Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

MKandara.

alichoshindwa kuelewa Mwanakijiji. sijasema kuwa policy makers wa TRA kuna matatizo nimwambia kwenye watendaji toka mwanzo lakini naona anazidi ku copy na ku paste vitu kama bodi ya TRA kwa mwaka zinakutana mara mbili jee hawa ni watendaji? akimuuliza dr. chijoriga atakwambia niko busy chuo kikuu huko ndio kwenye kazi yake full-time yeye ni dean wa faculty ya commerce huko kuwa mwenyekiti wa bodi TRA si katika utendaji wake wa kila siku. naomba uelewe Mwanakijj tunachozungumzia wakadiriaji kodi na wapokeaji kodi huko ndio kwenye matatizo.

Suala la Kimbisa sijasema wakuja au vipi kilichofanya nimtaje ni kule wewe kusema kuwa kwa vile moshi kuna shule nyingi basi hata makalani wa TRA watatoka huko. nikakutajia shule zilizopo dar na vyuo vya juu nikasema kama mkoa kuwa na shule au vyuo ni kigezo cha wahusika kuendelea kielimu vipi Dar KWENYE kila kitu, lakini amekosekana hata mzaramu kuwa meya wa jiji lao?
 
Mzee mwanakijiji,
Bado kabisa sijakuelewa!..Na hii list ndio kabisaaa kwani hii ni TRA?

Nilikuuliza mwanzo kama unaweza kunipa picha ya mwajiri anayetumia kabila kama kigezo cha ajira!...Na matumizi ya kabila la mtu kutoa ajira hua inaitwa nini?..Umesema Undugunazation tumekubali basi tuangalie TRA kwa huo Undugunization.
Mwanakijiji, Kwa nini watu wanamsakama JK kwa utoaji wa ajira zake hali hatuna prove nje ya kuwa watu hawa wanajuana. Hivi kweli president anaweza kumteua mtu bila kumjua vizuri na kumjua kwake mtu fulani ni kosa la kumpa mtu huyo ajira?..
Ni mfululizo wa maswali kama haya ndio unaoyumbisha mada hii! na kusema kweli naanza hata kutoamini kama sisi wanabodi hatuzungumzi mambo kwa rangi zake. Utaona watu wakimpinga JK kwa sababu ambazo zinaweza kufanywa na kiongozi mwingine isiwe deal na wakatafuta sababu kumpamba. Kuna wale wanaopinga wachangiaji wa Chadema simply because hawa jamaa ni Chadema. CCM vile vile na kama kweli hatutaweza kutenganisha mchele na pumba itakuwa kazi kubwa.
Hapa kinachooendelea ni madai ya Mswahili kusema neno Mpunga, basi imekuwa kosa.
 
Mwanakjiji.

kwa ku copy na ku paste huwezi kujua kama Muhimbili university kuna ukabila hadi uulize wahusika. TRA menejimenti yenyewe imethibitisha sasa ku copy majina na kutuletea humu haisaidii. jana ume copy na kutuletea makabila bila uhusiano na mada. jibu mada si ku copy tu.
nakupa mfano mwepesi kabisa naona umekuwa mzito kuelewa.
wafuatao ni ndugu wa baba mmoja na mama mmoja.
1- asha rose migiro kwa ku copy na ku paste kwako utasema ni mnyamwezi.
2-Mwantumu Malale kwa kucopy kwako utasema msukuma.
3-Radhia Msuya kwa kucopy kwako na kupaste utasema ni mpare.
Namalizia TRA wenyewe wamekiri vipi wewe unabisha tu. na mmanda ni mchaga wewe si mchaga vipi.
 
Mswahili, wewe ukiona jina la mchagga kwenye hao wakadiriaji kodi na makarani unasema "Ukabila". Ninachojaribu kuonesha kukufuata mantiki zenu ni kuwa mahali popote pale ambapo waajiriwa wa ngazi za chini ni watu wa kabila moja basi kuna ukabila. Kama hilo ni kweli TRA sioni kwanini lisiwe kweli Muhimbili, Hazina, TACAIDS, n.k. Bado pia sijaelewa ni idadi ya watu wa ngapi wa kabila moja wanafanya mahali pawe na ukabila? Je ni vitengo vingapi vikiongozwa na watu wa kabila moja vinafanya idara hiyo iwe na ukabila?

