Soon you will come to eat your words. Raila is now leading. Kura za Kenyatta zimeyeyukaChadema at work!
Wamempelekea Odinga msaada lakini ndio hivyo tena lakuvunda...
Kabisa.hv uyu katibu wa cccm kaenda kujifunza nn huko kenya kuna kitu hapa ......
This can only happen in Africa
Kabisa.
there is no point aende kenya kwa sasa given nafasi yake hapa nchini.
Kuchakachua yaweza kuwa moja, pia mbinu ipi bora waweze kopi na kui-adapt kwa mazingira ya tanzania come 2015 ndo agenda kubwa.
Chadema at work!
Wamempelekea Odinga msaada lakini ndio hivyo tena lakuvunda...
siasa za kenya huwezi kabisa linganisha na tanzania.Chadema at work!
Wamempelekea Odinga msaada lakini ndio hivyo tena lakuvunda...
Tusisahau kwamba katibu mkuu wa ccm yupo Kenya
.
Yameanza kubadilika ghafla kivipi?
This can only happen in Africa
kwani wewe mamlaka ya kumuuliza umepewa na nani?Unayasema haya kwa mamlaka ya nani?
Mshabihiano upo ndugu Sigma. Hapa Tanzania we are fighting against the Status Quo (and of course,this is what is killing our country) under CCM. Likewise for Kenyans, the CORD is against the Kikuyu Status Quo..! So to say, CCM = KIKUYU (wanadhani wanahaki miliki ya kutawala,ikibidi kufanya umafioso ,siasa za kenya huwezi kabisa linganisha na tanzania.
rivalry zilizoko kule zina sura nyingi sana ambazo hapa bongo hakuna mfanano
Huwezi sema Chadema wako pro-Odinga au Pro Uhuru
Likewise ni ngumu kusema CCM ni pro-Raila au pro-Kenyatta..
Chama cha upinzani ni kipi?
Cha Raila?
Cha Kenyatta?
Cha Kibaki?
Nimesikitika sana bana na hii Taarifa, Asante CDM tumepata fundisho hapa
seuze kenya,ha! ha! ha! Kiswahili bwana!