Jammu Africa
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 530
- 59
Nasikitika sana m2 mwenye tuhuma kuingia ikulu hata kama masingiziwa. (Kumbuka ikulu ni mahali patakatifu). Ucheleweshaji wa kura ni hatari sana mahali popote. Ndio maana wenzetu hawachelewi kupongezana mara anapoona mwenzake kashinda maana anona uhalali
Hayo ni wa Kenya kuamua na wala si wazungu wala wabeberu.
Hii nchi ni ya wakenya na hata Rais Kikwete alikua wakwanza kusema
yakwamba wa Kenya wasiingiuliwe na yeyote na waachwe wajiamuliwe.
Na akaendelea kuhakikishia wa Kenya yakwamba ata shirikiana na
yeyote Mkenya atakae mchagua.