Mkandara, maneno yana maana na hakuna kitu kinachoumiza watu kuliko silaha za mwili kama maneno! Wahutu na Watusi walianza kuuana kwa kutumia maneno ya "Mende"! Mtu mweusi analipuka kwa hasira akiitwa "Nigger", leo mmekubaliana kuwaita wachagga TRA kuwa ni Wakabila! Ukabila na maana yote inayohusiana na nembo hiyo si jambo dogo au la kupuuzia! Ukabila si Undugu. Watu wanaweza kuwaajiri kiujanja watu wanaojuana nao kuliko watu wanaotoka kabila moja!!! Ukitaka kumwua mbwa mpe jina baya!!

Ni nyinyi mnaosema TRA kuna tatizo la Ukabila, miye hata hapo sijakubali!! Nasema TRA na sehemu nyingine ukiona majina mengi ya Wachagga, Wahaya, Wanyakyusa kuna sababu! Hivi Chuo Kikuu kwanini kuna maprofesa wengi Wahaya? Kwanini Chuo Kikuu cha Muhimbili kuna wakufunzi wengi wachagga? Kama idadi peke yake ndio uwepo wa Ukabila, let us keep breaking the principle. If it is true TRA, is must be true at other offices!! Why pick TRA alone?

Tatizo la ajira Tanzania (siyo TRA peke yake) ni kujuana na undugu (nepotism na cronysm) na siyo Ukabila (tribalism). Tukikubaliana kuna tatizo la kufahamiana labda zaidi TRA hilo sawa, then we shouldn't stop with Wachagga peke yake wa TRA tuwaangalie na watu wengine wanaofanya kazi humo na wao wanafahamiana fahamiana vipi, walipata vipi nafasi zao n.k!! Anayetaka tuangalie Wachagga peke yake ana sababu zake!!! Kwa mifano aliyoitoa Mswahili mwenyewe naona tatizo ni watu kufahamiana na kujuana zaidi kuliko kuwa watu wa Kabila moja.

Hivi, watu kupeana ajira kwa kujuana na kufahamiana ni jambo ambalo tunaweza kulivumilia kuliko watu wa kabila moja ambao hawafahamina au hawakufahamiana kabla ya kukutana kwenye idara moja?
 
mswahili wrote:
1- asha rose migiro kwa ku copy na ku paste kwako utasema ni mnyamwezi.
2-Mwantumu Malale kwa kucopy kwako utasema msukuma.
3-Radhia Msuya kwa kucopy kwako na kupaste utasema ni mpare

bwana mswahili,
CHUKI yako na wenyeji wa mkoa wa kilimanjaro inakufanya ufiche ukweli kwamba hao kinamama hapo juu ni wapare!! unasubiri wachaga/wapare wawe na kashfa ndiyo uanze kuwasimanga na kuwataja kwa makabila yao hapa JF.
 
Mwanakijiji.

kwa hoja hizo wewe ni zaidi ya mmanda aliyehuko TRA na ni mchaga.inaonekana hata USA ulifika mwanzo kwa kutumia google na hata kuwaelekeza wenyeji wako. suala la TRA lilifika bungeni na kwenye vyombo vingi tu vya habari. ulikuwa wapi kuwasaidia bungeni?

muhimbili hajafikishwa bungeni na hatutumii ushahidi wako wa ku copy na ku paste majina ya ukoo ya mtu kusema kuwa mtu huyu ni kabila fulani.kwa utaratibu wako mama ANNA MKAPA atakuwa ni mmakonde, salma Kikwete ni mkwere, REgina Lowassa mmasai.

umeshinda!! Tanzania hakuna ukabila na TRA kuko safi tu.
 
wanabodi nimemaliza kuipitia list ndefu ya wafanyakazi wa TRA wapatao 1,000...ninachoweza kusema MSWAHILI ni mzushi mkubwa ,sijaona ukabila wowote katika hizo kada anazosema mswahili..kama ni wachagga,wahya na wanyakyusa labda kidogo kwenye senior position pale makao makuu...ambao tena wengi ni wa uteuzi..i wish hii copy ingekuwa electronic ,hata hivyo kama unataka distribution ya kituo chochote bara na visiwani ,niulize....

nimepitia list za idara zifuaTazo,EXAMINATION OFFICERS,CUSTOM OFFICERS,PREVENTIVE OFFICERS,CUSTOM GUARDS,MESSENGERS,DRIVERS,...
KWA mfano wafuatao ni customs staffs pale NAMANGA,..
1.ALLY ABDALAH
2.SHABAAN NASSOR
3.P.P KULWA
4.MBAROUK K.
5.PATRIC NYAMWILAHILO
6.STANLEY MBAZIMTIMA
7.VICK AMBWENE
8.WAHIDA ALMAS
9.CHRISTOPHER L.
9.MUGALLA DAUDI
10.MAGRETH MAIMU.
11.MZAVA BENNO
12.YASINTA MBAGA
13.ABDHUSSEIN KUBUVA
14.HAIWAICHI TEMU
15.HENRY MAHEMBE

Nimejaribu pia kufuatilia kama kuna watu ambao majina yao yanafanana na majina ya juu ya watu kama lauwo na luoga ,..nikakuta wawili ambao wapo dar es salaam ...long room/warf mmoja wao anaitwa humphrey ,lakini kufanana kwa majina ya ubini si lazima wawe ndugu wa damu inawezekana ni kabila moja...na kila mtu anaweza kua ameingia kwa muda wake....

sasa angalia list ya EXAMINATION OFFICERS waliopo dar uangalie mwenyewe kama kweli kuna harufu ya ukabila....hoja yangu hapo ni kuwa hata kama watu wamesaidiana humo si ukabila bali tukubaliane ni URAFIKI/KUJUANA ets

hawa ni wa kituo cha dar[wharf/long room/DIA]
1 BENS MWENDA
2.MOHAMED NGAIRI.
3.THOMAS KOKO
4.SALIM NAPUNDAR
5.HERMES KUWETA
6.HEAVEN MINJA
7.SEKELA MWASAMBUNGU
8.ANNA RAGWITABA
9.KOMBO L.
10GLAD NYANGE
11.MPANGILE L.
12.EDANA ROBERT
13.ANDREW Y.
14.LAUWO...
15.A.RWEYENDERA
16.M.MSANGI
17.M.NYAMANGA
18.KALUMUNA N.
19.NSHEMIYE K.
20. MAJI F.
21.NYAMANGA M.
22.MAKUNDI L.
23.JUMA K.
24.ZAINABU B.
25.NGANDAKU B
26.AZIZI S.
 
PM/MKJJ/jokaKuu

Nani ni mzushi MManda au Mswahili? Mmanda alisema kuna ukabila wewe unabisha wakati hufanyi huko, ina maana wewe mwenyewe binafsi ni Mkabila ndio sababu unatetea namna hii.

Mmanda atetea wingi wa Wachagga TRA

Written by Charles Mullinda
Friday, 21 July 2006

*Asema walipata elimu mapema

HATIMAYE Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa tamko dhidi ya madai ya kuwapo ukabila katika mamlaka hiyo...............................

Nenda hapa ukurasa wa 6 http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=1867&page=6

Unataka sisi tukuamini wewe.
 
INAENDELEA...
27.ISSA BAGAMBO
28.ALY MSAMYA
29.KINEMO D
30.MAKENE T
31.P.GODANYA
32.JANE MZZUGUMI
33.J SALALA
34.MAKOPELE B
35.H SEMBUA
36.MWELA M
37.WAZIRI M.
38.MSEMWA A
39.SUED F.
40.LUOGA...
41.SAID A.
42.LUSAJO L
43.J MINJA
44.J NYOMOLEWE
45.MASOUD A
ets ,ets ets but this is almost the ratio i see everywhere ....

i rule out that mswahili et al ...claims are baseless,fictious,tribal.separatism, religious and whatsoever irking you may choose to call they lack everypoint of sense as to presumed called NONSENSE accusation,..dangerous and detrimous to the wellbeing of our natio....the accusation like this if they are let to be continously repeatedly with corrupt minded people like the one we are just witnessing may lead to massacre and we have any reason to stop this kind of accusatio from prevailing ..........
 
PM

Mbona humlaumu MManda ambaye anaweza kuwa ni mchaga mwenzio. Jamani issue iwe jinsi ya kuuondoa huu ukabila ambao upo ingawa wengine mnapenda tutumie undugunisation. Kama tumefika hapa ni lazima tufahamu kwamba tatizo lipo na linahitaji kutafutiwa dawa.
 
dua soma makala yangu vizuri MMANDA alikua anongelea wale seniors wa makao makuu ,ambao hata mimi sijakataa kuna hao mnaosema....yeye mswahili alikuwa anauliza kama anaowataka hawamo hata kwenye u exanination,customs officers ,...ndio nimejibu hilo...hilo la viongozi wa juu sijakataa na sina details....

hapa nina majina 1,000 ya kada za kati nchi nzima anazolalamikia na sijaona TATIZO...kwanza wanajitahidi sana ku balance ,sasa kama hata details zinapingwa,basi!
 
mswahili wrote:
1- asha rose migiro kwa ku copy na ku paste kwako utasema ni mnyamwezi.
2-Mwantumu Malale kwa kucopy kwako utasema msukuma.
3-Radhia Msuya kwa kucopy kwako na kupaste utasema ni mpare

jokaKuu wrote:
bwana mswahili,
CHUKI yako na wenyeji wa mkoa wa kilimanjaro inakufanya ufiche ukweli kwamba hao kinamama hapo juu ni wapare!! unasubiri wachaga/wapare wawe na kashfa ndiyo uanze kuwasimanga na kuwataja kwa makabila yao hapa JF.

mswahili wrote:
Joka kuu.
mie najua wandengereko watoto wa binti Shamte.

mswahili,
wacha chuki ndugu yangu. kiri kwamba ulikosea. kuwapachika undengereko watoto wa mzee mtengeti na binti shamte ni kutukana watu wazima.
 
point of information sir! mimi sio mchaga wala chadema...ila HAPA NAONA mnapotosha ukweli ndio maana nakerwa...mbona hujafikiri mimi MSUKUMA au MGOGO....???
 
PM

Sasa kama unakubali hilo lets move on na kutafuta solutions kuliko kuwekeana majadiliano ambayo yatakuwa hayana faida, kwani nia ya wote ni kutafuta maendeleo kwa Watanzania wote. Mimi vilevile nilikuwa na mawazo tofauti lakini kwenye ukweli na uwazi namna hii ni lazima ukubali.

Tutafute jinsi ya kuliondoa hili tatizo, natumaini wengi wanasoma haya wanaweza kuchangia jinsi ya kuondokana na huu ukabila ambao umejitokeza kwenye JIKO letu pale TRA na pengine popote.
 
DUA nimesema bado sijakubali kwanza nafurahi umekubaliana namimi kuwa kwenye ngazi za kati hakuna ukabila...list ninayo hapa ,ofisi yoyote ya tra ambayo unahisi kuna ukabila hapa au mikoani niulize nitakutumia utathmini mwenyewe...
sasa ukitaka nikubali kuwa ratio ya hao mnaosema kweye ngazi za juu TRA ipo ...basi na wewe[nyie] nipeni list ya mameneja na waurugenzi wa idara hapo makao makuu .ili tuonene distributin...from there we will discuss way forward.
 
Dua,
data alizoleta PM zinaonyesha picha tofauti na ile mliyokuwa mkituonyesha wewe, mswahili, na mkandara. kulingana na listi ya PM ukabila haupo ktk ngazi za kati TRA.

kilichobaki ni kuangalia immediate level below President's appointees. pamoja na hayo, listi ya PM inaonyesha tatizo hilo litaondoka lenyewe baada hawa watumishi wa ngazi za kati kupata uzoefu na kupanda ngazi za kiutawala.
 
Jokakuu,
Madai ya PM ni kwamba kapitia majina 1000 hadi hapa katupa majina 45 kwa hiyo siwezi kutoa uamuzi wangu na pili itabidi sote tufahamu idadi kamili ya waajiriwa wa TRA.
nafurahi kuwa huu umekuwa mwanzo wa kulitazama swala hili kwa sura tofauti isiyokuwa na ubishi.
 
phillemon mikael.
Mimi najua kuwa wewe ni mchaga na nigogo mkubwa wa chadema.
Leo hatulali mpaka kieleweke.
 
Back
Top Bottom