Ukabila ndio umembeba Kenyatta, si sera!

Ukabila ndio umembeba Kenyatta, si sera!

Aisee kama ni kweli hapatakalika kabisa labda warudie uchaguzi!

Rail hawezi kukubali kabisa!
 
Please Arushaone can u verify this infor since you are camped at Bomas???
 
Muache huyu msomali akachezee wakenya afikiri yuko Lumumba, watamfanya hamna
 
Ee MUNGU fufua kazi yako katikati ya Miaka .TANGAZA UKUU WAKO BY ..NABII HABAKUKI.

HAKI HUINUA TAIFA BALI DHAMBI NI AIBU YA WATU WOTE.
 
mkuu that link doesnt tell anything..believe what i told you

nyabhingi nilikuwa namuita Manager aje kuweka kumbukumbu zake sawa kwenye issue ya uchakachuaji wa Bush Mtoto alipogombea na Al Gore.
Umenisoma?
 
Iyo constant gape inanitia wasi wasi inaweza kuwa kweli!
Amani amani wakenya pls
 
Wafuas wa Odinga lazima walianzishe.,tarajieni wakimbizi..Kinana lazima apigwe na kitu cha ncha kali hahahaaaaaa
 
jamani uraisi mtamu nyie binadamu!bila aibu wanapika matokeo mwe!
 
Nimeongea na Jamaa yangu hapo Nairobi anasema hii story ndo gumzo la jiji kwa sasa,kuna ukweli kwa hili.
 
Back
Top Bottom