Job K
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 9,314
- 7,149
Hakuna mshindi, uchaguzi unarudiwa. Kumbuka Uhuru amepata 49.5% na Raila amepata 44.5%. Hakuna aliyepata 50%+1vote kama katiba inavyosema. Ngoma bado.
Acha upotoshaji wa ki-TZ wewe!!
Kuna constituencies kama 60 hivi hazijaleta matokeo na kati ya hizo kwenye ngome ya UhuRuto kuna kama 31 hivi achilia mbali zile kura anazookotaokota kwenye ngome ya Jaluo. Tusihitimise kamba uchaguzi unarudiwa huu, bado sana mpaka dakika 90 ziishe hiyo ni kama Liverpool mkuu (usijiaminishe tumeshinda huku bado kuna dk 5) utapigwa goli wewe!!! Oooooh!!