkuu wa Chuo -
Balozi Fulgence Kazaura (Mhaya)

Makamu Mkuu wa Chuo
Rwekaza Mukandala (Mhaya)

Naibu Makamu Mkuu
PROF. MAKENYA A. H. MABOKO (Mha)

Naibu Makamu Mkuu
PROF. YUNUS D. MGAYA (Mpare - Mtu wa Kaskazini, karibu na Wachagga)

Haya tuangalie wakuu wa Vitivo

Faculty of Commerce and Management
Dr.E.S. Kaijage (Mhaya) B.A.(Dar.), MBA. (KU Leuven), Ph.D. (Sheffield

Faculty of Education
Dr. W.L.Lugoe (kabila???)

Faculty of Electrical and Computer Systems Engineering
Prof. A.H.Nzali (Kabila???)

Faculty of Civil Engineering and Built Environment
Prof. N.L.Lema (Mchagga)

Faculty of Mechanical and Chemical Engineering
(Acting-Dean) Prof. J. H.C.Katima (Mhaya)

Faculty of Law
Dr.I.H.Juma (kabila???)

Faculty of Science Associate
Prof. R. T. Kivaisi (Mhaya???)
B.Sc., M.Sc. (Dar), Ph.D. (Stockholm)

Wakuu ya Vyuo, Taasisi, na Vituo

Principal Muhimbili University College of Health Sciences
Prof.Kisali.J.Pallangyo (Mchagga)

Principal University College of Land and Architectural Studies
Prof. I. S. Kikula (kabila???)

Chairman-Prospective College of Engineering and Technology
Prof. B. L.M. Mwamila (Mhehe?)
B.Sc.(Eng).), M.Sc.(Dar), Ph.D. (London)

Director Institute of Development Studies (IDS)
Prof. H.M Mlawa (???)
B.A., M.A. (Dar), M Phil., D Phil, (Dar)

Director Institute of Kiswahili Research
Prof. M.M.Mulokozi (Mhaya)
B.A.(Ed.), Ph.D. (Dar)

Director Institute of Marine Sciences
Dr. A.M. Dubi (???)

Director African Virtual University (AVU)
Prof.Mwinyiwiwa (???)

Director Institute of Resource Assessment
Prof. R.B. Mwalyosi (Mnyakyusa)

Managing Director) University Computing Centre Ltd
Prof. Beda Mutagahywa (Mhaya)
B.Sc., M.Sc. (Dar), Ph.D. (Loughborough)
B.Sc., M.Sc.(Dar), Ph. D. (AUN)
Dr.ing (Trondheim)

Director Postgraduate Studies
Prof. L.H.K. Rutashobya (Mhaya)
Ph.D.(UDSM)

Director) The University Consultancy Bureau (Director)
Prof. S.A.K.Mlacha (???)

The University Consultancy Bureau
Prof. G. K. Munishi (Mchagga)

Directorate of Planning and Development (DPD)
Prof. Mashala (???)

Center for Continuing education
Director,Dr. Masoud H. Muruke (???)

Institute of Journalism and Mass Communication
Prof. M.K.Possi (???)

Sasa kwa kuangalia hapo ni watu wa kabila gani wanaongoza Chuo Kikuu cha Dar, tutafanya nini ili tuwapunguze na kuondoa ukabila huo?

Haya tutoke Chuo Kikuu twenda Wizara ya Fedha.

Hawa ndio Viongozi wakuu:

Staff
Position

Hon. Z. Meghji (MP)
Minister for Finance

Hon. A. Khatib (MP)
Deputy Minister for Finance (Treasury Services)

Hon. M. Mkulo (MP)
Deputy Minister for Finance ( Policy)

Mr. G.Mgonja
Permanent Secretary Treasury (Paymaster General)

Mr. A.Nyumayo
Deputy Permanent Secretary

Mr. R.Khijjah
Deputy Permanent Secretary (Policy and Resource Mobilisation)

Ms. B. Nyoni
Accountant General Department(Government)

Mr. I. Kasekwa
Assistant Accountant General - Expenditure Management

Mr. J. Mwanza
Assistant Accountant General - Financial Management

Mr. A. Kifile
Assistant Accountant General - Systems and Audit

Ms. I. Kasambala
Assistant Accountant General - Public Debt/Pensions management

Mr. M.Kamugisha
Commissioner for Policy Analysis

Mr. B. Shallanda
Assistant Commissioner for Policy Analysis (Macroeconomic Policy)

Mr. S. Madata
Assistant Commissioner for Policy Analysis (Debt Policy and Strategy)

Mr. S. Msangi
Assistant Commissioner for Policy Analysis (Fiscal Policy)

Mr. N. Magonya
Commissioner for External Finance

Ms. P. Malisa
Assistant Commissioner for External Finance (Aid Coordination)

Mr. P. Mwafongo
Assistant Commissioner for External Finance

M. Ngingite Acting Assistant Commissioner for External Finance (Bilateral)
Mr. N. Magambo
Commissioner for Budget

Mr. R. Hamis Assistant Commissioner for Budget (Ministries)
Ms. M. Mwamunyange Assistant Commissioner for Budget (Technical)
Mr. J. Cheyo Acting Assistant Commissioner for Budget (Payroll)
Mr. E. Maswi Assistant Commissioner for Budget (Region)
Ms. A. Bukuku
Treasury Registrar

Mr. G. Msella Assistant Treasury Registrar (Reform)
Ms. E. Mlaki Assistant Treasury Registrar (Management)

Ms. T. Mwakahesya
Director of Administration and Personnel

Mr. F. Lwiza
Director of Stock Verification

Mr. W. Mgonja Assistant Director Stock Verification
Mr. E. Msanya Assistant Director Stock Verification
H.Chanuriho Assistant Director Stock Verification
Mr.F. Mwakibinga Assistant Director Stock Verification
Mrs. B. Kamazima
Director of Information Technology Services

Mr. T. Mfikwa Assistant Director Computer Services (Systems Development)
Mr. L. Masano Assistant Director Computer Services (Infrastructure)
Mr. P. Mshangila Assistant Director Computer Services (Operations)
Ms. S. Mkapa
Director of Legal Services

Mr. A. Mcharo
Director - Technical Audit Unit

Mr. B. Shallanda
Assistant Commissioner for Policy Analysis (Macroeconomic Policy)

Mr. J. Kachenje
Acting Chief Internal Auditor (Vote 50 - Ministry of Finance)

Ms. V. Lyapa
Principal Accountant, Treasury

*******
Registrar, Tax Revenue Appeals Tribunal

Mr. R. Mwijage
Secretary, Tax Revenue Appeals Board

Ms. B. Malambugi
Secretary, Public Procurement Appeals Authority

Dr. R. Mlinga
Chief Executive Officer - Public Procurement Regulatory Authority

Ms I. Mduma
Principal Information Officer

Kati yao ni wangapi Wahaya, Wanyakyusa, na Wachagga...??? Kuna Ukabila hapo?

Kwa vile ndugu zetu hapa wanaonesha ukabila wa TRA kwa vile wana uchungu na fedha za Watanzania, hebu tuangalie basi Benki Kuu ambao ni "Pesa yenyewe" siyo wakusanyaji!!

Bodi wa Wakurugenzi

Mr. D. T. S. Ballali
Governor, Chairman

Mr. Juma H. Reli
Deputy Governor, Vice Chairman

Mr. G. S. Mgonja (Mpare)
Permanent Secretary to the Treasury (URT)

Mr. K. M. Omar (Zanizibar)
Principal Secretary to the Treasury (RGZ)

Prof. L. K. Rutashobya (Mhaya)
Director

Prof. J. Semboja (Mtu wa Tanga???)
Director

Prof. B. J. Ndunguru (Mngoni)
Director

Mr. M. N. Shirima (Mchagga)
Director

Dr. N. E. Mwamba (???)
Director

Mr. B. Kimela (???)
Ag. Secretary to the Bank
 
Mwkjj,
Good work. Nilitaka kuongezea tu kuwa Pallangyo si Mchagga. Ni Mmeru au M'arusha.
 
Mzee Mwanakijiji,

Sielewi kabisa unachojaribu ku - prove hapa!..
Kwanza madai yako kuwa wale tunaokubaliana na Mswahili ni ktk kushinikiza Ukabila kuwepo nchini jambo ambalo sii kweli.

Kisha hawa wote uliowataja ni nafasi za kuchaguliwa kuteuliwa na kadhalika. nafasi za juu zaidi wakati sisi tunazungumzia kuwa TRA kuna tatizo la utoaji ajira kwa wananchi.
Ukitazama hata nafasi za TRA huko juu hazina sura tunayoizungumzia kabisa. Na mara nyingi ndugu yangu tumeanguka ktk utendaji kazi kuliko management yenyewe!.
Mwisho ktk kifungu cha A umeomba Mswahili atoe ushahidi kautoa lakini unataka kwa mwelekeo wako ambao wewe mwenyewe hujatoa mfano hata mmoja wa kupinga maelezo yake. Kwa nini wewe usitoe hizo ratio kujibu swali la Mswahili bali umeongezea swali juu yake.
 
Mwanakijiji.

kwa mtindo wa majina huwezi kuwajua watu wengi wa makabila nakupa mfano mhasibu mkuu anaitwa blandina Nyoni kwa takwimu zako utasema ni mngoni huku ni mhehe.

ukifuatilia Asha rose Migiro utasema ni mnyamwezi kwa surname yake huku si mnyamwezi.

professor Mwajabu Posi kwa hiyo surname yake utasema ni mnyamwezi wakati si mnyamwezi.

chuo kikuu cha Dar-es-salaam kulikuwa na ukabila mkubwa baina ya wachagga na wahaya kwa muda mrefu,na hilo lilipelekea hata Baisi alipokuja na phd feki kwa vile wahaya walimkingia kifu hasa professor Ishozi, wachagga walikuwa juu na kuhakikisha anavuliwa phd yake.

Mwanakijiji

kwa ku copy na ku paste wakati mwingine unaweza kushindwa kujua ukweli wa mambo.
 
Mkandara, ninachojaribu kuprove ni kuwa wingi wa watu mahali pamoja siyo lazima iwe Ukabila! Na siwezi kuchukua madai ya Mswahili seriously kama amechagua kuangalia "ukabila" huo kwenye ofisi moja tu.. without a control group. Kama ni kuamua kwa macho tu.. Je kuna wachagga kwenye nafasi za juu za kuteuliwa kule TRA? Huu ukabila mnaouzungumzia nyinyi ni wa nafasi za chini tu...

