bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,873
Kenya wamechagua Rais ambae ni chaguo lao, Odinga ni sawa na Tschavangirai wa Zimbabwe, ni kIbaraka wa Mabwanyenye wa Ulaya na Marekani. Hongereni Kenya
The Hague wanapelekwa wale walokataa kuwa Vibaraka.Hongera Ndugu Uhuru Jomo Kenyata! walisahau kuwa kura zinapigwa na wa Kenya wala sio jumuia ya kimataifa wala kina Ocampo wa The Hague
Halafu Ocampo hajui hata kuhesabu, badala aanze na moja yeye akarukia namba nne...