Ukabila ndio umembeba Kenyatta, si sera!

Ukabila ndio umembeba Kenyatta, si sera!

Kuna kila indication kuwa tutashuhudia huko KE mama wa vurugu za 2007!

Unprecedented unrest kupita zile za Rwanda / Burundi!!!
 
Raila anaongoza baada ya kura kurudiwa kuhesabu,
ktk majimbo 6 ana kura elfu 90 +
na uhuru ana kura elfu 40+
source:radio dwechivele muda huu
 
Nilikuwa najiuliza sana, mbona difference ya kura laki 6 haipungui wala kuongezeka tangia jana mchana?

Kumbe Kinana yupo kule Nairobery.

Kisha leo naona matokeo kwenye NTV yanapanda na kushuka, Kenyatta yanapanda na kushuka kweney 2,880,000 wakati Raila 2,220,000.

Ila jana Kalonzo Musyoka aliongea kwa kujiamini sana, kuwa watu wabaki wametulia, wana uhakika wa ushindi. Hii ilileta matumaini kwa wafuasi wa Raila.
 
hili suala lilishatokeaga katika uchaguzi uliopita..katika kura ya maoni kwani vote ziligeuzwa kwa mgombea mwingine...
(hackers kazini)
 
Mambo si mambo naishi kule nahisi kama sitarudi tena
 
SWALI LANGU KWA BAADHI YA WANA-JF MABINGWA WA 'TUPE SOURCE' HIVI LEO MNASEMAJE JUU YA TAARIFA ZANGU HAPO JANA KUHUSU KUFICHULIWA KWA UCHAKACHUZI WA KURA NCHINI KENYA?????????

Taarifa hii nilipoileta hapa jana, dakika 10 tu mara baada ya kupatikana nyuma ya pazia na nikaziita humu kama 'CREAM INFORMATION kwa ajili ya JF Members tu'.

Naam, nilienda mbali kidogo kwa kujibu washutumu wangu humu kwamba taarifa hizi ni ukweli na ukweli mtupu na kwamba Source waliokua wakihoji sana ni mimi mwenyewe (UWEZO TUNAO), lakini pamoja na hayo yote wengi humu bado tu waliendelea tu kuonyesha kubeza kila kitu humu na kuanza kushambulia mkarimia taarifa pamoja na CHADEMA yangu lakini leo sasa watu tunashuhudia kitu gani vile ...????

Jamani wana-JF wenzangu, chonde kidogo tuache hizi tabia kama vile 'unaambiwa tuseme na Mbongo mwenzetu kwamba mwenzetu Ulimboka katekwa na kutoweka kusikojulikana' lakini kwa hulka ya kujidharau sisi wenyewe eti kamwe hutokaa uamini kitu mpaka taarifa hiyo toka nchini Tanzania kuhusu Mtanzania mwenzetu kama ambavyo ulivyopata kuambiwa na Mtanzania mwenzako eti mpaka ikatangazwe na vyombo vya kimataifa ndipo upate kuamini kitu hapo.

Mkuu 'Lukolo', mbaya sana hivyo wakubwa ... hebu kidogo tujiulize ni kwa nini taarifa zile zilizobandikwa kwenye vyombo mbali mbali vya habari leo hii vimepigwa chini yote na Tume ya Uchaguzi wa nchini humo???

Mweee ndugu zangu, katu tusiwe wepesi sana wa kukimbilia kutukana, kukebehi na kukejeli tena mtu mwingine kama mimi hapo jana kwa siku nyingine hapa jamvini
.



KUFICHULIWA KWA SIRI KUBWA ZA UCHAKACHUAJI WA MATOKEO YA
UCHAGUZI MKUU NCHINI KENYA YASABABISHA MATOKEO YOTE
YA URAIS KUSITISHWA MARA MOJA KUTANGAZWA


Matangazo ya kura za urais nchini Kenya zasitishwa ghaflla mpaka hapo kesho tangu KUFUJA KWA UCHAKACHUAJI MKUBWA wa matokeo na Injinia asiye mwaminifu pale makao makuu ya kampuni ya simu nchini humo SafariCom.

Kila mahali hadi hivi sasa ni watu kuchanganyikiwa hasa katika kundi lililokua likipendelewa na hayo matokeo ya kuchonga. Pamoja na yote, watu wengi wameonyesha kushangazwa sana na matamshi ya Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Kinana, kule kukimbilia kwake kuhimiza vyama vikubali matokeo ilhali akifahamu kashfa hii nzito tayari imesababisha tume kushitisha matangazo zaidi ya matokeo.

Sote tuendelee kuwaombea majirani zetu kamwe wasisukumwe tena kwenye vitendo vya umwagaji damu kwani Mwenyekiti wa Tume ameweka wazi kwamba kamwe hatoendelea tena kuyatumea matokeo toka SafariCom.

Naam, kwa taarifa zaidi hatua hiyo ya tume imeelezewa kufikiwa kufuatia kwa kujulishwa kwao kutokea kuchezewa kwa kiasi kikubwa hivyo kaahidi kutangaza matokeo rasmi hapo kesho moja kwa moja toka kwenye makaratasi toka mashinani
.

CHAIN OF CRISIS MEETINGS AFTER SAFARICOM ENGINEER 'DOCTORING'
2013 ELECTION RESULTS IS EXPOSED AT LAST


The whole SECRET IS OUT with regard to a THORN IN DOCTORING eletoral results in Kenya's 2013 Elections.

The SafariCom Chief Executive Director has released a MOST DAMNING SECRET on how one of his company's Engineers had been busy changing the election results send to the electoral body via SafariCom.

The Engineer who has been maliciously busy changing grassroots election results in favour of 'one of our own' had lately sparked suspicion and skepticism in his boss and the entire unsuspecting public following his deliberate move to re-programme a gap between the leading lights in that country's political scene as well as the pace at which he divulges the altered statistics to the National Panel at the Bomas of Kenya.

If it were not Safaricom top leadership's ethical wish to see the results from the grassroots reach Bomas of Kenya without any re-engineering, perhaps another lase of countrywide disharmony would have exploded t this displeasure.

The CEO is reported raised 'very serious concerns' on on the fact that provisional election results are grossly different from what his company has so far received from various grassroot poll centres in the country.

To this end, many surprises are on the way yet to be witnessed. Mind you, this is a cream piece of information only shared with JF members.

Two People have been arrested in regard to Hacking of IEBC

Sources indicate that the I.E.B.C realized that their system had been hacked into. The programmer was given instruction to input a permanent difference between UHURU and RAILA with more than 400,000 votes.

It had been realized that it could not be changed under any circumstances (after being programmed), unless they posted the data a fresh. 2 guys have been arrested, while 2 others are on the run.

There is a lot of scrutiny at BOMAS and people are on high alert. Any form of inaccurate tally is put aside and INDIVIDUALS involved personally HELD RESPONSIBLE

Having detected this at around 3pm yesterday, the Commission had no option but to fully go manual. It would have been worse had it not been detected.

The figures are already changing. Poll results the main TVs are showing is old data.

Haaah, haaaaah, mwaga sera reporter wetu. Kwa hiyo habari hazijawafikia wananchi?ni wananchi wa makaburini au hawahawa walio hai

Tupe source mkuu, hizi story za namna hii kila anayeshindwa anaweza kuzitengeneza ili kupata huruma ya jamii.

Please, kwa maslahi ya wakenya na kwa ustawi wa wakenya acheni kueneza uvumi wa aina hii, ambao utasababisha hasira zisizo za lazima na kupelekea kuuana kama kwa mwaka 2007.

Tafadhari kama hakuna reliable source, tusiendelee kuweka kwenye mitandao habari hizi.

Mkuu LUKOLO,
Ni kweli kabisa maana JamiiForums yetu ni ya viwango na hivyo ''Vyanzo/source'' ya habari inatokea wapi ni muhimu.

Maana mitandao ya kijamii Kenya mingi wakati huu wa uchanguzi wa 2013 Kenya imefungiwa kwa kukosa viwango vyetu vya JamiiForums ya Tanzania.

