Hakuna mshindi, uchaguzi unarudiwa. Kumbuka Uhuru amepata 49.5% na Raila amepata 44.5%. Hakuna aliyepata 50%+1vote kama katiba inavyosema. Ngoma bado.
Baadae nitakutafuta unipe overall results zako, usikimbieAcha upotoshaji wa ki-TZ wewe!!
Kuna constituencies kama 60 hivi hazijaleta matokeo na kati ya hizo kwenye ngome ya UhuRuto kuna kama 31 hivi achilia mbali zile kura anazookotaokota kwenye ngome ya Jaluo. Tusihitimise kamba uchaguzi unarudiwa huu, bado sana mpaka dakika 90 ziishe hiyo ni kama Liverpool mkuu (usijiaminishe tumeshinda huku bado kuna dk 5) utapigwa goli wewe!!! Oooooh!!
SIRI YA USHINDI WA UHURUKENYATTA, MSHINDI WA UCHAGUZI WA URAISKENYA 2013
1. Ukubwa wakabila lake ambalo linaundwa zaidi ya asilimia 30 ya wakenya wote.
a. Kiambu amepata kura 442,042
b. Muranga kura264, 758
c. Nakuru 232,805
d. Kericho190,287
Hii ni idadi kubwa kabisaya kura ambazo zinazidi maeneo yote yenye ushawishi kwa Raila
2. Kuungana naRuto
Tena wamwache Uhuru, mie nashangaa watu wameng'ang'ana na mambo yasomsingi...hivi mtu kama naona ana faa na kwa kuwa ni kabila langu nisimchague maana ntaitwa mkabila?Wewe ni m-TZ?
Mbona nyie mlimwamini Kikwete katika umri huo? Acheni wivu wakuu, mwache kijana akapige kazi maana mwenzetu amepiga shule ya uhakika siyo huyu wa kwetu tulidhani kasoma uchumi kumbe kasomewa uchumi!! Sasa hivi hapa kwetu kuna mkakati wa kushusha umri wa urais uwe chini ya miaka 40, inakuwaje kwa wenzetu tunawalalamikia kwa kumchagua mwenye miaka 52?
Go! Uhuru go my brother!!! Nchi imekuamini.
Tena wamwache Uhuru, mie nashangaa watu wameng'ang'ana na mambo yasomsingi...hivi mtu kama naona ana faa na kwa kuwa ni kabila langu nisimchague maana ntaitwa mkabila?
watu bana, yaani hata sera za Jubilee hazina nafasi tena Kilichobaki nikumshambulia Uhuru tu....pole zao ! Keep talking but sioni ikisaidia chochote.
SIRI YA USHINDI WA UHURUKENYATTA, MSHINDI WA UCHAGUZI WA URAISKENYA 2013
1. Ukubwa wakabila lake ambalo linaundwa zaidi ya asilimia 30 ya wakenya wote.
a. Kiambu amepata kura 442,042
b. Murang'a kura264, 758
c. Nakuru 232,805
d. Kericho190,287
Hii ni idadi kubwa kabisaya kura ambazo zinazidi maeneo yote yenye ushawishi kwa Raila
2. Kuungana naRuto
Whats boiling buddy? kuguna ni mbaya kwa afya...🙂mnhhhhhh
Baelezee baelezee mkuu!!Tena wamwache Uhuru, mie nashangaa watu wameng'ang'ana na mambo yasomsingi...hivi mtu kama naona ana faa na kwa kuwa ni kabila langu nisimchague maana ntaitwa mkabila?
watu bana, yaani hata sera za Jubilee hazina nafasi tena Kilichobaki nikumshambulia Uhuru tu....pole zao ! Keep talking but sioni ikisaidia chochote.
I align with you Uhuru even to me is not competent enough to hold that highest office in Kenya.My worry is that the negative effect of Uhuru regime failure in future will not only affect Kenyans it will spill to even to Kenya neighbour countries.Ukabila umezidi competence..
I still am sure that Uhuru is too young for that office.
I stand to be corrected.
Whats boiling buddy? kuguna ni mbaya kwa afya...🙂
Ina maana kwa kadhia hiyo ya Ukabila Nchi
ataiendeshaje sasa itabidi awaweke kabila
lake ndiyo afanye nao kazi/na makabila mengine
Tena wamwache Uhuru, mie nashangaa watu wameng'ang'ana na mambo yasomsingi...hivi mtu kama naona ana faa na kwa kuwa ni kabila langu nisimchague maana ntaitwa mkabila?
watu bana, yaani hata sera za Jubilee hazina nafasi tena Kilichobaki nikumshambulia Uhuru tu....pole zao ! Keep talking but sioni ikisaidia chochote.
Ooh yeah and proud I am...Nakuona mama Jubilee lol
kwa lipi labda ?Uhuru hana tofauti na JK