Ukabila ndio umembeba Kenyatta, si sera!

Kuna kila indication kuwa tutashuhudia huko KE mama wa vurugu za 2007!

Unprecedented unrest kupita zile za Rwanda / Burundi!!!
 
Raila anaongoza baada ya kura kurudiwa kuhesabu,
ktk majimbo 6 ana kura elfu 90 +
na uhuru ana kura elfu 40+
source:radio dwechivele muda huu
 
Nilikuwa najiuliza sana, mbona difference ya kura laki 6 haipungui wala kuongezeka tangia jana mchana?

Kumbe Kinana yupo kule Nairobery.

Kisha leo naona matokeo kwenye NTV yanapanda na kushuka, Kenyatta yanapanda na kushuka kweney 2,880,000 wakati Raila 2,220,000.

Ila jana Kalonzo Musyoka aliongea kwa kujiamini sana, kuwa watu wabaki wametulia, wana uhakika wa ushindi. Hii ilileta matumaini kwa wafuasi wa Raila.
 
hili suala lilishatokeaga katika uchaguzi uliopita..katika kura ya maoni kwani vote ziligeuzwa kwa mgombea mwingine...
(hackers kazini)
 
Mambo si mambo naishi kule nahisi kama sitarudi tena
 
SWALI LANGU KWA BAADHI YA WANA-JF MABINGWA WA 'TUPE SOURCE' HIVI LEO MNASEMAJE JUU YA TAARIFA ZANGU HAPO JANA KUHUSU KUFICHULIWA KWA UCHAKACHUZI WA KURA NCHINI KENYA?????????

Taarifa hii nilipoileta hapa jana, dakika 10 tu mara baada ya kupatikana nyuma ya pazia na nikaziita humu kama 'CREAM INFORMATION kwa ajili ya JF Members tu'.

Naam, nilienda mbali kidogo kwa kujibu washutumu wangu humu kwamba taarifa hizi ni ukweli na ukweli mtupu na kwamba Source waliokua wakihoji sana ni mimi mwenyewe (UWEZO TUNAO), lakini pamoja na hayo yote wengi humu bado tu waliendelea tu kuonyesha kubeza kila kitu humu na kuanza kushambulia mkarimia taarifa pamoja na CHADEMA yangu lakini leo sasa watu tunashuhudia kitu gani vile ...????

Jamani wana-JF wenzangu, chonde kidogo tuache hizi tabia kama vile 'unaambiwa tuseme na Mbongo mwenzetu kwamba mwenzetu Ulimboka katekwa na kutoweka kusikojulikana' lakini kwa hulka ya kujidharau sisi wenyewe eti kamwe hutokaa uamini kitu mpaka taarifa hiyo toka nchini Tanzania kuhusu Mtanzania mwenzetu kama ambavyo ulivyopata kuambiwa na Mtanzania mwenzako eti mpaka ikatangazwe na vyombo vya kimataifa ndipo upate kuamini kitu hapo.

Mkuu 'Lukolo', mbaya sana hivyo wakubwa ... hebu kidogo tujiulize ni kwa nini taarifa zile zilizobandikwa kwenye vyombo mbali mbali vya habari leo hii vimepigwa chini yote na Tume ya Uchaguzi wa nchini humo???

Mweee ndugu zangu, katu tusiwe wepesi sana wa kukimbilia kutukana, kukebehi na kukejeli tena mtu mwingine kama mimi hapo jana kwa siku nyingine hapa jamvini
.






Haaah, haaaaah, mwaga sera reporter wetu. Kwa hiyo habari hazijawafikia wananchi?ni wananchi wa makaburini au hawahawa walio hai




Mfa maji haishi kutapatapa, hizi ni kauli za mshindwaji. Ni mbaazi akikosa maua. Hii inatokana na hoja tu ya kwamba, kwenye server kama ma engineer wamebadili data huyo mkurugenzi kazitowa wapi data halisi na kuzichapa kwa hard copy.

Source????
Hii mahali pake ni kwenye jukwaa la Shigongo until proven otherwise......

 
Mkuu, ndio sababu sikuoni viwanja! Huyo KM kaingia choo cha kike!

.
Ha ha haa! Mkuu nimekuwa nikibanwa kiasi kwa siku hizi chache ila siachi kuchungulia jamvini. Naona kazi ya uinjilishaji kwenye jukwaa letu mnaimudu baraa bara.
.
 

I dont think so. Conspiracy theories zimeshaanza. Mlitaka ashinde Laira? Akishinda Kenyatta system imekuwa hacked!!! watu wengine bana!!
 
Tanzania tunatisha sanaaa !

Matokeo ya Musoma (thousands miles away )yalipatikana mapema sana Dar es salaam makao makuu, kuliko ya Tabata segerea (just few miles) away..

Hiyo ndo maana halisi ya Bongoland.
 
Kenya wako juu sana kwenye IT sisi Tanzania tunaringia uchawi
 
Mkuu Rev Masanilo hadi hapo kidogo naomba nitofautiane na wewe juu ya madai ya kuzidiwa kwetu ubingwa kwenye IT, laa hasha!!!

Naam, nadiriki kukugomea katika madai yako hayo kwani kwa mujibu wa taarifa za nyuma ya pazia ni wataalam wetu wa hapa hapa nyumbani ndio walioongoza safu juu ya hili nchini Kenya lakini hawakujua kwamba kila kitu kilikua kikinaswa mawinguni na wale MA-BABU ZAO DUNIANI katika michepuo kama haya.

Habari ndio hiyo; wale mabingwa wa kupinga kila kitu karibuni tena kama hamtoona orodha zima mahala katika muda mwafaka.

Kenya wako juu sana kwenye IT sisi Tanzania tunaringia uchawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…