Kama ni ukabila wa ajira za chini hebu tuangalie hapa:
SN NAME DEPART POST
1 Aboud, Dr. Said M/lmmunol Lecturer
2 Aboud, Prof.M.M. Surgery Associate Professor
3 Ali, Dr. A. Tarab Biochem Lecturer
4 Aziz, Prof. M.R. Surgery Associate Professor
5 Bakari, Dr. M, Medicine Senior Lecturer
6 Carneiro, Dr. L.C. Rest Dent Lecturer
7 Carneiro, Prof. P.M.R. Surgery Associate Professor
8 Chambuso, Dr M.H.S. Med/Chem Lecturer
9 Chande, Dr.H.M. Histopath Lecturer
10 Damian, Dr, F.R, P'ceutics Lecturer
11 Ezekiel, Mr Mangi B/Science Assistant Lecturer
12 Fabian, Dr. F. M, A/histol Senior Lecturer
13 Fataki, Dr. M.R. Paediat Lecturer
14 Frumence, Mr, G. IDS Assistant Lecturer
15 Fungo, Dr. H.A. IDS Lecturer
16 Gasarasi, Mrs. D.B. Paras/Ent Senior Lecturer
17 Gesase, Dr. A.P, A/histol Senior Lecturer
18 Habib, Mr. N.A. Epid/bios Assistant Lecturer
19 Hamudu, Dr. N.A.S 0/Gynae Lecturer
20 Haule, Dr. A.F, Med/Chem Lecturer
21 Heri, Mrs. R Nursing Tutorial Assistant
22 Hogan, Dr M. Psychiat Senior Lecturer
23 Hussein, Dr. A.K. Comm/Health Lecturer
24 Innocent, Mr. E. IDS Ass. Research Fellow
25 Jande, Dr. M.B, C/Pharm Senior Lecturer
26 John, Dr. E. Epid/bios Tutorial Assistant
27 Kaale, Dr. E.A. Med/Chem Lecturer
28 Kaaya, Dr. S. Psychiat Senior Lecturer
29 Kaaya, Dr. S. Psychiat Senior Lecturer
30 Kaaya, Prof. E.E. Histopath Associate Professor
31 Kabati, Mr. C.I.A, P'ceutics Lecturer
32 Kabyemela, Dr. E.A.R. C/Chemist Assistant Lecturer
33 Kahabuka, Dr. F, K. A, Comm/Dent Senior Lecturer
34 Kahamba, Dr. J.F. O/Trauma Senior Lecturer
35 Kahoko, Mr. DCV Paras/Ent Assistant Lecturer
36 Kaisi, Prof, M, 0/Gynae Associate Professor
37 Kajula, Ms. Lusajo Psychiat Tutorial Assistant
38 Kalala, Mr. W.M. P'ceulics Lecturer
39 Kalokola, Dr. F.M. Paediat Senior Lecturer
40 Kalyanyama, Dr. B.M. Oral surg Lecturer
41 Kamuhabwa, Dr. A. P'gnosy Lecturer
42 Kapingu, Dr. M.C. ITM Research Fellow
43 Karungula, Mr, J. Nursing Assistant Lecturer
44 Katagile, Dr. A.M. Surgery Lecturer
45 Kayombo, Dr. E.J. ITM Research Fellow
46 Kazaura, Mr. M.R. Epid/bios Assistant Lecturer
47 Kazema, Dr. R. Radiology Senior Lecturer
48 Kazimoto, Dr. T.K. Paediat Senior Lecturer
49 Kessy, Dr. A.T. Comm/Health Lecturer
50 Kida, Dr. I.A. Rest Dent Assistant Lecturer
51 Kihamia, Prof. C, Paras/Ent Professor
52 Kikwilu, Or, E.N. Com/Dent Senior Lecturer
53 Kilapilo, Ms. F.G. Nursing Tutorial Assistant
54 Kilenga, Dr. N.H. C/Chemist Assistant Lecturer
55 Killewo, Prof, JZJ Epid/bios Associate Professor
56 Kilonzo, Prof. G.P. Psychiat Professor
57 Kinabo, Prof. N,N. Optnalmol Associate Professor
58 Kinasha, Dr. AD,A, O/Trauma Senior Lecturer
59 Kisanga, Dr. R.E, Surgery Senior Lecturer
60 Kisesa, Dr. A. Psychiat Senior Lecturer
61 Kiwara, Dr. A.D. IDS Senior Lecturer
62 Killewo, Dr. C.D.S. 0/Gynae Senior Lecturer
63 Kohi, Mrs T. W. Nursing Lecturer
64 Kokusiima, Mrs. C.I. Nursing Tutorial Assistant
65 Kongola, Prof. G.W.M. C/Pharm Associate Professor
66 Kwesigabo, Dr. G. Epid/bios Senior Lecturer
67 Lema, Prof. L.E.K. Surgery Professor
68 Lembariti, Prof B.S. Rest Dent Associate Professor
69 Leshabari, Mrs. S,C. Nursing Assistant Lecturer
70 Leshabari, Prof M.T. B/Science Associate Professor
71 Leyna, Dr. G. Epid/bios Tutorial Assistant
72 Luande, Dr. J. Radiology Lecturer
73 Lugazia, Dr. E.R. Anaesth Lecturer
