Ukabila ndio umembeba Kenyatta, si sera!

Ukabila ndio umembeba Kenyatta, si sera!

Tume isipokuwa makini vita zaidi ya ile ya kwanza inaweza kutokea. better to go manually and recount all presidential votes.
 
hahahaahhahahhahhah,siamini.hawa watakuwa ni wataalamu sana wa it,maybe hired from it department of the cia!

these people are very rich and they are capable of manythings....the most important thing is for kenyans to keep peace
 
perhaps hata wingi wa kura zilizoharibika there could be kajore in the process ...CCM mbinu zenu za kimafya zimekwama.
 
Wakenya wamepiga hatua kubwa kwa kutengeneza katiba yao na kuweka tume huru ya uchaguzi inayo aminika na inajua wajibu wake kuwatumikia na kufata matakwa ya wananchi wake.

ndio uzuri wa kuwa na tume huru bila ku base kwenye mfumo au siasa za chama flan au baadhi ya wagombea! Naimani matokeo yoyote watakayo yatoa yatakubalika na wananchi wengi manake wanaiamin tume yao huru na yenye uwazi kwa wananchi wote.

sidhan kama wanaweza kurudia mambo yale yale kwani tume iko makini na kufuata misingi ya free and fair election.tume ya uchaguz kenya inastahili pongezi kwa hatua hizi za haraka na mapema za kubaini mbinu za uchakachuaji.
 
Hii ni ile ile akili ndogo kutaka kuongoza akili kubwa.
 
Taarifa hii nilipoileta hapa jana, dakika 10 tu mara baada ya kupatikana nyuma ya pazia na nikaliita humu kama 'CREAM INFORMATION kwa ajili ya JF Members tu' na kwamba Source ni mimi mwenyewe (UWEZO TUNAO), wengi humu walionyesha kuibeza na kuanza kushambulia mkarimia taarifa lakini sasa ...

Jamaani wana-JF wenzangu, kidogo tuache hizi tabia kama vile 'unaambiwa tuseme na Mbongo mwenzetu kwamba mwenzetu Ulimboka katekwa na kutoweka kusikojulikana' lakini kwa hulka ya kujidharau sisi wenyewe eti kamwe hutokaa uamini kitu mpaka taarifa hiyo toka nchini Tanzania kuhusu Mtanzania mwenzetu kama ambavyo ulivyopata kuambiwa na Mtanzania mwenzako eti mpaka ikatangazwe na vyombo vya kimataifa ndipo upate kuamini kitu hapo.

Mbaya sana hivyo wakubwa ..
.

.........


Two People have been arrested in regard to Hacking of IEBC

Sources indicate that the I.E.B.C realized that their system had been hacked into. The programmer was given instruction to input a permanent difference between UHURU and RAILA with more than 400,000 votes.

It had been realized that it could not be changed under any circumstances (after being programmed), unless they posted the data a fresh. 2 guys have been arrested, while 2 others are on the run.

There is a lot of scrutiny at BOMAS and people are on high alert. Any form of inaccurate tally is put aside and INDIVIDUALS involved personally HELD RESPONSIBLE

Having detected this at around 3pm yesterday, the Commission had no option but to fully go manual. It would have been worse had it not been detected.

The figures are already changing. Poll results the main TVs are showing is old data.
 
Kwa hio tutegemee makubwa hapo 2015, tunaweza ona tofauti ya 5,000,000 kati ya CCM na anayemfuata! ila mie huwa nina aamini kitu kinaitwa Manually

........

Tusisahau kwamba katibu mkuu wa CCM yupo Kenya
.
 
Hizi habari inawezekana za kweli maana hawa jamaa wa IEBC wameacha kutumia electonic system na sasa wanahesabu manually,.na inaonekana kama zoezi linaanza na upya!
 
Hata mimi nimesikia hivyo na wamesema zile kura zote zilizoingia jana kwa electronics nazo zitaingizwa manually kwa kusubiri wale wakuu wavituo vyote wawakilishe hardcopy za results!!

Kwishney uhuru!! Yale yale ya vijana wa vodacom kujichimbia Seaview 2010 kuchakachua!! Nafikiri mbinu hii Kenyata kaipata Tanzania!!

Limeumbuka!! Na Kenya Independent Election Commission haina mchezo! Hata sisi 2015 kukiwa na tume huru mambo yatakuwa mazuri na hapo hapo ni lazima tuwe na kituo cha friends of Chadema ili wajumlishe fasta.


.......

Tenda ya kusimamia mitambo ya kieletronic ya IEBC ilisimamiwa na SAFARICOM na kama watumishi wa IT wamefanya hacking ni kitu kinachotazamiwa ukizingatia maadili ya timu ya Kenyyatta yapo chini sana.

Hata wakati huu wamevuruga sana vyombo vingi vya utangazaji kwa kupora na kununua watangazaji kutoka kwenye media zingine na kuwapeleka kwenye media yao ya K.24 kwa gharama kubwa sana.
 
mchezo ule ule wa JK na dkt Slaa...baada ya sirikali kuona dkt Slaa mwanzo mwanzo wakati kura zinahesabiwa akiwa anaongoza katika kura za vituo...watalaam wa IT wakaingia mzigoni...mara kibao kikageuka...JK akawa ndo anaongoza ktk kura za vituo!
 
It is my hope you are not discrediting JF. We are going to give you a ban, if at all you are cheating us.
 
DU! kama kweli kazi ipo.Ngoja tusubiri tuone itakavyokuwa ila tukipata trend ya matokeo ya Governors,senators na wabunge twaweza predict kitu fulani hapo.
 
Back
Top Bottom