twende kazi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,520
- 461
Pamoja na kufanya uchaguzi kwa amani lakini dosari kubwa ktk uchaguzi wa Kenya ni ukabila. wananchi wengi wamepiga kura kwa kuangalia makabila yao badala ya sera za wagombea.
Uhuru Kenyatta anaongoza kwa kura hadi sasa kwa kuwa tu anatoka kabila la Wakikuyu ambao ni wengi kuliko kabila jingine. Raila Odinga kabila lake la Wajaluo si kubwa kuweza kumuunga mkono na kushinda.
Mzee Jommo Kenyatta ambaye anadaiwa kupalilia ukabila nchini humo kwa kuwabeba Wakikuyu aliwahi kunukuliwa akisema "Jaluo Jinga Jeusi haiwezi ongoza Kenya"
Na hicho ndicho kinachomcost Odinga. KILA LA HERI KENYA.
Unaelewa tofauti ya KABILA na UKABILA?Kwani unataka achaguliwe mtu asiye na kabila. Kama swala ni sera hata Kenyatta Uhuru anazo. Mkikuyu akiwa na sera ni kosa? Wananchi wamepima sra za Kenyata MKIKUYU NA zile za Raila Mjaluo wakaona za Kenyatta Mkikuyu zinafaa
.. hata Pombe Magufuli naye alienda kwa Raila Odinga kupitia M4C !!!!Magari ya M4C yaliyokwenda kumsaidia ODINGA hayajarudi? ...
Tanzania wajaruo ni wachache rorya ni wakurya wajaruo kwao shirati na sota kama una kumbukumbu rorya ilikuwa sub district 2005 ndio ikapewa kuwa wilaya kamili kwa hiyo luo ni wachache sana sio kama makabila mengine ya maraUnasahau kama wajaluo nao Tanzania wapo tena wengi tu, karibia Rorya yote ni wajaluo.
Pamoja na kufanya uchaguzi kwa amani lakini dosari kubwa ktk uchaguzi wa Kenya ni ukabila. wananchi wengi wamepiga kura kwa kuangalia makabila yao badala ya sera za wagombea.
Uhuru Kenyatta anaongoza kwa kura hadi sasa kwa kuwa tu anatoka kabila la Wakikuyu ambao ni wengi kuliko kabila jingine. Raila Odinga kabila lake la Wajaluo si kubwa kuweza kumuunga mkono na kushinda.
Mzee Jommo Kenyatta ambaye anadaiwa kupalilia ukabila nchini humo kwa kuwabeba Wakikuyu aliwahi kunukuliwa akisema "Jaluo Jinga Jeusi haiwezi ongoza Kenya"
Na hicho ndicho kinachomcost Odinga. KILA LA HERI KENYA.
Kabaridi, am having a can of tusker; Uk is going nowhere and this time all agents hadi kwa tallying centres are doing wat was rightfully xpected of them in 2007. Rewritting history begins now, not about tribal chiefdomes anymore, Cord has been able to pull a countrywide voters appeal looking at the figures trickling in.
Btw balala and ngilu wanaenda home, Corded till the final tally.
Tuko tayari and keeping vigil....
Team Corded Online Defence Forces.
Tag line: keep peace at all costs
umeshasogea mkuu hadi kwenye kuchoma makanisa na zaidi ukiende Geita na buselesele hakuna mkiristo anayenunua kitu duka ya mwislamu na mwislam hanunui kwa mkristo.hapo ndipo jk katufikisha na chama chake!
We utakuwa ni Chadema tu mnalia maumivu kwamba Raila kama kitega uchumi hataweza kuwalipa bill ya kikundi chenu cha viroba kilichokuwa kinamkampenia. Halo halo mnalooooo!!!!!