Ukabila ndio umembeba Kenyatta, si sera!

Ukabila ndio umembeba Kenyatta, si sera!

Hakuna mshindi, uchaguzi unarudiwa. Kumbuka Uhuru amepata 49.5% na Raila amepata 44.5%. Hakuna aliyepata 50%+1vote kama katiba inavyosema. Ngoma bado.

Acha upotoshaji wa ki-TZ wewe!!

Kuna constituencies kama 60 hivi hazijaleta matokeo na kati ya hizo kwenye ngome ya UhuRuto kuna kama 31 hivi achilia mbali zile kura anazookotaokota kwenye ngome ya Jaluo. Tusihitimise kamba uchaguzi unarudiwa huu, bado sana mpaka dakika 90 ziishe hiyo ni kama Liverpool mkuu (usijiaminishe tumeshinda huku bado kuna dk 5) utapigwa goli wewe!!! Oooooh!!
 
Baadae nitakutafuta unipe overall results zako, usikimbie
 
SIRI YA USHINDI WA UHURUKENYATTA, MSHINDI WA UCHAGUZI WA URAISKENYA 2013
1. Ukubwa wakabila lake ambalo linaundwa zaidi ya asilimia 30 ya wakenya wote.
a. Kiambu amepata kura 442,042
b. Murang’a kura264, 758
c. Nakuru 232,805
d. Kericho190,287
Hii ni idadi kubwa kabisaya kura ambazo zinazidi maeneo yote yenye ushawishi kwa Raila
2. Kuungana naRuto

ukitaka kushinda uchaguz lazima utumie silaha zote ulizonazo tena kWa mpangilio sahihi .
 
Ina maana kwa kadhia hiyo ya Ukabila Nchi
ataiendeshaje sasa itabidi awaweke kabila
lake ndiyo afanye nao kazi/na makabila mengine
 
Bado mkuu, lets keep our finger crossed wasije wakalianzisha tena.
 
Wewe ni m-TZ?

Mbona nyie mlimwamini Kikwete katika umri huo? Acheni wivu wakuu, mwache kijana akapige kazi maana mwenzetu amepiga shule ya uhakika siyo huyu wa kwetu tulidhani kasoma uchumi kumbe kasomewa uchumi!! Sasa hivi hapa kwetu kuna mkakati wa kushusha umri wa urais uwe chini ya miaka 40, inakuwaje kwa wenzetu tunawalalamikia kwa kumchagua mwenye miaka 52?

Go! Uhuru go my brother!!! Nchi imekuamini.
Tena wamwache Uhuru, mie nashangaa watu wameng'ang'ana na mambo yasomsingi...hivi mtu kama naona ana faa na kwa kuwa ni kabila langu nisimchague maana ntaitwa mkabila?

watu bana, yaani hata sera za Jubilee hazina nafasi tena Kilichobaki nikumshambulia Uhuru tu....pole zao ! Keep talking but sioni ikisaidia chochote.
 
Usiangalia %, angalia GAP la kura na sehemu zilizobaki ambazo kura ni chache, na kambi ya Uhuruto, so no way RAILA is out.
 
Tena wamwache Uhuru, mie nashangaa watu wameng'ang'ana na mambo yasomsingi...hivi mtu kama naona ana faa na kwa kuwa ni kabila langu nisimchague maana ntaitwa mkabila?

watu bana, yaani hata sera za Jubilee hazina nafasi tena Kilichobaki nikumshambulia Uhuru tu....pole zao ! Keep talking but sioni ikisaidia chochote.

mnhhhhhh
 
SIRI YA USHINDI WA UHURUKENYATTA, MSHINDI WA UCHAGUZI WA URAISKENYA 2013
1. Ukubwa wakabila lake ambalo linaundwa zaidi ya asilimia 30 ya wakenya wote.
a. Kiambu amepata kura 442,042
b. Murang'a kura264, 758
c. Nakuru 232,805
d. Kericho190,287
Hii ni idadi kubwa kabisaya kura ambazo zinazidi maeneo yote yenye ushawishi kwa Raila
2. Kuungana naRuto

442,042 +264,758+232,805+190,287=865,134 Lazima atakuwa na strong support kutoka majimbo mengine pia otherwise asingeweza kufikia over 4 million votes ambazo anazo mpaka sasa.
 
Tena wamwache Uhuru, mie nashangaa watu wameng'ang'ana na mambo yasomsingi...hivi mtu kama naona ana faa na kwa kuwa ni kabila langu nisimchague maana ntaitwa mkabila?

watu bana, yaani hata sera za Jubilee hazina nafasi tena Kilichobaki nikumshambulia Uhuru tu....pole zao ! Keep talking but sioni ikisaidia chochote.
Baelezee baelezee mkuu!!

Watu hawana jipya. Mara ooh kadhulumu ardhi ya wa-Kenya, mbona wa-Kenya wenyewe wamempa kura? Inabidi tuakae kimya kabisa jamaa aende akapige kazi. RAO ana tamaa ya urais tu, pengine ingependeza hata angemwachia Kalonzo hili zigo. Sasa watu wanatarajia wakirudia uchaguzi ndo atashinda? Hapo si mpaka wale wagonjwa wasiojiweza kwenye nyumba ya Mumbi wataenda piga kura?

Uhuru nilimkubali kwenye duru ya pili ya mdahalo jinsi jamaa lilivyokuwa linajieleza kwa kujiamini!! Pamoja na kulizonga zonga na mambo ya ardhi. Kwani nani asiyejua kwamba viongozi wa mwanzo wote wa Kenya wanamilki ardhi kubwa kubwa? Wala siyo nyumba ya Kenyatta peke yake ni viongozi wote!!!

Uhuru nipigie hao jamaa, walikudhulumu tangu 2002 sasa ni zamu yako!!
 
Ukabila umezidi competence..
I still am sure that Uhuru is too young for that office.
I stand to be corrected.
I align with you Uhuru even to me is not competent enough to hold that highest office in Kenya.My worry is that the negative effect of Uhuru regime failure in future will not only affect Kenyans it will spill to even to Kenya neighbour countries.
 
Ina maana kwa kadhia hiyo ya Ukabila Nchi
ataiendeshaje sasa itabidi awaweke kabila
lake ndiyo afanye nao kazi/na makabila mengine

Kama JK alivyoweka familia yake, wanawake wasio na sifa, maswahiba na wa dini yake akiamini hawatamkosoa na still wasimwangushe!. Yako wapi?
 
Tena wamwache Uhuru, mie nashangaa watu wameng'ang'ana na mambo yasomsingi...hivi mtu kama naona ana faa na kwa kuwa ni kabila langu nisimchague maana ntaitwa mkabila?

watu bana, yaani hata sera za Jubilee hazina nafasi tena Kilichobaki nikumshambulia Uhuru tu....pole zao ! Keep talking but sioni ikisaidia chochote.

Uhuru hana tofauti na JK
 
Kenya wamechagua Rais ambae ni chaguo lao, Odinga ni sawa na Tschavangirai wa Zimbabwe, ni kIbaraka wa Mabwanyenye wa Ulaya na Marekani. Hongereni Kenya

The Hague wanapelekwa wale walokataa kuwa Vibaraka.Hongera Ndugu Uhuru Jomo Kenyata! walisahau kuwa kura zinapigwa na wa Kenya wala sio jumuia ya kimataifa wala kina Ocampo wa The Hague
 
tahadhari jamani, kuna watu wanashabikia ukabila hapa, ukiona mtu kachaguliwa kimila, ni hasara kubwa kwa taifa, believe me
 
SIRI YA USHINDI WA UHURUKENYATTA, MSHINDI WA UCHAGUZI WA URAISKENYA 2013
1. Ukubwa wakabila lake ambalo linaundwa zaidi ya asilimia 30 ya wakenya wote.
a. Kiambu amepata kura 442,042
b. Murang’a kura264, 758
c. Nakuru 232,805
d. Kericho190,287
Hii ni idadi kubwa kabisaya kura ambazo zinazidi maeneo yote yenye ushawishi kwa Raila
2. Kuungana naRuto

ushindi una utata: UHURU ANASHINDA KWA MBINU HIZI:

What about the scandal below??? Who is going to fix what has happened in KITALE???

Endebess constituency deputy RO opening the briefcase containing the disputed results at the OCPD office, Kitale. In this particular criminal case, uhuru kenyatta has been given 61,000 votes against a total of 29,000 registered voters for endebess constituency.

The RO was arrested yesterday. However, the police aided her escape at 4am this morning. The RO has since gone underground
 
Back
Top Bottom