Ukabila ndio umembeba Kenyatta, si sera!

Ukabila ndio umembeba Kenyatta, si sera!

hv uyu katibu wa cccm kaenda kujifunza nn huko kenya kuna kitu hapa ......
Kabisa.
there is no point aende kenya kwa sasa given nafasi yake hapa nchini.
Kuchakachua yaweza kuwa moja, pia mbinu ipi bora waweze kopi na kui-adapt kwa mazingira ya tanzania come 2015 ndo agenda kubwa.
 
Kundi kubwa tu la cdm lilikuwa kenya kampeni za odinga, inamaana walienda kufanya kilichompeleka hy katibu? Lets jus be honest, wao walienda cc tulienda
 
I predict the counting process will go AD INFINITUM
 
Chadema at work!

Wamempelekea Odinga msaada lakini ndio hivyo tena lakuvunda...
siasa za kenya huwezi kabisa linganisha na tanzania.
rivalry zilizoko kule zina sura nyingi sana ambazo hapa bongo hakuna mfanano
Huwezi sema Chadema wako pro-Odinga au Pro Uhuru
Likewise ni ngumu kusema CCM ni pro-Raila au pro-Kenyatta..
Chama cha upinzani ni kipi?
Cha Raila?
Cha Kenyatta?
Cha Kibaki?
 
Wachakajuaji inawezekana walikuwa na shule nzuri ya IT lakini hesabu zinawapiga ngwara, kwani kulikuwa na namba zilizo jirudia rudia sana na tofauti ilikuwa haina kabisa mathematical logic ambayo kilaza yoyote wa maths akifikiri kidogo tu aweza wastukia.
 
Nimesikitika sana bana na hii Taarifa, Asante CDM tumepata fundisho hapa
 
siasa za kenya huwezi kabisa linganisha na tanzania.
rivalry zilizoko kule zina sura nyingi sana ambazo hapa bongo hakuna mfanano
Huwezi sema Chadema wako pro-Odinga au Pro Uhuru
Likewise ni ngumu kusema CCM ni pro-Raila au pro-Kenyatta..
Chama cha upinzani ni kipi?
Cha Raila?
Cha Kenyatta?
Cha Kibaki?
Mshabihiano upo ndugu Sigma. Hapa Tanzania we are fighting against the Status Quo (and of course,this is what is killing our country) under CCM. Likewise for Kenyans, the CORD is against the Kikuyu Status Quo..! So to say, CCM = KIKUYU (wanadhani wanahaki miliki ya kutawala,ikibidi kufanya umafioso ,
CDM = CORD, Fighting for change.!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom