Kenya wamechagua Rais ambae ni chaguo lao, Odinga ni sawa na Tschavangirai wa Zimbabwe, ni kIbaraka wa Mabwanyenye wa Ulaya na Marekani. Hongereni Kenya
The Hague wanapelekwa wale walokataa kuwa Vibaraka.Hongera Ndugu Uhuru Jomo Kenyata! walisahau kuwa kura zinapigwa na wa Kenya wala sio jumuia ya kimataifa wala kina Ocampo wa The Hague
Uhuru hana tofauti na JK
Hakuna mshindi, uchaguzi unarudiwa. Kumbuka Uhuru amepata 49.5% na Raila amepata 44.5%. Hakuna aliyepata 50%+1vote kama katiba inavyosema. Ngoma bado.
1.kikuyu ni 22%SIRI YA USHINDI WA UHURUKENYATTA, MSHINDI WA UCHAGUZI WA URAISKENYA 2013
1. Ukubwa wakabila lake ambalo linaundwa zaidi ya asilimia 30 ya wakenya wote.
Hii ni idadi kubwa kabisaya kura ambazo zinazidi maeneo yote yenye ushawishi kwa Raila
2. Kuungana naRuto
Kenya wamechagua Rais ambae ni chaguo lao, Odinga ni sawa na Tschavangirai wa Zimbabwe, ni kIbaraka wa Mabwanyenye wa Ulaya na Marekani. Hongereni Kenya
The Hague wanapelekwa wale walokataa kuwa Vibaraka.Hongera Ndugu Uhuru Jomo Kenyata! walisahau kuwa kura zinapigwa na wa Kenya wala sio jumuia ya kimataifa wala kina Ocampo wa The Hague
Acha upotoshaji wa ki-TZ wewe!!
Kuna constituencies kama 60 hivi hazijaleta matokeo na kati ya hizo kwenye ngome ya UhuRuto kuna kama 31 hivi achilia mbali zile kura anazookotaokota kwenye ngome ya Jaluo. Tusihitimise kamba uchaguzi unarudiwa huu, bado sana mpaka dakika 90 ziishe hiyo ni kama Liverpool mkuu (usijiaminishe tumeshinda huku bado kuna dk 5) utapigwa goli wewe!!! Oooooh!!
Kama JK alivyoweka familia yake, wanawake wasio na sifa, maswahiba na wa dini yake akiamini hawatamkosoa na still wasimwangushe!. Yako wapi?
Kama wataamua kwa jazba itawacost sisi bado tunahitaji sana Jumuiya hizi za Kimataifa.Kenya ikiwekewa vikwazo uchumi wake utaumia sana na itawagharimu.Ni bora Uhuru achukue nchi kisha awaombe kukaa pamoja watatue tofauti zao.Kumbuka hawa hawana Permanent friend but wana permanent interest.Inasemekana wakenya wamekelwa na uamuzi wa US NA EU kuwa watawekewa vikwazo wakimpa uraisi UHURU bse wako na kesi ICC.
So wakaamua kumsukumia kura UHURU ie LIWALO NA LIWE WAZUNGU HAWAWEZI KUTUCHAGULIA RAISI PERIOD
Odinga hana tofauti na Buzi lake Josephine Mushumbus!
...hahahahahaha..kama JK alivyotumia silaha ya udini..?ukitaka kushinda uchaguz lazima utumie silaha zote ulizonazo tena kWa mpangilio sahihi
.
Uhuru hana tofauti na JK
Kama wataamua kwa jazba itawacost sisi bado tunahitaji sana Jumuiya hizi za Kimataifa.Kenya ikiwekewa vikwazo uchumi wake utaumia sana na itawagharimu.Ni bora Uhuru achukue nchi kisha awaombe kukaa pamoja watatue tofauti zao.Kumbuka hawa hawana Permanent friend but wana permanent interest.
Mnaomlaumu Uhuru kwamba kachaguliwa kwa sababu ya ukabila mnamuonea tu yeye ndo Kenya ilivyo, ukiona kura alizopata maeneo ya Kisumu utamwonea huruma na hapo ndo unaweza kusema wajaluo wana ukabila zaidi kuliko wakikuyu bahati mbaya tu ni wachache lakini wangekuwa wengi kama walivyo wakikuyu sasa hivi mchezo ungekuwa umeshaisha na Raila angekuwa rais mteule.