74 Lugina, Dr. H.I. (Mrs) Nursing Lecturer
75 Lutale, Dr. J.J.K. Medicine Senior Lecturer
76 Lwakatare, Dr. J.M. Medicine Senior Lecturer
77 Lyamuya, Prof E.F. M/lmmunol Associate Professor
78 Lyimo, Dr. M.A. Haematol Lecturer
79 Lyimo, Dr. R.E. Radiology Lecturer
80 Mabelya, Prof L. Com/Dent Associate Professor
81 Mafwiri, Dr.M.M. Opthalmol Lecturer
82 Magadula, Mr. J.J. ITM Ass. Research Fellow
83 Maganda, Ms. Betty B/Science Tutorial Assistant
84 Magembe, Mr.C.R. Library Librarian
85 Magesa, Dr. P.M. Haematol Senior Lecturer
86 Mahunnah, Prof. R.L.A. ITM Associate Professor
87 Makani, Dr. J.B. Madicine Lecturer
88 Makubi, Dr. A. Haematology Tutorial Assistant
89 Makwaya, Mr. O.K. Epid/bios Lecturer
90 Malele, Dr. S.R. P'gnosy Senior Lecturer
91 Mamuya, Mr. S.H.D, Comm/Health Assistant Lecturer
92 Mandari, Dr. G.J. Rest Dent Lecturer
93 Manji, Prof K.P. Paediat Associate Professor
94 Manyanga, M/s ViCky Med/Chem Tutorial Assistant
95 Maregesi, Ms. S.M. P'gnosy Assistant Lecturer
96 Maro, Dr. E.E. Medicine Senior Lecturer
97 Masalu, Dr. Joyce RP Com/Dent Lecturer
98 Maselle, Prof. A.Y, C/Pharm Professor
99 Maselle, Prof. S.Y. M/lmmunol Professor
100 Masesa, Dr. D.E. Opthalmol Senior Lecturer
101 Mashalla, Prof. Y.J-S. Physiol Associate Professor
102 Massambu, Dr. C.G. Histopath Lecturer
103 Massawe, Dr A.W. Paediat Senior Lecturer
104 Massawe, Prof. S.N. O/Gynae Associate Professor
105 Matee, Prof. M.I. M/lmmunol Associate Professor
106 Matekere, Dr. N.J. Anaesth Senior Lecturer
107 Mathangi, Dr. D.C. (Mrs) Physiol Senior Lecturer
108 Matuja, Prof. W.B.M Medicine Associate Professor
109 Maunda, Dr. K.K.Y Radiology Lecturer
110 Mbanga, Dr. F.M.W, Anaesth Senior Lecturer
111 Mbonde, Dr. M, P, Histopath Senior Lecturer
112 Mboneko, Dr. V.F, A/histol Lecturer
113 Mbugi, Dr. E. Biochem Assistant Lecturer
114 Mbwambo, Dr. J.R. Psychiat Assistant Lecturer
115 Mbwambo, Dr. Z.H. ITM Senior Research Fellow
116 Mcharo, Dr. C.N. O/Trauma Lecturer
117 Mchembe, Dr. M.D.P.M. Rest Dent Lecturer
118 Mdee, Dr. L. K. ITM Research Fellow
119 Mgaya, Dr. EM. Histopath Senior Lecturer
120 Mgaya, Prof. H.N. 0/Gynae Professor
121 Mgaywa, Dr. G.M.D Biochem Tutorial Assistant
122 Mgonda, Dr. Y.M. Medicine Senior Lecturer
123 Mhalu, Prof. P.S. M/lmmunol Professor
124 Mhina, Dr. R.I. Surgery Senior Lecturer
125 Minja, Prof. B.M. Otorhinolaryngology Professor
126 Minzi, Mr.O.M-S. Med/Chem Assistant Lecturer
127 Mkony, Prof C.A. Surgery Associate Professor
128 Mlay, Mrs. R. S. Nursing Assistant Lecturer
129 Mligiliche, Dr. N. L- A/histol Lecturer
130 Mlimbila, Mrs, J.S. Epid/bios Tutorial Assistant
131 Mloka, Ms. D.A.S. P'Micro Tutorial Assistant
132 Mnyika, Dr. K.S. Epid/bios Senior Lecturer
133 Moshi, Dr. M. J. ITM Senior Research Fellow
134 Moshi, Dr. N.H. Otorhinolaryngology Senior Lecturer
135 Moshiro, Miss C.S. Epid/bios Assistant Lecturer
136 Moshy, Dr. J.R.L Comm/Dent Tutorial Assistant
137 Mpanda, Mrs. S.M. Nursing Lecturer
138 Mpembeni, Mrs.R.N.M Epid/bios Assistant Lecturer
139 Mroso, Mrs. EA. Nursing Tutorial Assistant
140 Mrumbi, Mr. K.M. Psychiat Assistant Lecturer
141 Msamanga, Prof. G.I. Comm/Health Associate Professor
142 Mselle, Dr. T.F.A- Biochem Assistant Lecturer
143 Mtabaji, Prof. J.P, Physio! Professor
144 Mtango, Dr. F.D. Epid/bios Senior Lecturer
145 Mtayama, Dr. M.T. Com/Dent Assistant Lecturer