Hivyo inawezekana jamaa zetu waKenya wamekosa mahali pa kupandikiza taarifa zisizo sahii kupitia JamiiForums.

Uwezo Tunao, hutoshi kuwa source, vinginevyo utuambie kwamba wewe ni mfanyakazi wa safari com au ni mmoja kati ya wajumbe wa tume ya uchaguzi. Sawa inawezekana kumetokea matatizo katika mtandao na kusababisha matokeo kuchelewa, lakini huu uvumi usienezwe ilihali hakuna uthibitisho. Mtasababisha maafa, hebu wahurumieni wanawake, wazee na watoto watakaopoteza maisha bila hatia.

Mfa maji haishi kutapatapa, hizi ni kauli za mshindwaji. Ni mbaazi akikosa maua. Hii inatokana na hoja tu ya kwamba, kwenye server kama ma engineer wamebadili data huyo mkurugenzi kazitowa wapi data halisi na kuzichapa kwa hard copy.

Source????
Hii mahali pake ni kwenye jukwaa la Shigongo until proven otherwise......

Kwa wafuatiliaji wa uchaguzi wa 2007 huyu Raila ndiye wa Kwanza kuwaruhusu wafuasi wake waingie mitaani. Leo hii ameanza tena, wafuasi wake wameanza chokochoko mapema kuweka mabandiko kwenye mitandao ya kijamii wakiwaandaa wafuasi kisaikolojia kuwa wanaweza kuonewa. YETU MACHO ILA DUNIA ITAMJUA SOON.
 
Mkuu, ndio sababu sikuoni viwanja! Huyo KM kaingia choo cha kike!

.
Ha ha haa! Mkuu nimekuwa nikibanwa kiasi kwa siku hizi chache ila siachi kuchungulia jamvini. Naona kazi ya uinjilishaji kwenye jukwaa letu mnaimudu baraa bara.
.
 
Two People have been arrested in regard to Hacking of IEBC

Sources indicate that the I.E.B.C realized that their system had been hacked into. The programmer was given instruction to input a permanent difference between UHURU and RAILA with more than 400,000 votes.

It had been realized that it could not be changed under any circumstances (after being programmed), unless they posted the data a fresh. 2 guys have been arrested, while 2 others are on the run.

There is a lot of scrutiny at BOMAS and people are on high alert. Any form of inaccurate tally is put aside and INDIVIDUALS involved personally HELD RESPONSIBLE

Having detected this at around 3pm yesterday, the Commission had no option but to fully go manual. It would have been worse had it not been detected.

The figures are already changing. Poll results the main TVs are showing is old data.

I dont think so. Conspiracy theories zimeshaanza. Mlitaka ashinde Laira? Akishinda Kenyatta system imekuwa hacked!!! watu wengine bana!!
 
Tanzania tunatisha sanaaa !

Matokeo ya Musoma (thousands miles away )yalipatikana mapema sana Dar es salaam makao makuu, kuliko ya Tabata segerea (just few miles) away..

Hiyo ndo maana halisi ya Bongoland.
 
Kenya wako juu sana kwenye IT sisi Tanzania tunaringia uchawi
 
Mkuu Rev Masanilo hadi hapo kidogo naomba nitofautiane na wewe juu ya madai ya kuzidiwa kwetu ubingwa kwenye IT, laa hasha!!!

Naam, nadiriki kukugomea katika madai yako hayo kwani kwa mujibu wa taarifa za nyuma ya pazia ni wataalam wetu wa hapa hapa nyumbani ndio walioongoza safu juu ya hili nchini Kenya lakini hawakujua kwamba kila kitu kilikua kikinaswa mawinguni na wale MA-BABU ZAO DUNIANI katika michepuo kama haya.

Habari ndio hiyo; wale mabingwa wa kupinga kila kitu karibuni tena kama hamtoona orodha zima mahala katika muda mwafaka.

Kenya wako juu sana kwenye IT sisi Tanzania tunaringia uchawi
 
Back
Top Bottom