Ukabila ndio umembeba Kenyatta, si sera!

Kwani unataka achaguliwe mtu asiye na kabila. Kama swala ni sera hata Kenyatta Uhuru anazo. Mkikuyu akiwa na sera ni kosa? Wananchi wamepima sra za Kenyata MKIKUYU NA zile za Raila Mjaluo wakaona za Kenyatta Mkikuyu zinafaa
Pamoja na kufanya uchaguzi kwa amani lakini dosari kubwa ktk uchaguzi wa Kenya ni ukabila. wananchi wengi wamepiga kura kwa kuangalia makabila yao badala ya sera za wagombea.

Uhuru Kenyatta anaongoza kwa kura hadi sasa kwa kuwa tu anatoka kabila la Wakikuyu ambao ni wengi kuliko kabila jingine. Raila Odinga kabila lake la Wajaluo si kubwa kuweza kumuunga mkono na kushinda.

Mzee Jommo Kenyatta ambaye anadaiwa kupalilia ukabila nchini humo kwa kuwabeba Wakikuyu aliwahi kunukuliwa akisema "Jaluo Jinga Jeusi haiwezi ongoza Kenya"
Na hicho ndicho kinachomcost Odinga. KILA LA HERI KENYA.
 
Unaelewa tofauti ya KABILA na UKABILA?
 
"dhambi ya ukabila ni kama kula nyama ya mtu". Mwil. Nyerere, Tanzania. Kenya BE WARE!!!!!!! Jaluo Jinga Jeusi haiwezi ongoza Kenya" hii haifai kabisa.
 
Unasahau kama wajaluo nao Tanzania wapo tena wengi tu, karibia Rorya yote ni wajaluo.
Tanzania wajaruo ni wachache rorya ni wakurya wajaruo kwao shirati na sota kama una kumbukumbu rorya ilikuwa sub district 2005 ndio ikapewa kuwa wilaya kamili kwa hiyo luo ni wachache sana sio kama makabila mengine ya mara
 
Nimeipenda hii so Magufuli alikuwa kwa M4C na baada ya hapo inakuwaje sasa kwani inaonekana anapenda mabadiliko lkn ameendelea kubaki kuwa gamba hii imekaaje sasa!je aendelee kubaki huko ama!
 
Raila atasikitika sana akiikosa hii ndoo.Alijipa matumaini kupita kiasi.
 
Pamoja na kufanya uchaguzi kwa amani lakini dosari kubwa ktk uchaguzi wa Kenya ni ukabila. wananchi wengi wamepiga kura kwa kuangalia makabila yao badala ya sera za wagombea.

Uhuru Kenyatta anaongoza kwa kura hadi sasa kwa kuwa tu anatoka kabila la Wakikuyu ambao ni wengi kuliko kabila jingine. Raila Odinga kabila lake la Wajaluo si kubwa kuweza kumuunga mkono na kushinda.

Mzee Jommo Kenyatta ambaye anadaiwa kupalilia ukabila nchini humo kwa kuwabeba Wakikuyu aliwahi kunukuliwa akisema "Jaluo Jinga Jeusi haiwezi ongoza Kenya"
Na hicho ndicho kinachomcost Odinga. KILA LA HERI KENYA.

Japokuwa sifai kushabikia maswala jinsi hii, ukweli ni odinga na wafuasi wake hawakutilia maanani hesabati ya ujumla wa kura watakazonyakua. walidhani kuwa walikuwa CORD wameshinda tayari. Hata kwenye mkutano wa uhuru park Raila alikana kukubali kutangaza kushindwa matokeo yakienda kinyume. fikira za ukabila zimetuma Raila na kambi yake kushindwa na kenyatta.

Ni unafiki kumtuhumu mwenzako kinyume huku chuki na udini ukiwa unaisumbua TZ. Haieleweki jinsi kukawa na dhambi ambao ni bora kuliko ningine
 
Kabaridi, am having a can of tusker; Uk is going nowhere and this time all agents hadi kwa tallying centres are doing wat was rightfully xpected of them in 2007. Rewritting history begins now, not about tribal chiefdomes anymore, Cord has been able to pull a countrywide voters appeal looking at the figures trickling in.
Btw balala and ngilu wanaenda home, Corded till the final tally.
Tuko tayari and keeping vigil....
Team Corded Online Defence Forces.
Tag line: keep peace at all costs
 
Mkuu wangu livefire unanitia moyo kweli kweli.