146 Mtinangi, Dr. CM..L.T. Physiol Senior Lecturer
147 Mubi, Mrs. M.T. Comm/Health Senior Lecturer
148 MuganyizI, Dr. P.S. 0/Gynae Lecturer
149 Mugonzlbwa, Dr. E.A. Comm/Dent Assistant Lecturer
150 Muhondwa, Prof. E.P.Y. B/Science Senior Lecturer
151 Mujinja, Dr. P.O. B/Science Senior Lecturer
152 Munghamba, Dr. E.G.S. Rest Dent Senior Lecturer
153 Mung'ong'o, Dr. S.G.M. Med/Chem Lecturer
154 Munubhi, Dr. E.K. Paediat Senior Lecturer
155 Museru, Dr. L.M. O/Trauma Senior Lecturer
156 Mwafongo Prof. V.V. Anaesth Associate Professor
157 Mwakigonja, Dr. A. R, Histopath Lecturer
158 Mwakyoma, Dr. H.A. Histopath Senior Lecturer
159 Mwaluko, Mrs. B.D. Nursing Assistant Lecturer
160 Mwambete, Dr. KD P'Micro Lecturer
161 Mwangu, Dr. M.A. IDS Lecturer
162 Ndomba, Mrs. A.L.M. Nursing Assistant Lecturer
163 Ndonde, Dr. S. M.N. (Mrs) Nursing Lecturer
164 Ndosi, Prof.N.K. Psychiat Associate Professor
165 Ngassapa, Dr. O. P'Cognosy Senior Lecturer
166 Ngassapa, Prof. D.N. A/histol Professor
167 Ngoma, Dr. TA, Radiology Senior Lecturer
168 Nguma, Lucy M., Nursing Assistant Lecturer
168 Ng'walali, Dr. Paul M Histopath Lecturer
169 Ngwale, Dr. K.E.W. 0/Gynae Senior Lecturer
170 Ngwelna, Dr. F, Biochem Tutorial Assistant
171 Njelekela, Dr. M Physiology Lecturer
172 Nshimo, Dr. C.M. P'gnosy Senior Lecturer
173 Nsimba, Dr. S.E.D. C/Pharm Senior Lecturer
174 Ntogwisangu, Dr. J.H. Physiol Senior Lecturer
175 Nungu, Dr. K.S. O/Trauma Lecturer
176 Nyambo, Dr. T.B.N, Biochem Senior Lecturer
177 Nyamhanga, Mr. TM IDS Assistant Lecturer
178 Nyella, Mr. Edwin ICT Tutorial Assistant
179 Nyerere, Dr, J. W, Rest Dent Lecturer
180 Ole-Lengine, Dr. L. Otorhinolaryngology Senior Lecturer
181 Otieno, Mr. J. N. ITM Associate Research Fellow
182 Padhan, Dr. G.H, Opthalmol Lecturer
183 Pallangyo, Prof. K.J. Medicine Professor
184 Pembe, Dr. A.B. 0/Gynae Lecturer
185 Premji, Prof, Z.G. Paras/Ent Associate Professor
186 Rimoy, Dr. G,H, C/Pharm Senior Lecturer
187 Rongo, Mr. L.M.B, Comm/Health Lecturer
188 Runyoro, Mrs. D.K.B. P'gnosy Lecturer
189 Russa, Dr. D.A. A/histo! Assistant Lecturer
190 Rutayungulwa, Dr. J- Comm/Health Lecturer
191 Saidy, Mr. S. Library Librarian
192 Sangawe, Prof, J.L.F. Opthalmol Professor
193 Sangeda, Mr. R.Z. P'Micro Lecturer
194 Sanyiwa, A.J. Opthalmol Lecturer
195 Sarita, Dr. P.T.M. Rest Dent Lecturer
196 Sayi, Dr. E.N. Surgery Senior Lecturer
197 Sayi, Dr. J,G, C/Pharm Senior Lecturer
198 Semakafu, Miss. A.M.E. IDS Lecturer
199 Sequeira, Dr. B.M. 0/Gynae Lecturer
200 Shubi, Dr. F.M. Oral surg Lecturer
201 Simba, Dr. D.O. Comm/Health Lecturer
202 Simon, Dr. E.N Oral surg Assistant Lecturer
203 Sukums, Mr. Felix ICT Tutorial Assistant
204 Swai, Prof, A.BM Medicine Professor
205 Tarimo, Mrs. E. Nursing Tutorial Assistant
206 Temu, Prof. M.J- P'ceutics Associate Professor
207 Uiso, Mrs. S.C. ITM Senior Research Fellow
208 Urassa, Dr.D.N.P. Comm/Health Assistant Lecturer
208 Urassa, Dr.Willy K. Microbiology Senior Lecturer
209 Vuhahula, Dr. Edda A. Histopath Lecturer
210 Yongolo, Dr.S.M.A. 0/Trauma Senior Lecturer

Hebu angalia majina ya hao wakufunzi, uangalia majina ya yanayotambulika kuwa ni ya Kichagga na ya Kihaya ni mangapi? na uliza wale Wanyakyusa ambao hutumia majina ya Kiingereza?

Utaona Ukabila upo hata MUCHS! na hizi ni nafasi za ajira.
 
Back
Top Bottom