Last edited by a moderator:
umeshasogea mkuu hadi kwenye kuchoma makanisa na zaidi ukiende Geita na buselesele hakuna mkiristo anayenunua kitu duka ya mwislamu na mwislam hanunui kwa mkristo.hapo ndipo jk katufikisha na chama chake!

*hii ni nomaa*
 
We utakuwa ni Chadema tu mnalia maumivu kwamba Raila kama kitega uchumi hataweza kuwalipa bill ya kikundi chenu cha viroba kilichokuwa kinamkampenia. Halo halo mnalooooo!!!!!

Kwani Chadema ni ya Kenya?
 
Kenya ni nchi ya wajaluo. So sad for others, maana ubaguzi wa wakikuyu is too much. Hata ajira wanaangalia makabila.
 
..Who doesn't know??narudia tena who doesn't know-JK.
..I'm very dissapointed by you-Salma Kikwete.
 
Kabaridi, am having a can of tusker; Uk is going nowhere and this time all agents hadi kwa tallying centres are doing wat was rightfully xpected of them in 2007. Rewritting history begins now, not about tribal chiefdomes anymore, Cord has been able to pull a countrywide voters appeal looking at the figures trickling in.
Btw balala and ngilu wanaenda home, Corded till the final tally.
Tuko tayari and keeping vigil....
Team Corded Online Defence Forces.
Tag line: keep peace at all costs

Thanks mkuu

but r you watching the trends of the results trickling in as you enjoy your beer, I am enjoying mine as well. it is unfortunate for balala or ngilu and zipapa zipapa lol but a jubilee government is the only remedy.

Nimeona kosgey kastaafishwa na mwanawe, it was also end of the road for ole ntimama, Kalonzo and Raila have only until afternoon to confirm whether they will be heading to makueni and bondo for a home-coming bull-slaughtering ceremony while Jubilee takes usukani

Tudumishe Amani
 
Nasikitika sana m2 mwenye tuhuma kuingia ikulu hata kama masingiziwa. (Kumbuka ikulu ni mahali patakatifu). Ucheleweshaji wa kura ni hatari sana mahali popote. Ndio maana wenzetu hawachelewi kupongezana mara anapoona mwenzake kashinda maana anona uhalali
 
Pamoja na kufanya uchaguzi kwa amani lakini dosari kubwa ktk uchaguzi wa Kenya ni ukabila. wananchi wengi wamepiga kura kwa kuangalia makabila yao badala ya sera za wagombea.

Uhuru Kenyatta anaongoza kwa kura hadi sasa kwa kuwa tu anatoka kabila la Wakikuyu ambao ni wengi kuliko kabila jingine. Raila Odinga kabila lake la Wajaluo si kubwa kuweza kumuunga mkono na kushinda.

Mzee Jommo Kenyatta ambaye anadaiwa kupalilia ukabila nchini humo kwa kuwabeba Wakikuyu aliwahi kunukuliwa akisema "Jaluo Jinga Jeusi haiwezi ongoza Kenya"
Na hicho ndicho kinachomcost Odinga. KILA LA HERI KENYA.

Uhuru Kenyatta ana waania urais na deputy wake William Ruto ambaye ni Mkalenjin. Raila Odinga naye
ana wania na deputy wake Kalonzo Musyoka ambaye ni Mkamba.

Uhuru Kenyatta amepata kura kutoka eneo la wasomali, wamaasai, wakalenjin, wa pokot,
Turkana na sehemu zingine za Kenya na kwahivyo kusema yakwamba ni wakikuyu tuu
ambao wamefanya awe mbele,,basi ni kutokana na kuto
jua.

Raila Odinga alipata kura 23,000 kutoka Kiambu,,,ngome ya wa Kikuyu.

Nyanza ambayo ni ngome ya Raila,,iko mmoja amechanguliwa na chama
cha Jubelee,,chama cha Uhuru Kenyatta.

Ni viema kufanya utafiti kuliko kuandika ndoto ambazo hazina mbele
wa nyuma.

Jammu,,,,,,,,,Ngong Hills,,,Kenya.
 
Back
Top Bottom